Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 45,619
- 135,643
Natuma salamu zote kwako my babe SweetyCandy 💝💕💞💓Tate Mkuu hunipendi kwanini hujanitumia salamu
Natuma salamu zote kwako my babe SweetyCandy 💝💕💞💓Tate Mkuu hunipendi kwanini hujanitumia salamu
mimi sio mstaarabu kabisa, kanisani sihudhurii, navaa mlege
Eti Mwakasege, Hahhaa kama kawa mshindani mshamba .Oya niaje Mwakasege Jr.
Kama kawa?
Ulipotea sana mwanetu.
🤣🤣🤣🤣🙌 umenipa new nick name..Oya niaje Mwakasege Jr.
Aaargh huyu uliisha mfriend zone na ukamdogosha, ngumu sana achomoke kwenye hiyo Bin
Mwakasege Jr atakuongoza toba.. utarudi mstarini tu utake usitake 😀😀mimi sio mstaarabu kabisa, kanisani sihudhurii, navaa mlege
nitakuchosha bure
Naona unampandisha taratibu kumjazia credits🤣🤣🤣🤣🙌 umenipa new nick name..
Atatuweza kweli jonzing boys? hatuambiliki.Mwakasege Jr atakuongoza toba.. utarudi mstarini tu utake usitake 😀😀
Mkuu najifunza PolePoleHahahahaha unachapia hivo hivo mwishoe unapatia.
Ulifichwa wapi ?Kama nakuona Jr 🤣🤣
🤣🤣🤣 Hela nimepokea janaaaaaSalamu zimefika mkuu, ila hela za mirathi umrpokea lini mbona hutuambii ndugu zako😀😀
😁😁 si kila mtu ashinde mechi zake au?Naona unampandisha taratibu kumjazia credits
😀😀sikufichwa.. nilijifichaUlifichwa wapi ?
Asante sana na kwako pia Dr....
Ana mimba yangu.
Nani huyooAna mimba yangu.