sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,281
- 7,956
Pumbavu zako, Toka lini kimara baruti kukawa na daraja la juu, kitu Kama hujui kaa kimyaMmewekewa daraja ila kwa viburi vyenu mnajitia kuwahi pumbafu zake. Tena mwanaume, huo ni umama kwa mwanaume kusubiria gari isimame ili eti apite, tuulize wa mikoani tunavuka zetu vuuuuup kufumba na kufumbua tuko ng'ambo. Nyie hadi mjilegeze kama mlenda. Siku nikiwa RAIS naondoa zebra na matuta ili mgongwe vizuri