Basi la Mwendokasi laua Raia Baruti ya Kimara

Basi la Mwendokasi laua Raia Baruti ya Kimara

Haya mambo ni rahisi sana...

1. Zebra ikiwa kwenye taa, waenda kwa miguu wanatakiwa kuvuka pale taa imezuia magari.
2. Zebra sehemu zingine zote, wenye magari lazima wawape kipaumbele waenda kwa miguu.

Shida ni kwamba watu wengi hawana elimu ya kuvuka barabara.

Naomba uje PM unipe hii elimu ya kuvuka barabarani.
 
Nahisi hujui chochote kuhusu sheria za barabarani.. kwenye sebra sheria inataka upunguze mwendo na kama kuna mtu basi mwache apite. Huruhusiwi hata kupiga honi kwenye zebra lakini wapumbavu kama wewe ndio wanaona wapo juu ya sheria
Unachosema ni sahihi kabisa na ndivyo inavyotakiwa,ila kwa mazingira ya tanzania na sheria zetu inabidi anayevuka kwa miguu achukue extra care kwa sababu ana posibility kubwa ya kupata madhara kuliko mwenye gari;na hata mwenye gari anapoanza kutaka kusimama kwenye zebra nae achukue extra care sababu madereva wengine ni zaid ya wapuuzi kiasi cha kufikia hatua ya kugonga magari mengine kwa nyuma yaliosimama kupisha abiria na hvyo kusababisha madhara makubwa;and please don't trust malori kwenye zebra ni heri kuchukua caution,And don't trust sana taa wakati unapiga U-turn inayopitiliza kwenye barabara ya mwendokasi because kugongwa na gari kama lile lenye thousands of pounds ubavuni ni hatari coz their drivers are insane.
 
Sehemu pekee niliyofika nikawasifu madereva ni sengerema yaani madereva wa huku wanafuata sheria ya zebra balaa sijui wamewezaje hawa au kwa vile mji mdogo
 
Sehemu pekee niliyofika nikawasifu madereva ni sengerema yaani madereva wa huku wanafuata sheria ya zebra balaa sijui wamewezaje hawa au kwa vile mji mdogo
Madereva wengi hapa dar tuna uendeshaji wa kijinga sana;Just do a simple research utakuta ajali nyingi achilia zinazohusisha watembea kwa miguu;nyingi unakuta magari yanagongana kwenye zebra;how can someone call herself a driver wakati hawezi kusoma vibao na kufuata sheria za barabara;zebra sio kitu cha ghafla while kuna kibao zaid ya 500 meters kinachokupa taarifa ya uwepo wa zebra mbele.
Big up Huko kwenu brother,mtafika mbali na kuokoa maisha.
 
Mmewekewa daraja ila kwa viburi vyenu mnajitia kuwahi pumbafu zake. Tena mwanaume, huo ni umama kwa mwanaume kusubiria gari isimame ili eti apite, tuulize wa mikoani tunavuka zetu vuuuuup kufumba na kufumbua tuko ng'ambo. Nyie hadi mjilegeze kama mlenda. Siku nikiwa RAIS naondoa zebra na matuta ili mgongwe vizuri
nimekutamani kinoma...ungekua karibu yangu ukaongea ulichoandika nikakuona ASEEE UNGEMFATA MAREHEMU...sikia nikwambie...elewa tu Nakutamani 😡
 
wenyewe wanaita EXPRESS na saivi UDART madereva 80% wametoka JKT ni full kujiona wao ndio wenye nchi yani.
 
Mimi jumamos hii nilibugi sijawahi kuyapanda pale ubungo msewe kibo badala ya kwenda kukata ticket lilisimama nikavuka road fasta nikaenda kwa watu walio kuwa wanasubir yaan walio natiket nikataka nipande yupo jamaa amevaa sare amekaa karibu na dereva wote na dereva wakaanza kuniwashia moto ww umepitia wap kipind hicho askar kasinzia nikamchomoa yule jamaa alivaa sare dirishan nikajua konda kama wale wa daladala na kitambulisho chake kilichonikuta ndugu zangu nikajua kweli lile linaheshimiwa kama tren ila niliwachelewesha kama lisaa zima na vile mlinz alikua wakike na mm nilikua mbishi kwa vile ckujua sheria ila tuwazingatie wale wa mwendo kas wamepewa mamlaka makubwa na serikali hvyo wanadharau
 
Madereva wengi hapa dar tuna uendeshaji wa kijinga sana;Just do a simple research utakuta ajali nyingi achilia zinazohusisha watembea kwa miguu;nyingi unakuta magari yanagongana kwenye zebra;how can someone call herself a driver wakati hawezi kusoma vibao na kufuata sheria za barabara;zebra sio kitu cha ghafla while kuna kibao zaid ya 500 meters kinachokupa taarifa ya uwepo wa zebra mbele.
Big up Huko kwenu brother,mtafika mbali na kuokoa maisha.
Mimi mwenyewe ni wa dar sema nimefika huku mara moja ndiyo nikashangaa madereva wako makini sana
 
Kigogo wa twiter anasema madereva wengi wa udart ni wanajeshi.

Hata mimi niliskia hii Habari, kwamba madereva wa Mwendokasi wa sikuhizi ni Wanajeshi ndomana hawana huruma ajali mara kwa mara coz hawasmami tofauti na wale dereva wa mwanzo walikua wakiona raia lazima wasimamishe gari abiria apite.
 
Sheria za usalama barabarani zipo hata kwa watembea kwa miguu tatizo hawataki kusoma kwa kudhani zote zinawahusu madreva peke yao, watembea kwa miguu Dar wamejaa viburi, wabishi, akili zao ni sawa na waendesha bodaboda, wakidhani kuwa wanajua sana sheria za kupita zebra kumbe hawajui, tena kwa dharau hupita kwa madaha huku wakichati.

Nami nasema acha wagongwe na wagongwe tu.

Chunga mdomo wako, ni heri kukaa kimya if you've got nothing good to say...hio dua yako mbaya isije ikakurudia ww, mwanao, Mzazi wako au ndugu yako... Hakuna binadamu mwenye uwezo wa kujua ya Mbeleni, ni kumuomba Mungu tu.
 
Kuna ajali ilitokea kisutu nafikiri aliyegongwa alikuwa mhindi maana mbunge wa ilala alikuwepo wakamweleza jinsi madereva wa mwendokasi wasivyozingatia sheria
 
kiukweli madereva wa mwendokasi ni kero ,hawafuatai sheria hata kidogo na asa hivo hadi wenyewe kwa wenyewe wanagongana
 
Back
Top Bottom