Basi la New Force lapata ajali leo asubuhi

Basi la New Force lapata ajali leo asubuhi

Baada ya juzi kupata ajali mbaya na kuua watanzania wengi japo Serikal imeficha ukwl na kusema ni abiria watano

Leo tena kampuni ya newforce imepAta ajali maeneo ya Kibaha

Hii itakua ajali ya 6 ndani ya siku 21

Chanzo kikuu cha ajali hizo ni kile kile mwendokasi na kufanya overtaking za ovyo

Sasa ni wakati wa Serikal kuipiga Rungu kampuni hii ya mwekezaji kama ilivyofnya kwa kampuni za wazawa

View attachment 2666040
Shida ipo kwenye management ya madereva, mbona Shabiby, ABC, Kimbinyiko na Nyehunge hazisikiki zikipata ajali?
 
Na wanajua ratiba zote za gari??
Wapo humo wanawajua hadi madereva wa gari hizo na kuwasifia [emoji1][emoji1]
Kuna mmoja anaitwa Tito hadi wafuasi anao humo
Labda lakini kelele za mitandaoni hua siziamini sana[emoji38][emoji38]
 
Huwa sielewi. Ukimwambia dereva punguza mwendo endesha kwa weledi hakuna anayeunga mkono hoja na dereva akianza kubisha ndo kabisa hutopata sapoti.

Huko ni kuonesha kutokujali katika vitu vya kujali.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Baada ya juzi kupata ajali mbaya na kuua watanzania wengi japo Serikal imeficha ukwl na kusema ni abiria watano

Leo tena kampuni ya newforce imepAta ajali maeneo ya Kibaha

Hii itakua ajali ya 6 ndani ya siku 21

Chanzo kikuu cha ajali hizo ni kile kile mwendokasi na kufanya overtaking za ovyo

Sasa ni wakati wa Serikal kuipiga Rungu kampuni hii ya mwekezaji kama ilivyofnya kwa kampuni za wazawa

View attachment 2666040
Ni maeneo ya jkt ruvu karibu na sekondari
 
Wafanye Saa ngp wakat mabus kuanzia saa 9 Ndio yanatoka dsm hapo Bado kuna yale ya kigoma na bukoba ayajafika
Mabus yanayoanza safari za SAA 9 ni machache Sana tofauti na SAA 12 .... kwahiyo kama unaenda mikoa ya kanda ya ziwa au mbeya ni Bora utembee usiku tu
 
WATANZANIA NI WAJNG KWA % KUBWA.
NYIE MNAMUONA DEREVA ANAENDESHA MWENDO WA AJABU
NYIE NDANI MMEKAA MNASHANGILIA HUKU MNAKATIKA
MAUNO MMEWEKEWA SINGELI NDANI
MTAZIDI KUFAAQQQQAAAA SH#Z TYP

OVA
 
MTANZANIA YEYE ANAPELEKESHWA KAMA TENGA LA NYANYA

ova
 
Madereva wanawahi zile posho za watu kubeti yaani Kuna watz wamekaa mikoani wanabet nani atafungua geti Leo hii ni biashara ya kamari dereva anaefungua geti anapewa laki moja.Serikali ipige marufuku betting zote za mabus mfano pale uyole,kule kahama nk vijana wanakaa na ndoo kabisa za maji gari inayofungua geti inapokelewa kwa kumwagiwa maji yanafanyika,iwakamate wote wao ndio Chanzo Cha hizi ajali.
New force, Sauli, katarama,kiazi kikuu, Ally's,nk yaangaliwe kwa macho sita ndio yapo kwenye orodha ya hizi betting club za mabus Hawa vijana saa kumi na moja jioni wakionekana stand kamata wote wakafanye kazi zingine na Sio kutegemea betting za mabus huku watz wakiteketea kwa ajali sababu ya ushabiki wa kijinga.
Umeandika vema,kama kuna mijitu huwa inanikera ni ile mijitu mizima inayo-bet mabasi na kusimama mabarabarani kushangilia mabasi na kuyamwagia maji,inafaa ikamatwe yote na kuwekwa Mahabusu kukomesha upuuzi ule,unakuta jitu zima na ndevu zake linasimama barabarani kushabikia mabasi
 
Shida betting yahuko sio official ningumu kuzuia koz wabetije Wana contacts za madereva....jamvi linawekwa juu kwajuu.na kingine hawo traffic police nawo pia wanabeti.....
 
Watanzania wape picha tu wao watamaliza habari
 
Back
Top Bottom