masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,882
- 13,172
SanaAmepwaya Sana
Wewe sio mpenzi wa yanga ila leo mlikuwa muwafunge Simba kweli Eymael hakukosea kuwaita uneducated, manyani mnabweka kama mbwa hamjui chochote kuhusu mpira.Mimi si mpenzi kinda kinda wa Yanga lakini huwa naifuatilia sana.
Leo ilikuwa tuwafunge Simba ila pampano likaahirishwa kutokana na kujitokeza kwa shughuli nyingine ghafla ya kuzindua kitabu cha Mzaa Ruksa.
Tatizo langu liko hapo!
Taratibu za kuahirisha pambano inabidi taarifa itoke masaa 24 kabla.
Sasa haya tunayoyaona niuswahili uliokithiri.
Hatuwezi kwenda namna hii.
Taarifa ya shughuli ha Mzee Ruksa haikujulikana mapema?
Usumbufu wa taratibu za maandalizi, wapenzi na mashabiki kufika na kuingia uwanjani mapema kuzuia kukanyagana milangoni, matayarisho yawalinzi wetu, wapenzi wameingia jijini toka mikoani, gharama zote hizi nani analipa?
Wizara husika na michezo imeleta furugu kwa wapenzi wa mpira YANGA na SIMBA.
Waziri na Wizara ikicheza na miamba hii ya soka nchini , hautaeleweka kamwe.
Na hapo ndio nasema Bashungwa kwa kuwajibika, hatoshi.
tatizo kulazimisha Legasi. Siku hizi kila mstaafu ambaye anaona kama legasi yake haizungumziwi basi anaibuka na kuandika andika mavitabu yanayoitwa Maisha yake binafsiMimi si mpenzi kinda kinda wa Yanga lakini huwa naifuatilia sana.
Leo ilikuwa tuwafunge Simba ila pampano likaahirishwa kutokana na kujitokeza kwa shughuli nyingine ghafla ya kuzindua kitabu cha Mzaa Ruksa.
Tatizo langu liko hapo!
Taratibu za kuahirisha pambano inabidi taarifa itoke masaa 24 kabla.
Sasa haya tunayoyaona niuswahili uliokithiri.
Hatuwezi kwenda namna hii.
Taarifa ya shughuli ha Mzee Ruksa haikujulikana mapema?
Usumbufu wa taratibu za maandalizi, wapenzi na mashabiki kufika na kuingia uwanjani mapema kuzuia kukanyagana milangoni, matayarisho yawalinzi wetu, wapenzi wameingia jijini toka mikoani, gharama zote hizi nani analipa?
Wizara husika na michezo imeleta furugu kwa wapenzi wa mpira YANGA na SIMBA.
Waziri na Wizara ikicheza na miamba hii ya soka nchini , hautaeleweka kamwe.
Na hapo ndio nasema Bashungwa kwa kuwajibika, hatoshi.
tumekubaliana legacy inayolazimishwa ni moja tu.tatizo kulazimisha Legasi. Siku hizi kila mstaafu ambaye anaona kama legasi yake haizungumziwi basi anaibuka na kuandika andika mavitabu yanayoitwa Maisha yake binafsi
huyo mzee hata akaandika vitabu 20 vitatusaidia nini mambo ambayo hakufanya akiwa madarakani?tumekubaliana legacy inayolazimishwa ni moja tu.
hizi nyingine ziko mbali sana na kick.
We ita manyani, Mbwa, haikusaidii.Wewe sio mpenzi wa yanga ila leo mlikuwa muwafunge Simba kweli Eymael hakukosea kuwaita uneducated, manyani mnabweka kama mbwa hamjui chochote kuhusu mpira.
Naomba Sana Serikali yangu tukufu iachane na kucheza na hisia za watu.kwa mfano ingetokea vurugu pale Mkapa,kutokana na kutokubaliana na maamuzi ya kuahirisha mechi,hivi hali ingekuwaje?pamoja na upole na amani ya wa Tanzania,lakini tukumbuke kila kitu kina life span.Mimi si mpenzi kinda kinda wa Yanga lakini huwa naifuatilia sana.
Leo ilikuwa tuwafunge Simba ila pampano likaahirishwa kutokana na kujitokeza kwa shughuli nyingine ghafla ya kuzindua kitabu cha Mzaa Ruksa.
Tatizo langu liko hapo!
Taratibu za kuahirisha pambano inabidi taarifa itoke masaa 24 kabla.
Sasa haya tunayoyaona niuswahili uliokithiri.
Hatuwezi kwenda namna hii.
Taarifa ya shughuli ha Mzee Ruksa haikujulikana mapema?
Usumbufu wa taratibu za maandalizi, wapenzi na mashabiki kufika na kuingia uwanjani mapema kuzuia kukanyagana milangoni, matayarisho yawalinzi wetu, wapenzi wameingia jijini toka mikoani, gharama zote hizi nani analipa?
Wizara husika na michezo imeleta furugu kwa wapenzi wa mpira YANGA na SIMBA.
Waziri na Wizara ikicheza na miamba hii ya soka nchini , hautaeleweka kamwe.
Na hapo ndio nasema Bashungwa kwa kuwajibika, hatoshi.
Kweli kabisa.apokonywe uraia. kaniudhi sana
Watu hawayaoni mambo kwa mapana yake.Naomba Sana Serikali yangu tukufu iachane na kucheza na hisia za watu.kwa mfano ingetokea vurugu pale Mkapa,kutokana na kutokubaliana na maamuzi ya kuahirisha mechi,hivi hali ingekuwaje?pamoja na upole na amani ya wa Tanzania,lakini tukumbuke kila kitu kina life span.
Atatuambia aliyemwagiza.Mnamsingizia tu,huyo nae kaagizwa