Basi la Kampuni ya Arusha One lapata ajali daraja la mto Wami

Basi la Kampuni ya Arusha One lapata ajali daraja la mto Wami

Hilo daraja ni kongwe kuliko hata Tanzania yenyewe, lakini liko kwenye eneo hatarisha na ni jembamba sana. Kuna mwaka mmoja basi ligonga nguzo za pembeni katikati ya daraja, ni ajabu lilinusurika kutumbukia mtoni.. Siku hiyo tulishinda Wami siku nzima hadi saa 12 jioni tulipoondoka sehemu ya tukio... Litengenezwe hata kabla ya lile lililopangwa kujengwa baharini.😕
 
Naona wapare wamekuja juu sn baada ya kuhusishwa na hii ajali [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpaka pale macho ya Serikali yetu yatakapofumbuka na kuona kwamba hili daraja ni jembamba na hatarushi basi walalahoi wengi watakuwa wameshatangulia mbele ya haki.
 
Madereva wengi wamezoea kazi,
muda mwingi wanachati huku waendesha
 
Pole wahanga!
Mola tuepushe walahi!
 
Ajali imehusisha mabasi mawili moja lilitakakuovateki pasipokuangalia kama daraja ni la kusubiriana
 
Back
Top Bottom