Basi la Mwendokasi laua Raia Baruti ya Kimara

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,713
Basi la mwendokasi jana limegonga raia kwenye zebra Kimara baruti jana majira ya saaa 3.

Kilicho tokea magari yote toka Kimara yalisimama kupisha raia wapite kwenye zebra ila basi la mwendokasi kikapita kwa spidi kali na kugonga kijana mmoja mkazi wa baruti.. Baada ya kugongwa akadondoka na kukanywagwa kwenye kichwa na tairi la nyuma kiasi cha kusagika kuanzia shingoni hadi kichwani.

Cha ajabu hakuna mchango wowote uliotolewa na UDART kwa ajili ya kusafirisha maiti kwenda makambako nyumbani kwa Kijana huyu.

Huu ni uzembe wa hali ya juu na sheria ipo wazi juu ya haki za watembea kwa miguu kwenye zebra.

Ajabu nyingine hakuna hata chombo cha habari kilicho report kwa ufasaha tukio hili la kinyama.

Tunakemea tabia iliyo zuka sasa ya mwendokasi kuto jali alama za barabarani.

Wakati usafiri huu unaanza madereva wa mwwndokasi walikua ndio madereva pekee ambao wanafuata alama za barabarani.. cha ajabu sasa hivi wanawapigia honi raia wasipite kwenye zebra.

Tunaomba polisi muwaonye madereva wa mwendokasi na kuwachukulia hatua kama madereva wengine.

Tukio hili limeleta huzuni sana kwa wananchi wote wa maeneo yanayopitiwa na usafiri wa mwendokasi kwa kuwa unaleta sifofahamu juu ya maisha yao hasa wanapohitaji kuvuka barabara.
 
Mmewekewa daraja ila kwa viburi vyenu mnajitia kuwahi pumbafu zake. Tena mwanaume, huo ni umama kwa mwanaume kusubiria gari isimame ili eti apite, tuulize wa mikoani tunavuka zetu vuuuuup kufumba na kufumbua tuko ng'ambo. Nyie hadi mjilegeze kama mlenda. Siku nikiwa RAIS naondoa zebra na matuta ili mgongwe vizuri
 
Mbona kimara baruti hakuna daraja la juu
 
Mmewekewa daraja ila kwa viburi vyenu mnajitia kuwahi pumbafu zake. Tena mwanaume, huo ni umama kwa mwanaume kusubiria gari isimame ili eti apite, tuulize wa mikoani tunavuka zetu vuuuuup kufumba na kufumbua tuko ng'ambo. Nyie hadi mjilegeze kama mlenda. Siku nikiwa RAIS naondoa zebra na matuta ili mgongwe vizuri
Kimara Baruti kuna daraja la juu?
 
Mmewekewa daraja ila kwa viburi vyenu mnajitia kuwahi pumbafu zake. Tena mwanaume, huo ni umama kwa mwanaume kusubiria gari isimame ili eti apite, tuulize wa mikoani tunavuka zetu vuuuuup kufumba na kufumbua tuko ng'ambo. Nyie hadi mjilegeze kama mlenda. Siku nikiwa RAIS naondoa zebra na matuta ili mgongwe vizuri
usitumie nguvu sana kuingia JF,
 
Bosi Baruti hakuna daraja.. acha story za ovyo kwa maisha ya watu
 
Dereva akigonga unamdai mwajiri mchango ? Nilifikiri waliomba huyo dereva Ndie achangie.Kesi ya dereva inamhusu Nini mwajiri? UDART wachangie sababu gani? Mtu ukigongwa na boda boda unaenda mdai tajiri wake?
 
Mmewekewa daraja ila kwa viburi vyenu mnajitia kuwahi pumbafu zake. Tena mwanaume, huo ni umama kwa mwanaume kusubiria gari isimame ili eti apite, tuulize wa mikoani tunavuka zetu vuuuuup kufumba na kufumbua tuko ng'ambo. Nyie hadi mjilegeze kama mlenda. Siku nikiwa RAIS naondoa zebra na matuta ili mgongwe vizuri
Mkuu shirima Mathias akili zako rahisi sana. Huwezi kuwa rahisi labda wa zebra na matuta
 
Bila Shaka mwendokasi hii ilikuwa Express inawahi gerezani au kivukoni kwenda kuchukua watu. Huwa Zina speed Sana, kwenye zebra hazisimami kwasababu iko tupu haipakii
 
Mmewekewa daraja ila kwa viburi vyenu mnajitia kuwahi pumbafu zake. Tena mwanaume, huo ni umama kwa mwanaume kusubiria gari isimame ili eti apite, tuulize wa mikoani tunavuka zetu vuuuuup kufumba na kufumbua tuko ng'ambo. Nyie hadi mjilegeze kama mlenda. Siku nikiwa RAIS naondoa zebra na matuta ili mgongwe vizuri
Kimara baruti kuna daraja?
Ushamba na ujinga wako ni hasara kwa taifa hili.

Kama kitu hukijui kunyamaza pia ni hekima
 
Shirima vipi? Leo biashara imeenda kombo?

Back
Top Bottom