BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 6,238
- 11,907
Ametoka ntu kweli hapo
Ametoka ntu kweli hapo
Imekuwaje Mkuu?Hii kauli hii.. ()
Wamekosa ajiraUmeandika vema,kama kuna mijitu huwa inanikera ni ile mijitu mizima inayo-bet mabasi na kusimama mabarabarani kushangilia mabasi na kuyamwagia maji,inafaa ikamatwe yote na kuwekwa Mahabusu kukomesha upuuzi ule,unakuta jitu zima na ndevu zake linasimama barabarani kushabikia mabasi
Hatua kumi kutoka kituo Cha polisi mlandizi,ngoma imesababisha foleni mpaka saivi gari hazipitiNi maeneo ya jkt ruvu karibu na sekondari
Rudia kusoma post yangu.Vipi kuhusu ajari ya city boy 2016 na 2018, new force 2016 iliyouwa watu 12 na mwaka 2018 iliyouwa watu 5, usimamizi hukuwa legelege. Na ripoti ya polisi 2019 ilisema watu zaidi ya 12,000 walifariki Kwa ajali Kati ya 2015-2019
Acha wivu wa kijinga sauli toka ameanza biashara ya usafirishaji haijawahi kuuaEndeleeni kupanda Mabasi ya hiyi
Endeleeni kupanda Mabasi ya hiyo kampuni mtakapokatwa vichwa ndio mtaelewa..
Newforce,Sauli majanga
VIFO VIPO ILA IDADI BADO HAIJASEMWAAmetoka ntu kweli hapo
kwa mtu ambaye ni dereva aliyepita chuo akiangalia hilo gari lilivyo; atasema kuwa limegongwa na sio kama limegonga. Namaanisha kuwa, inaonekana kuwa kuna gari nyingine iliovertake vibaya ndio ikakutana na New force. Na kama ni hivyo, huyo dereva wa new force asihukumiwe kwa kosa la mwingine....Baada ya juzi kupata ajali mbaya na kuua watanzania wengi japo Serikal imeficha ukwl na kusema ni abiria watano
Leo tena kampuni ya newforce imepAta ajali maeneo ya Kibaha
Hii itakua ajali ya 6 ndani ya siku 21
Chanzo kikuu cha ajali hizo ni kile kile mwendokasi na kufanya overtaking za ovyo
Sasa ni wakati wa Serikal kuipiga Rungu kampuni hii ya mwekezaji kama ilivyofnya kwa kampuni za wazawa
View attachment 2666040
Sasa hivi mabasi hayakamatwi tena kwa kwenda mwendo kasi. Kuna makubaliani kati ya mtandao wa askari wa usalama barabarani na mtandao wa madereva ambapo kwa kuna namna madereva kupitia umoja wao sijui vikoba huwa wanawaingixia Polisi wa Usalama barabarani kupitia mtandao wao.Baada ya juzi kupata ajali mbaya na kuua watanzania wengi japo Serikal imeficha ukwl na kusema ni abiria watano
Leo tena kampuni ya newforce imepAta ajali maeneo ya Kibaha
Hii itakua ajali ya 6 ndani ya siku 21
Chanzo kikuu cha ajali hizo ni kile kile mwendokasi na kufanya overtaking za ovyo
Sasa ni wakati wa Serikal kuipiga Rungu kampuni hii ya mwekezaji kama ilivyofnya kwa kampuni za wazawa
View attachment 2666040
Sheria inayohusiana na usalama WA abiria iwe ni Moja la sharti ya kupewa mmuombaji WA leseni ya usafirishaji WA abiria yeye ndiye akayewapa madereva wake awaelekeze wanachotakiwa kufanyia wakiwa wanaendesha mabus ya abiria.madereva Hawa wanàtoa rushwa ya Tsh 1000-2000/ kwa tragic au wasimamimizi wengine hawawezi kufuata Sheria za barabata.Kisha sheria iweke kifungu kitakachomlazimu mmiliki WA bus lililosabibisja ajali awajibike kufanya yafuatayo a)kulipa gharama za mazishi zote b)kulipa gharama zaatibabu kwa majeruhi wote na zote c)kulea wajane na wagana wotekwa kipindi Cha miaka 10 d)kulea kwa kiwango kile kille mayatima wote Hadi wafikishe miaka 18 e)baada ya happy ndipo dereva ,aama mmiliki apelekwe kwenye vyombo vya sheria.Nfugu abiria tunakufa vifo vya kidalili sasa kwenye ajali hizo😕Baada ya juzi kupata ajali mbaya na kuua watanzania wengi japo Serikal imeficha ukwl na kusema ni abiria watano
Leo tena kampuni ya newforce imepAta ajali maeneo ya Kibaha
Hii itakua ajali ya 6 ndani ya siku 21
Chanzo kikuu cha ajali hizo ni kile kile mwendokasi na kufanya overtaking za ovyo
Sasa ni wakati wa Serikal kuipiga Rungu kampuni hii ya mwekezaji kama ilivyofnya kwa kampuni za wazawa
View attachment 2666040
Ni kama pana kitu sio bure aisee yaani wanatulia harafu baadae utasikia tena...Newforce again. Haya mabus kuna muda yanafululiza ajali. Sio kipindi hiki tu hata mkirudi nyuma mtagundua. Haya mabus yapigwe ban sijui kwanini serikali haishtuki
Hii ipo Zimbabwe na Zambia pana jamaangu aliyakimbia ma bus yake Harare maana bus la kwanza lilipata ajali safari ya Messina via Harare akiwa anahangaika na Bima za hao majeruhi na kugharamia mazishi madeni yake hajamaliza ikatokea ajali bus lake lingine la Bulawayo via Jhb daah akikumbuka msala wa kwanza aliacha familia tu Serikali ikapiga mnada baadhi ya bus zake ndio kufidia gharama iliyotumia yupo SA hataki kabisa kuzungumzia usafirishaji anasema hiyo kazi ni rahisi Tanzania ikitokea ajali wahanga ndio wanahangaika na ndugu zao sio Makampuni ndio maana ajali haziishi...Sheria inayohusiana na usalama WA abiria iwe ni Moja la sharti ya kupewa mmuombaji WA leseni ya usafirishaji WA abiria yeye ndiye akayewapa madereva wake awaelekeze wanachotakiwa kufanyia wakiwa wanaendesha mabus ya abiria.madereva Hawa wanàtoa rushwa ya Tsh 1000-2000/ kwa tragic au wasimamimizi wengine hawawezi kufuata Sheria za barabata.Kisha sheria iweke kifungu kitakachomlazimu mmiliki WA bus lililosabibisja ajali awajibike kufanya yafuatayo a)kulipa gharama za mazishi zote b)kulipa gharama zaatibabu kwa majeruhi wote na zote c)kulea wajane na wagana wotekwa kipindi Cha miaka 10 d)kulea kwa kiwango kile kille mayatima wote Hadi wafikishe miaka 18 e)baada ya happy ndipo dereva ,aama mmiliki apelekwe kwenye vyombo vya sheria.Nfugu abiria tunakufa vifo vya kidalili sasa kwenye ajali hizo😕
Acha wivu wa kijinga sauli toka ameanza biashara ya usafirishaji haijawahi kuua
Sijui kama Kuna kampuni ambayo haijawahi pata ajaliWatz walivvo wajinga utakuta Leo hii..mwengine anaenda kata ticket kabisa ya kampun hyo..