Hamis Juma
JF-Expert Member
- Nov 4, 2011
- 2,229
- 2,275
Wako bize kujenga flyover Dar... Arusha ukivuruga hapo haufiki
Hivi wasingetoka salama mungu angeendelea kuwa mwema?Mungu ni mwema wametoka salama. Ibada ya shukrani inahitajika aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili jinga hujalizoea tu?. Labda linatafuta kuolewa kwetu.Wapare wanahusikaje?
Angekua mwema zaidi
Linii itakamilika akati hata ujenzi bado haujaanzaLipo ila hii njia ya bagamoyo kutokea tanga likikamilika ndo hilo la wami litavunjwa na kuwekwa jingine jipya
Lini watajenga daraja jipya?nakumbuka kama walishawahi kutangaza zabuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu anawahusisha Wapare...ni Mchaga mtani wenu msichukie,,natemwe ni vakwavi......after all Mungu ashukuriwe ametuondolea mauti kwa wema wake tuuMiundo mbinu ya aina la daraja la mto wami ni suala la usalama. Hivyo basi liangaliwe kwa jicho sahihi
Tulilipenda daraja la kigamboni kuliko wami.Kiukweli ajali nyingi tatizo la kwanza sio spidi, MIUNDOMBINU!! Ni mibovu kama serikali ya kuanzia 1961-2018[emoji48][emoji48]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio kwasababu daraja ni jembamba ndio ameamua kupita pembenDaraja la mto Wami ni dogo, jembamba ama ni fupi ?
Ajari haziishi aisee.
Wapare watuambie ukweli.View attachment 849615View attachment 849616
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi nimecheki hizo picha. Yani Mungu ni mwema wameponea kwenye tundu LA sindano.Ni jambo la kumshukuru Mungu hilo Bus halikutumbukia Mtoni. Hakika muda huu tungekuwa tunasimulia mengine. Mto Wami pale darajani kuna Mamba wa ajabu.