Basi la mwendokasi jana limegonga raia kwenye zebra Kimara baruti jana majira ya saaa 3.
Kilicho tokea magari yote toka Kimara yalisimama kupisha raia wapite kwenye zebra ila basi la mwendokasi kikapita kwa spidi kali na kugonga kijana mmoja mkazi wa baruti.. Baada ya kugongwa akadondoka na kukanywagwa kwenye kichwa na tairi la nyuma kiasi cha kusagika kuanzia shingoni hadi kichwani.
Cha ajabu hakuna mchango wowote uliotolewa na UDART kwa ajili ya kusafirisha maiti kwenda makambako nyumbani kwa Kijana huyu.
Huu ni uzembe wa hali ya juu na sheria ipo wazi juu ya haki za watembea kwa miguu kwenye zebra.
Ajabu nyingine hakuna hata chombo cha habari kilicho report kwa ufasaha tukio hili la kinyama.
Tunakemea tabia iliyo zuka sasa ya mwendokasi kuto jali alama za barabarani.
Wakati usafiri huu unaanza madereva wa mwwndokasi walikua ndio madereva pekee ambao wanafuata alama za barabarani.. cha ajabu sasa hivi wanawapigia honi raia wasipite kwenye zebra.
Tunaomba polisi muwaonye madereva wa mwendokasi na kuwachukulia hatua kama madereva wengine.
Tukio hili limeleta huzuni sana kwa wananchi wote wa maeneo yanayopitiwa na usafiri wa mwendokasi kwa kuwa unaleta sifofahamu juu ya maisha yao hasa wanapohitaji kuvuka barabara.
Sheria za usalama barabarani zipo hata kwa watembea kwa miguu tatizo hawataki kusoma kwa kudhani zote zinawahusu madreva peke yao, watembea kwa miguu Dar wamejaa viburi, wabishi, akili zao ni sawa na waendesha bodaboda, wakidhani kuwa wanajua sana sheria za kupita zebra kumbe hawajui, tena kwa dharau hupita kwa madaha huku wakichati.
Nami nasema acha wagongwe na wagongwe tu.
Sheria za usalama barabarani zipo hata kwa watembea kwa miguu tatizo hawataki kusoma kwa kudhani zote zinawahusu madreva peke yao, watembea kwa miguu Dar wamejaa viburi, wabishi, akili zao ni sawa na waendesha bodaboda, wakidhani kuwa wanajua sana sheria za kupita zebra kumbe hawajui, tena kwa dharau hupita kwa madaha huku wakichati.
Nami nasema acha wagongwe na wagongwe tu.
Kimara baruti kuna daraja?
Ushamba na ujinga wako ni hasara kwa taifa hili.
Kama kitu hukijui kunyamaza pia ni hekima
Na hayo maombi yako hayatanifika kamwe, Mungu ndiye anayeniongoza.Amini usiamini, Mungu atakulipa sawia kwa namna aijuayo kwa hayo maneno yako ya mwisho,
Kasome sheria na kanuni za usalama barabarani utaelewa utaratibu wa kutumia kivuko cha watembea kwa miguu, zipo kanuni zimeainisha ni wakati gani wa kuvuka.Zebra crossing zimeweka kwaajili ya nini
Kasome sheria na kanuni za usalama barabarani utaelewa utaratibu wa kutumia kivuko cha watembea kwa miguu, zipo kanuni zimeainisha ni wakati gani wa kuvuka.
Hivi baruti kuna darajaMmewekewa daraja ila kwa viburi vyenu mnajitia kuwahi pumbafu zake. Tena mwanaume, huo ni umama kwa mwanaume kusubiria gari isimame ili eti apite, tuulize wa mikoani tunavuka zetu vuuuuup kufumba na kufumbua tuko ng'ambo. Nyie hadi mjilegeze kama mlenda. Siku nikiwa RAIS naondoa zebra na matuta ili mgongwe vizuri
Hivi baruti kuna daraja
Wana majibu yao, "mmewachezea hao hao wazamani na sio sisi"Unajua tatizo ni nini? Madereva raia wengi wamepigwa chini sikuhizi kwaiyo asilimia 70 ya madereva wapya ni wanajeshi. Unajua mwanajeshi akitoka kulinda amani alafu umpe kazi ya uraiani kuna kipindi anapata taswira ya vitavita anaweza akajisahau akaona mvukaji kama vile askari wa janjaweed akamfuata makusudi amgonge. Hili ni tatizo kubwa sana kuna hata kufuatilia kwa kina hapa
Mmewekewa daraja ila kwa viburi vyenu mnajitia kuwahi pumbafu zake. Tena mwanaume, huo ni umama kwa mwanaume kusubiria gari isimame ili eti apite, tuulize wa mikoani tunavuka zetu vuuuuup kufumba na kufumbua tuko ng'ambo. Nyie hadi mjilegeze kama mlenda. Siku nikiwa RAIS naondoa zebra na matuta ili mgongwe vizuri
Acha kukurupa sio kila sehemu kuna daraja la kuvuka!! Hiyo sehemu unaifahamu?!! Unafikiria hiyo barabara ni kama hizo unazozungumizia za huko mkoani!? Kwamba unaweza toka nduki toka upande mmoja hadi mwingine?Mmewekewa daraja ila kwa viburi vyenu mnajitia kuwahi pumbafu zake. Tena mwanaume, huo ni umama kwa mwanaume kusubiria gari isimame ili eti apite, tuulize wa mikoani tunavuka zetu vuuuuup kufumba na kufumbua tuko ng'ambo. Nyie hadi mjilegeze kama mlenda. Siku nikiwa RAIS naondoa zebra na matuta ili mgongwe vizuri
Sheria iko wazi ila sio kila anayegongwa kwenye zebra anakuwa hana makosa!! Hata kama unataka kukatisha zebra sharti ujirizishe kuwa dreva amekuona na kusimama, sio unakatiza tu kisa upo kwenye zebra, utakufa!!!Sheria inasemaje mtu akigongwa kwenye zebra?