Basi la Mwendokasi laua Raia Baruti ya Kimara

Mwendo kasi yeyote ni express na huwa yanagongwa ila hayagongi.
Kwa hivyo, kosa ni la marehemu.
Usije ukapita kwenye zebra ukidhani kwamba mwendo kasi anabanwa na sheria za magari ya kawaida. Hata kama akikupisha, basi tu ni msaada ila siyo lazima
Express haina maana ya kutofuata sheria.. zebra imewekwa kwa kila dereva.. hao expresa wameanza leo.. mbona mwanzo madwdeva wa mqendokasi walikua wastaarabu sana.. zebra anapunguza mwwndo na kusimama anakuaacha unaoita.. sio hawa madereva wapumbavu walikuja sasa.. nahisi wana leseni za kununua.
 
Acha uzuzu.. zebra zimewekwa hadi kwenye njia za mwendo kasi.
Niliposikia mabasi ya mwendo kasi yanaletwa, nilijiuliza, kama haya ya mwendo pole yana ajali nyingi hivi, je, haya ya mwendo kasi raia watayamudu?

Lakini, hivi ni wangapi wanafahamu kwamba basi la mwendo kasi haligongi Ila huwa linagongwa.

Kwa hivyo, kisheria, kosa ni la marehemu.

Yaani marehemu aliligonga basi.

Hali kadhalika ambulance na treni hugongwa na huwa hazigongi maana ni express in nature
 
Acha uzuzu.. zebra zimewekwa hadi kwenye njia za mwendo kasi.
Hata ambulance huwa zinapita kwenye zebra, ila hazigongwi, bali huwa zinagongwa.
Which means mwendo kasi, ambulance + treni ni express in nature even if zinakanyaga zebra.
Hili suala la express kwamba mwendo kasi linagongwa lilizungumzwa zamani kidogo ila watu wengi hawajui hili.
Na ndiyo maana other vehicles zinazuiwa kupita njia za mwendo kasi, sababu kubwa ni hiyo.
Kunitukana hakuondoi ukweli zaidi sana unajipa tabu tupu
 
Hujui sheria.. tatizo la kununua leseni kama tambi ndio hili..
 
Express haina maana ya kutofuata sheria.. zebra imewekwa kwa kila dereva.. hao expresa wameanza leo.. mbona mwanzo madwdeva wa mqendokasi walikua wastaarabu sana.. zebra anapunguza mwwndo na kusimama anakuaacha unaoita.. sio hawa madereva wapumbavu walikuja sasa.. nahisi wana leseni za kununua.
Hakuna aisiyenunua leseni, maana hakuna leseni ya bure duniani.
Otherwise uniambie kama una leseni ya udereva umeipataje bila kutoa pesa.
Mwendo kasi kupunguza kwenye zebra ni hekima tu ila kisheria halazimiki.
Kuwa na leseni na kuwa dereva mahiri ni vitu viwili tofauti.
Udereva siyo kujua sheria tu, na au kuwa license, bali pia lazima uwe na busara unapoendesha chombo moto
 
Bosi mtafute shirima muunde umoja wa wanaume wa mkoani dar ea salaam.

Unacho kiongea hata mwanakijiji wa muleba vijijini anajua hujui sheria wala kanuni za barabarani.

Kama ni dereva basi hiyo leseni uliinunua sokoni kama tambi.
Hakuna aisiyenunua leseni, maana hakuna leseni ya bure duniani.

Otherwise uniambie kama una leseni ya udereva umeipataje bila kutoa pesa.

Mwendo kasi kupunguza kwenye zebra ni hekima tu ila kisheria halazimiki.

Kwa na leseni ma kuwa dereva mahiri ni vitu viwili tofauti.

Udereva siyo kujua sheria tu, na au kuwa license, bali pia lazima uwe na busara unapoendesha chombo moto
 
Mmewekewa daraja ila kwa viburi vyenu mnajitia kuwahi pumbafu zake. Tena mwanaume, huo ni umama kwa mwanaume kusubiria gari isimame ili eti apite, tuulize wa mikoani tunavuka zetu vuuuuup kufumba na kufumbua tuko ng'ambo. Nyie hadi mjilegeze kama mlenda. Siku nikiwa RAIS naondoa zebra na matuta ili mgongwe vizuri
Wewe ni mmoja wa Waafrika WAJINGA na WAPUMBAVU,..

