Ndugu zangu, huu mjadala ulikuwa chinichini ila sasa naona kumbe hata huko X watu wanajadili kama vile mimi na wanangu tulivyokuwa tukijadili, kwahiyo ndio ukweli kwamba Shilingi Bilioni 4.327 zimemwaga kwa miundombinu hii?
Pia soma ~ Waziri Mkuu Majaliwa azindua Stendi ya Sh Bilioni 4.3...
Vyombo vya dola wilaya ya Nzega mkoa wa Tabora vinawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kuiba miundombinu ya mradi wa maji ikiwemo mabomba ya maji, katika mradi wa maji unaotekelezwa Kata ya Sigili wilaya ya Nzega, mkoani Tabora hali inayosababisha kusuasua kwa mradi huo.
Taarifa ya wizi wa...
MBUNGE wa Nzega Mjini na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ni mgonjwa sana na ameshindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyoifanya jana Jimbo la Nzega Mjini.
Kwa mujibu wa Majaliwa amewaeleza wananchi hao kuwa Mbunge wao ni mgonjwa na ameshindwa kuhudhuria ziara hiyo ya Waziri...
Mbunge wa Jimbo la Manonga Seif Khamis Gulamali Amuomba Waziri Mkuu Shule moja jimbo la Nzega Vijijini ipewe jina la Mbunge wao Dkt. Khamis Kigwangala.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
Leo kituo kipya cha mabasi Nzega Mjini mkoani Tabora kimezinduliwa rasmi na Mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Ujenzi wa kituo hiki cha mabasi umegharimu shiling Bilion 4.327.
Tabora wamepata stend ya kisasa waitunze sasa
Pia soma Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua...
Nchi hii inashindwa kufika mahali ilipotakiwa kufika kwa sababu ya kuongozwa na watu wasiojitambua, wasiojua wajibu wao wala mipaka ya mamlaka yao.
Kuna habari zinazunguka mitandaoni kuwa eti DC wa Nzega ameamuru mkuu wa Chuo Cha Madini Nzega awekwe ndani kwa sababu alishindwa kumjibu mkuu wa...
Mkuu wa Wilaya ya Nzega Naitwapwaki Tukai ameliagiza Jeshi la polisi kumkamata na kumuweka ndani Abraham Lwakajunguti ambaye ni mkuu wa chuo cha mmDadini Lusu kilichopo wilayani Nzega kwa madai ya utovu wa nidhamu akishindwa kutoa majibu mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora wakati walipokua kwenye...
Ukitoka mizani ya Tinde kabla ya kufika Nzega hapo katikati kuna kipande kikubwa cha barabara kimeharibika na kutengeneza mashimo makubwa sana kwenye lami.
Hii ni hatari kwa watumiaji wa barabara hii na hasa kwa madereva ambao hawaijui njia hii wanaweza kupata ajali.
Nimepita usiku huu...
Nilikuwa nasafiri hivi karibuni nikitoka Shinyanga kwenda Igunga, nikiwa kwenye gari sikuamini macho yangu, kama kilometa mbili kabla ya kufika Stendi kuu ya mabasi Nzega, barabara imeliwa na vile mvua zinanyesha kila wakati kila dereva anapita anakojua.
Kama Barabara itaendelea kuwa vile kuna...
Habari wana JF.
Leo napenda kuzungumzia kero ya huduma za Afya katika zahanati nyingi za mkoa wa Tabora.
Kwa kipindi cha miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la ufunguzi wa zahanati mpya katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Tabora na maalum niizungumzie Halmashauri ya Nzega...
Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Mjini Nzega,bei 5m.Kipo Mita 150 toka Rami,Mita 600 toka Stand Kuu ya Mabasi,Ujazo SQM 876,kuna Maji na Umeme.Matumizi ni biashara hususani Lodge/Hotel,Godown, Conference Facilities.Kiwanja kipo Tambarare.
Wana jamvi, kazi yangu ni kuzunguka tuu na kuwaletea yanayojiri, jioni hii nikiendelea na harakati zangu za utafutaji, nimekutana na wazee wa CHADEMA eneo la Ndala lililopo Wilayani Uyui Tabora.
Wazee wa CHADEMA wanadai kwamba wameenda kuchukua fomu za kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameitaka Wizara ya Maji kuendelea na kasi ya usambazaji maji kutoka Ziwa Victoria ili kutatua adha ya ukosefu maji waliyopata wananchi kwa muda mrefu.
Makamu wa Rais amesema hayo mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi...
“Wananchi wa Nzega Vijijini walishatoa msimamo Mh. Rais alipotembelea pale kwamba hawana la kuomba zaidi ya kumshukuru Rais “
Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamis Kigwangalla amewataka Watanzania wote popote walipo kutumia hashtag ya ‘Nasimama na Mama’...
Tatizo la maji bado ni kubwa sana.
Nimeenda Kijiji cha Idubula Kilino Nzega bado wananchi wa vijiji hivi hawajawahi kupata maji safi na salama tangia uhuru.
Sijui viongozi wa maeneo hayo wanajisikiaje?
Mimi sio mwenyeji sana wamabasi ya abiria.
Ninaomba kuuliza! Je kuna basi lenye uwezo wa kubeba abiria 78?
Je, basi hilo lilitokea mwanza je lilikaguliwa popote na polisi njiani?
Je, orodha ya waliofariki majina yao yako wapi?
Je, majina ya majeruhi 60 yako wapi?
RPC Tabora, OCD Nzega na...
Ajali Uchama Nzega: Basi la Alpha limegongana na lori la GBP.
===
Watu 20 wanahofiwa kufariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori mjini Nzega.
Akitoa taarifa ya ajali hiyo leo Jumamosi Oktoba 21, 2023, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Richard Abwao amesema ajali hiyo...
Halafu Director wa Movie hakumpa Mazoezi ya Kutosha Actress kwani kuna mahala alipokuwa akimhoji Mmachinga Feki wa Kike wa Nzega ( ambao Watu wa Mwenge na Makumbusho ) Dar es Salaam huwa Wanamuona alikuwa akiharibu kwa kila mara Kumuuliza kwanini Yeye ni Mrembo na ni Mmachinga?
Actress wa Movie...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan ametoa Bilioni 4 kwa ajili ya Ujenzi wa Soko la kisasa la Nzega Parking mkoani Tabora Ili kuwezesha wafanyabiashara kufanya shughuli zao kwenye mazingira bora.
Rais Dkt, Samia ametoa fedha hizo alipotembelea soko hilo kufuatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.