Basi la Kampuni ya Arusha One lapata ajali daraja la mto Wami

Basi la Kampuni ya Arusha One lapata ajali daraja la mto Wami

Na hivi linaunganisha na wale wa Kasikazini.........tusubiri tu mpaka madaraja mpaka yale ya Kilungule yamalize kujengwa flyovers ndio la Wami litakumbukwa.............
 
Mpaka ujenzi wa Reli ya Kisasa ukamilike jamani,hilo daraja litatengenezwa vitu japo hiyo ajali huenda ikakachochea ujenzi ukaanza mapema maana ni hatareeeeee sana kwa sisi (wa Mikoani)tunaotumia daraja hilo.
 
Huo mto kuna mamba wåkali sana. Uyo ďereva wangemchapa makòfi
 
Back
Top Bottom