Kuna mambo ya kudadavua hapa
1. Elimu kwa wadau wote; drivers, watembea kwa miguu, guta, baiskeli, TARURA, TANROAD na Traffic.
2. Sehemu zinazo hitaji punda milia hazina alama, karibu barabara nyingi.
3. Barabara nyingi ni nyembamba
4. Hakuna side walking na bicycle lanes,
5. Watu wanavuka bila mpangilio, wakati wowote kila mmoja kwa wakati wake. Wasubiriane inapobidi ili wasisababishe madereva kupata hasira na kuwanyima access kwa sababu muda wote watembea kwa miguu wanavuka mmoja mmoja.
Ni hayo kwa sasa.