Sheria za barabarani hazikuanza Tanzania, kuna nchi raia wanasimama kwenye Zebra cross, ikiwa taa ni nyekundu hata kama hakuna gari kilometer moja mbele..

Sheria za barabarani lazima zifatwe,.. Na wote wanaotumia barabara
 
Bosi mtafute shirima muunde umoja wa wanaume wa mkoani dar ea salaam.
Unacho kiongea hata mwanakijiji wa muleba vijijini anajua hujui sheria wala kanuni za barabarani.
Kama ni dereva basi hiyo leseni uliinunua sokoni kama tambi.

Hakuna soko la leseni na duniani hakuna leseni ya bure, wala hakuna leseni ya kununua.

Leseni ni huduma na siyo bidhaa.

Unalipia huduma ya leseni, then unapatiwa, ndiyo maana ikiisha unarenew.

Ingekuwa bidhaa, basi ungenunua halafu udumu nayo for lifelong
 
Hujui sema unaleta mawazo yako ya kijijini kwenye mambo serious.

Povu halisaidii.

Dar gari ni nyingi kushinda miundombinu ya usafiri.

Watu ni wengi kushinda huduma za usafiri na nyinginezo.

Umakini ni muhimu, siyo kwa kuwa zebra ipo, then unavuka tu; lazima kuwa makini.

Ikitokea bahati mbaya basi na iwe hivyo tu ila ukweli ni huo japo unauma.

Abide to the law.
 
Nadhani hawa UDART wapo juu ya sheria kwa kua hili la kuua si mara ya kwanza ya pili ama ya tatu
Madereva walioajiriwa juzi Kati no wanajeshi na watu Wa kitengo hivyo hakuna Wa kuwathibiti!
 
Taarifa yako imekaa kienyeji sana. Ni kweli kitendo cha mwenzetu kupoteza maisha kinasikitisha. Lakini kuharakisha kuanza kulalamika sidhani kama ni jambo sahihi. UDART ni kampuni. Kama kampuni lazima itakuwa na taratibu zake za kushughulika na dharula kama hizo.
Ulipaswa ufuatilie uone wamechukua hatua ipi kabla ya kuja kulaumu hapa jf.

Umemjibu inavyopaswa maana amekithiri kwa kutoelewa kitu.

Badala ya kuuliza uanaeleza asilolijua na akieleweshwa anatukana.

Ngoja nirisevu jinajina sahihi la kumuita
 
Taarifa yako imekaa kienyeji sana. Ni kweli kitendo cha mwenzetu kupoteza maisha kinasikitisha. Lakini kuharakisha kuanza kulalamika sidhani kama ni jambo sahihi. UDART ni kampuni. Kama kampuni lazima itakuwa na taratibu zake za kushughulika na dharula kama hizo.
Ulipaswa ufuatilie uone wamechukua hatua ipi kabla ya kuja kulaumu hapa jf.

Umemjibu inavyopaswa maana amekithiri kwa kutoelewa kitu.

Badala ya kuuliza uanaeleza asilolijua na akieleweshwa anatukana.

Ngoja nirisevu jinajina sahihi la kumuita
 
Mmewekewa daraja ila kwa viburi vyenu mnajitia kuwahi pumbafu zake. Tena mwanaume, huo ni umama kwa mwanaume kusubiria gari isimame ili eti apite, tuulize wa mikoani tunavuka zetu vuuuuup kufumba na kufumbua tuko ng'ambo. Nyie hadi mjilegeze kama mlenda. Siku nikiwa RAIS naondoa zebra na matuta ili mgongwe vizuri
Kumbuka kuna watu wamefiwa hapa, hizo bangi zako zionye zisikumalize
 
Mmewekewa daraja ila kwa viburi vyenu mnajitia kuwahi pumbafu zake. Tena mwanaume, huo ni umama kwa mwanaume kusubiria gari isimame ili eti apite, tuulize wa mikoani tunavuka zetu vuuuuup kufumba na kufumbua tuko ng'ambo. Nyie hadi mjilegeze kama mlenda. Siku nikiwa RAIS naondoa zebra na matuta ili mgongwe vizuri
Pumbavu, wenzako wanazungumzia kwenye zebra lilipotokea tukio wewe na upumbavu wako unaleta za kuletwa.
 
Back
Top Bottom