Basi la Kampuni ya Arusha One lapata ajali daraja la mto Wami

Basi la Kampuni ya Arusha One lapata ajali daraja la mto Wami

View attachment 850803View attachment 850804Sina hakika imetokea lini na nini chanzo but hapa ni daraja la Wami,hili basi limeponea chupu chupu kuzama mtoni,kusema ukweli hapa ni Mungu tu ndo katenda miujiza ya kunusuru viumbe wake hakuna namna ya kumsifu dereva wala nini,ni Mungu tu.
Ifike mahali sasa Serikali ichukue hatua ya kujenga daraja la kisasa sio hadi msikie siku watu wamekufa ndio muanze kuhangaika....kulikua na haja gani ya kwenda kujenga uwanja wa ndege Chato ambao hauna umuhimu wowote kwa sasa na mnaacha kushughulikia hili daraja ambalo wakazi wa mikoa yote ya Kaskazini na nchi ya Kenya wanalitegemea tusiwe wagumu wa kufikiri.
Allah Akbar!
 
Hakukuwa na shahidi kusimulia lakini alidondoka na gari, hakuwa kavaa seatbelt windshield ikafanya yake!..
Shukrani its soo wayback!..
asee....Pole sana...hakika ni ngumu kusahau!!
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote angekuwepo, kusingetokea ajali yoyote, popote, muda wowote.

Sema kingine.
 
Zile ajali zingine zinazotokeaga mungu huwa anakuwa yuko wapi? Kalala?
 
Hilo daraja huwa nikivuka nahisi kama naenda vitani, limekaa kama daraja la dharura hivi.
 
Back
Top Bottom