Uko tandaimba umejulia wapi daraja la baruti mpuuzi weeehMmewekewa daraja ila kwa viburi vyenu mnajitia kuwahi pumbafu zake. Tena mwanaume, huo ni umama kwa mwanaume kusubiria gari isimame ili eti apite, tuulize wa mikoani tunavuka zetu vuuuuup kufumba na kufumbua tuko ng'ambo. Nyie hadi mjilegeze kama mlenda. Siku nikiwa RAIS naondoa zebra na matuta ili mgongwe vizuri
Mmewekewa daraja ila kwa viburi vyenu mnajitia kuwahi pumbafu zake. Tena mwanaume, huo ni umama kwa mwanaume kusubiria gari isimame ili eti apite, tuulize wa mikoani tunavuka zetu vuuuuup kufumba na kufumbua tuko ng'ambo. Nyie hadi mjilegeze kama mlenda. Siku nikiwa RAIS naondoa zebra na matuta ili mgongwe vizuri
Watu huwa wanaamini Zebra ni kila kitu. Hakuna Zebra mbaya kama zenye barabara 2 zinatoka upande mmoja yaani jumla zinakuwa 4. Mmoja anasimama mwingine anapitiliza.
Halafu siku hizi na hizi simu unakuta mtu hasa wadada anavuka huku anaperuzi simu bila kuuangalia usalama wake ni hatari sana.
By the way usalama kwenye zebra uanze na anayevuka na sio dereva.
Kigogo wa twiter anasema madereva wengi wa udart ni wanajeshi.Basi la mwendokasi jana limegonga raia kwenye zebra Kimara baruti jana majira ya saaa 3.
Kilicho tokea magari yote toka Kimara yalisimama kupisha raia wapite kwenye zebra ila basi la mwendokasi kikapita kwa spidi kali na kugonga kijana mmoja mkazi wa baruti.. Baada ya kugongwa akadondoka na kukanywagwa kwenye kichwa na tairi la nyuma kiasi cha kusagika kuanzia shingoni hadi kichwani.
Cha ajabu hakuna mchango wowote uliotolewa na UDART kwa ajili ya kusafirisha maiti kwenda makambako nyumbani kwa Kijana huyu.
Huu ni uzembe wa hali ya juu na sheria ipo wazi juu ya haki za watembea kwa miguu kwenye zebra.
Ajabu nyingine hakuna hata chombo cha habari kilicho report kwa ufasaha tukio hili la kinyama.
Tunakemea tabia iliyo zuka sasa ya mwendokasi kuto jali alama za barabarani.
Wakati usafiri huu unaanza madereva wa mwwndokasi walikua ndio madereva pekee ambao wanafuata alama za barabarani.. cha ajabu sasa hivi wanawapigia honi raia wasipite kwenye zebra.
Tunaomba polisi muwaonye madereva wa mwendokasi na kuwachukulia hatua kama madereva wengine.
Tukio hili limeleta huzuni sana kwa wananchi wote wa maeneo yanayopitiwa na usafiri wa mwendokasi kwa kuwa unaleta sifofahamu juu ya maisha yao hasa wanapohitaji kuvuka barabara.
Mmewekewa daraja ila kwa viburi vyenu mnajitia kuwahi pumbafu zake. Tena mwanaume, huo ni umama kwa mwanaume kusubiria gari isimame ili eti apite, tuulize wa mikoani tunavuka zetu vuuuuup kufumba na kufumbua tuko ng'ambo. Nyie hadi mjilegeze kama mlenda. Siku nikiwa RAIS naondoa zebra na matuta ili mgongwe vizuri
Actually hapo kunatakiwa vitu viwili. Hiyo ajali kama ilikua documented polisi then mahakamani basi zichukuliwe nyaraka za kesi ilivyoisha. Hapa itahusisha pia nyaraka za bima za gari husika.Dereva akigonga unamdai mwajiri mchango ? Nilifikiri waliomba huyo dereva Ndie achangie.Kesi ya dereva inamhusu Nini mwajiri? UDART wachangie sababu gani? Mtu ukigongwa na boda boda unaenda mdai tajiri wake?
Bosi Baruti hakuna daraja.. acha story za ovyo kwa maisha ya watu
We Fisi majiMmewekewa daraja ila kwa viburi vyenu mnajitia kuwahi pumbafu zake. Tena mwanaume, huo ni umama kwa mwanaume kusubiria gari isimame ili eti apite, tuulize wa mikoani tunavuka zetu vuuuuup kufumba na kufumbua tuko ng'ambo. Nyie hadi mjilegeze kama mlenda. Siku nikiwa RAIS naondoa zebra na matuta ili mgongwe vizuri
...Hawa wa Mwendokasi wanajifanya Zebra crossing haziwahusu kwa vile wao wana njia yao peke yao!!Zebra ni kwa kila chombo hata gari la polisi lazima lifuate zebra.
Wewe huna akili wala adabu!! Kimara baruti kuna daraja la juu? Acha ujinga kijanaMmewekewa daraja ila kwa viburi vyenu mnajitia kuwahi pumbafu zake. Tena mwanaume, huo ni umama kwa mwanaume kusubiria gari isimame ili eti apite, tuulize wa mikoani tunavuka zetu vuuuuup kufumba na kufumbua tuko ng'ambo. Nyie hadi mjilegeze kama mlenda. Siku nikiwa RAIS naondoa zebra na matuta ili mgongwe vizuri
Itakuwa anamjibu shirima MathiasUnatukana nani mkuu?
Ushauri mzuri naamini utawasaidia kama wakipata bahati ya kuupata..Actually hapo kunatakiwa vitu viwili. Hiyo ajali kama ilikua documented polisi then mahakamani basi zichukuliwe nyaraka za kesi ilivyoisha. Hapa itahusisha pia nyaraka za bima za gari husika.
Pili marehemu kama ana ndugu zake basi na wao waitishe kikao cha kuteua msimamizi wa mali za marehemu. Kikao hicho nacho pia kiwe documented, na kiwe kimesajiliwa mahakamani kama "Shauri la Mirathi".
Vikikamilika hivyo viwili basi Ndugu wa marehemu wakadai chao Kampuni ya bima ambako gari hilo limesajiliwa. Taarifa hizi za bima hupatikana kwenye nyaraka za ajali zilizoko polisi. Huko bima ndo kule ambako unadai 50mil unakuja kulipwa 5mil sababu ya vitu kama kazi ya marehemu, kipato cha marehemu, idadi ya wategemezi wake, umri wake, etc.