Basi la Kampuni ya Arusha One lapata ajali daraja la mto Wami

Basi la Kampuni ya Arusha One lapata ajali daraja la mto Wami

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Daraja la mto Wami ni dogo, jembamba ama ni fupi ?

Ajari haziishi aisee.

=====

Basi la Arusha One limenusurika kutumbukia mto Wami baada ya kukoga kingo za daraja hilo leo Agosti 28. Taharuki iliibuka kwa abiria waliokuwamo ndani ya basi hilo wakisafiri kutokea Dar es salaam kuelekea Arusha. Hakuna madhara yoyote yaliotokea katika ajali hiyo
IMG-20180828-WA0029.jpg
IMG-20180828-WA0028.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom