Bashiru Vs Membe: CCM yatoa msimamo wake kuhusu suala hilo

Bashiru Vs Membe: CCM yatoa msimamo wake kuhusu suala hilo

Tatizo sio kumng'oa ishu iko hapo kwenye tume maana wana uwezo wa kupindua kama alivyofanya jecha kule zanzibar
Na hii ndo inaipa jeuri ccm
Mwenyekiti wa tume hawez kupinga maelekezo kutoka kwa bos wake (mteuzi) maana anajua fika kuwa endapo cdm au cham chcht cha upinzan kikichukua madaraka, yeye na wasaidizi wake watafyekelewa mbali maana sheria ya uchaguzi itabadilishwa na tume itapunguziwa nguvu ilonayo sasa
 
OK-- wewe ndo hukuelewa.. nasema nataka Membe awe Rahisi na hoja yangu nikutaka wafanyakazi kula bata za maposho na safari kuliko wa sasa anawekeza kwenye miradi ya Maendeleo tu nakutuacha sisi bila mafungu kama zamani

Hivi katika Kiswahili chetu tuna neno Rahisi au Rais? Huwa sipendi na nachukia mno kama siyo sana kuona Mtanzania tena mwenye Kiswahili chake ' Kiutambulisho ' anakikosea halafu Wageni wanakipatia 100%.[/QUOTE]
 
Mie napenda BM awe Rahisi na W/mkuu wake ae makamba ili tuanze kula bata kama enzi za kikwete.Kipindi cha kikwete kurudi home na laki kila baada ya siku mbili kama posho ilikuwa poa..Sasa hhivi hamna
Nawasilisha.
[/QUOTE]
Haa ha ha, mlitutesa sana nyie watu, bora vyuma viendelee kukaza tu ili tuheshimiane. Joke
 
Hiyo acount membe kashasema sio yake ni wahuni tuu walimzushia kwa kutengeneza acount feki kwa jina lake
 
Hahahaa...... Membe siyo Bulembo utakoma kuvamiavamia.......unaye huyo wenyewe wakongwe wanamwita la mdimu!
Wewe nawe huna haya kabisa
Linjemba membe limezeeka fukara, linashindwa kuwalipa watu alio wahaidi kumfanyia kazi, totally bogus!
Pathetic
 
kama ni hewa basi katibu mkuu anatakiwa kuwajibika kwa kuachia nafasi yake, haiwezekani atutoe kwenye reli kwa siku zote hizi!
KM na mwenyekiti wake wote ni hewa. Usijekuta Chakubanga ndio ame create hiyo account ili kuleta mchafuano
 
Na hii ndo inaipa jeuri ccm
Mwenyekiti wa tume hawez kupinga maelekezo kutoka kwa bos wake (mteuzi) maana anajua fika kuwa endapo cdm au cham chcht cha upinzan kikichukua madaraka, yeye na wasaidizi wake watafyekelewa mbali maana sheria ya uchaguzi itabadilishwa na tume itapunguziwa nguvu ilonayo sasa
Kichefuchefu kiko hapa.
 
Na hii ndo inaipa jeuri ccm
Mwenyekiti wa tume hawez kupinga maelekezo kutoka kwa bos wake (mteuzi) maana anajua fika kuwa endapo cdm au cham chcht cha upinzan kikichukua madaraka, yeye na wasaidizi wake watafyekelewa mbali maana sheria ya uchaguzi itabadilishwa na tume itapunguziwa nguvu ilonayo sasa
Yaa uko sahihi shida tupate tume iliyo huru basi kila kitu kitakuwa wazi bila hivyo tusahau ccm kutoka madarakani na kumbuka mh.rais alishasema ccm itatawala milele anachoringia ni tume yake tuu huko kwenye vyombo vya ulinzi anavyotegemea hamna shida wao wenyewe wanaelewa
 
Mambo yamekua matamu mno Asanteh sana KM kwa kuliamsha Dude.

Membe ndio Habari ya Mjini.
 
Kwa jk ambaye alikuwa rais alishindwa tena kushindwa ptuuuuu
Kweli naamini COMMON SENSE IS NOT COMMON WALAHI
 
Mahaba ya Chadema kwa Membe yanasitajaabisha , badala ya kumlilia Mbowe yupo gerezani wako bize kumlilia mwana ccm Membe!!!!

Kila baada ya saa moja kuna mwana Chadema anaanzisha nyuzi ya kumpromote Membe badala Mbowe.

Baada ya Mbowe kufungwa jela vijana wake wote anaowalipa kumtetea mtandaoni wamekacha kumtetea na sasa wameanza kutumia bando aliliowalipa kumtetea Membe.

Katika hali ya kawaida vijana wa Chadema na magazeti yalitakiwa yawe bize kuongelea kufungwa kwa Mbowe lakini sasa hamna chombo cha habari wala gazeti linaloandika habari za mwenyekiti ,

Bavicha na Chadema kwa ujumla macho yao yote ni kwa mwana ccm Membe!!
Habari za Membe , zinaletwa na wana CCM wala sio CHADEMA, haya ndio makusudio yetu kama wana CCM
 
Shida ya jf humu kila mtu ni mjuaji. Yani unakuta mtu anajifanya anataarifa nyingi na SAHIHI kuliko magufuli. Hakuna mtanzania mwenye source nyingi za habari na SAHIHI kuliko Rais. Ukikuta jf member anajitia mjuaji kuliko magufuli, huwa maajabu sana.
Akili zingine bauana; tunao ushahidi wa baadhi ya maamuzi alio wahi kuyafanya alitoa HUMU. Nani kakwambia mtu anashibaga ELIMU!? Naamini mhe pamoja na hao walio mzunguka but still hua anapitia humu. Hivi hujui kua sometimes washauri na watendaji hua wanaweza kukushauri na kufanya kile unacho kipenda!? Ili aujue ukweli, ni lazima apitie hawa invisible ili ajue mengine yaliojificha au anao fichwa
 
Yani hata na kikwete angeungana nao na mkapa na kinana kumuangush Magu hio ni ndoto ambayo haitatimia kabisa jamaa anapiga 10yrs anakabidhi kijiti kwa huyo anaefata sijui nani
Obvious anaefuata ni Majaliwaaa
 
What goes around comes around
It is time for membe to run and never return walahi
 
tuko tayari kushirikiana na yeyote anayeweza kusaidia kuangusha ccm
 
Rais Magufuli ni mtu wa watu na hana wa kulinganishwa kamwe hapa nchini kwa kizazi chote cha Post-Sokoine. Amepeleka umeme hadi Chiponda ambako ndiko nyumbani kwao Bernard Membe.

View attachment 955577
Waziri wa Nishati Kalemani, akizindua kuwashwa kwa umeme katika Kijiji cha Chiponda, mkoani Lindi. Hizo ni juhudi za Rais Magufuli na slogan yake ya maendeleo hayana vyama. Anawaaibisha wenye roho za kwa nini?

Cha ajabu, naona Membe badala ya kufurahia huduma, mawazo yake yako mbingu ya tano. Anafikiria jinsi anavyoaibishwa kuletewa umeme na mwenzake wakati yeye alishindwa miaka 15 akiwa Mbunge na Waziri.
Naona mmeanza kuweka silaha chini eee.
Na wakati nyie ndio wa kwanza kuzinyanua.

#KaziNaBata
 
We mgambilwa ni yule Dc kijana uliehamishiwa Lindi..ukitokea hapo Dsm! No wonder una ID 2 hii na ile ya Rondo..na una access na documents za mkoa huo ndo mana unatupiamo vipicha picha!
Huyu udc autoe wapi huyu ni musiba wa kijarida cha tanzanite.
 
Back
Top Bottom