Basi la Kampuni ya Arusha One lapata ajali daraja la mto Wami

Basi la Kampuni ya Arusha One lapata ajali daraja la mto Wami

Kwahiyo mkuu kama basi hilo lingedondokea humo na kuua watu wote tungesema Mungu hayupo?
 
View attachment 850803View attachment 850804Sina hakika imetokea lini na nini chanzo but hapa ni daraja la Wami,hili basi limeponea chupu chupu kuzama mtoni,kusema ukweli hapa ni Mungu tu ndo katenda miujiza ya kunusuru viumbe wake hakuna namna ya kumsifu dereva wala nini,ni Mungu tu.
Ifike mahali sasa Serikali nayo ichukue hatua ya kujenga daraja la kisasa sio hadi msikie siku watu wamekufa ndio muanze kuhangaika....kulikua na haja gani ya kwenda kujenga uwanja wa ndege Chato ambao hauna umuhimu wowote kwa sasa na mnaacha kushughulikia hili daraja ambalo wakazi wa mikoa yote ya Kaskazini na nchi ya Kenya wanalitegemea, tusiwe wagumu wa kufikiri.
Ahaa basi tuombe mungu wakati tunaendelea na ujenzi wa uwanja wa ndege na barabara zingine na madaraja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo mkuu kama basi hilo lingedondokea humo na kuua watu wote tungesema Mungu hayupo?
hawaelewi wanamini nini,ni sawa na kutokujua kama wao ni wanawake au wanaume,ila wangesema kazi ya mungu haina makosa ikiwa lingezama.
 
Usimtaje mungu kwenye mambo ya kipumbavu ya bangi na ulevi wa madereva wa mabasi
 
Hilo daraja ni jebamba sana. Kuna haja ya kulifanyia upanuzi.
 
Back
Top Bottom