Usisahau kuweka namba za simuRais Magufuli ni mtu wa watu na hana wa kulinganishwa kamwe hapa nchini kwa kizazi chote cha Post-Sokoine. Amepeleka umeme hadi Chiponda ambako ndiko nyumbani kwao Bernard Membe.
View attachment 955577
Waziri wa Nishati Kalemani, akizindua kuwashwa kwa umeme katika Kijiji cha Chiponda, mkoani Lindi. Hizo ni juhudi za Rais Magufuli na slogan yake ya maendeleo hayana vyama. Anawaaibisha wenye roho za kwa nini?
Cha ajabu, naona Membe badala ya kufurahia huduma, mawazo yake yako mbingu ya tano. Anafikiria jinsi anavyoaibishwa kuletewa umeme na mwenzake wakati yeye alishindwa miaka 15 akiwa Mbunge na Waziri.
Hahahaa........ Usimfananishe Membe na Nape.....kweli kukariri kubaya!Wewe nawe huna haya kabisa
Linjemba membe limezeeka fukara, linashindwa kuwalipa watu alio wahaidi kumfanyia kazi, totally bogus!
Pathetic
Mbowe kuwa ndani ni triki ya kiwango cha juu sana , ni mchongo mmoja makini sana ambao wachumia tumbo hawatoelewa milele.Mm ninachofurahia ni jinsi mnavyocheza ngoma inayopigwa na ccm huku mwenyekiti wenu akiwa ndani.
Chadema mna vichwa vigumu sana sana!
Sasa kwa akili yenu mnaona kabisa pale Membe yupo kumtoa Magu 2020?
Umeona like yangu huko?Kapeleka kwa pesa yake au kodi ya Watanzania !!! Poor Tanzania, ujinga (Ignorance) ndo mtaji wa wanasiasa. Kama ungekuwa wewe, tayari ungeisha kata umeme kwao Tundu Lisu na Mbowe.
Majaliwa wanaluangwa amewasaliti.Obvious anaefuata ni Majaliwaaa
Kabla hajawaeleza misingi bora ya uongozi,atuombe msamaha kwa kutuwekea yule mtu pale White houseMzee Mangula uko wapi unawaachia vijana chama kinakwenda mrama... Rudi waeleze misingi ya namna ya kuongoza chama, wew ni mkongwe
Kitambo mi ni mwanasiasaDaaa baby lini umekuwa mwanasiasa
Miss you tooGood long time Miss you
Leo nimekuelewa kuliko siku zote safiiiiYanasemwa mengi na yatasemwa mengi ila kama kuna Kosa kubwa ambalo Rais Dkt. Magufuli amelifanya ( na naamini hapa atakuwa alishauriwa vibaya na Watu wake ) ni kuweka mbali au kukaa mbali na ' Fundi wa Diplomasia ' Benard Membe na kwa maoni yangu huenda leo hii tunaona baadhi ya matatizo ya hapa na pale yanatokea hasa Kimataifa kwakuwa hana ' Mafundi ' kama akina Membe.
Hata kama huyu Mtu ( Membe ) aliamua Kuachana na Ubunge lakini Mimi kama GENTAMYCINE bado naamini kwamba Mheshimiwa Rais Magufuli kwa ' Mandate ' yake kama ' Executive ' bado alikuwa anaweza Kumtumia katika ' Baraza ' lake la Mawaziri au hata katika maeneo mengine hasa ya Kidiplomasia ambayo kwa Mimi naona kwamba hadi hivi leo bado tunafanya vibaya na mifano juu ya hili iko mingi tu.
Kwa Mtu mwenye ' exposure ' kubwa na ' iliyotukuka ' kabisa huku akiwa amewahi Kuhudumu katika moja ya Idara / Taasisi muhimu / nyeti Kiusalama katika nchi hii kama Mzee Benard Membe leo hii kumuacha awe tu hivi ' huru ' nadhani ' technically ' kabisa hapa kuna Kosa kubwa sana lilifanyika ama kwa Watu kutokujua au Mheshimiwa Rais Magufuli alilishwa ' Sumu ' za ' Kimajungu ' na Watu wake wa karibu ambao anawaamini nae ' Sumu ' ikamuingia vilivyo na matokeo yake ndiyo haya sasa.
Sehemu yoyote ile hasa kwa Watu wenye ' akili ' sawasawa pale ukishaona kuwa Mtu fulani bado ana ' Potential ' fulani katika nchi ambayo ina Tija ya Kimaendeleo basi yakupashwa uendelee Kumuamini na Kumtumia ila kama pia umeona mwenyewe kwa Vipimo vyako kuwa GENTAMYCINE ni ' Tishio ' Kwako basi njia pekee ya Kumuweza ni ' Kumjumuisha ' katika ' Utawala ' wako ili uweze Kumlevya Kimamlaka lakini pia Kumdhoofisha ' Kimbinu ' pasipo Yeye kujua lakini kumuacha awepo awepo tu ni hatari kubwa kama ambavyo tunaanza kuiona sasa.
Hata hivyo bado hatujachelewa na hasa hasa Rais Magufuli bado hajachelewa kwani Mimi GENTAMYCINE naamini tena kwa 100% kuwa Mzee Benard Membe anaweza kuwa ni ' msaada ' mkubwa mno wa Kiutawala Kwake ama kwa huu muda alioubakisha kwa muhula wale huu wa Kwanza au hata kwa muhula wake wa pili na mwisho. Asiwasikilize wale ' Wanafiki ' ambao wamemzunguka na ambao hata Yeye pia alishakiri mara nyingi tu kuwa walishawahi hadi kumwambia kuwa Katibu Mkuu wa sasa wa CCM Ndugu Bashiru Ally Kakurwa hafai lakini Yeye mwenyewe akajiridhisha nae na kuamua kufanya nae Kazi na tunaona anafanya vyema tu.
Yangu ni hayo tu ila Mzee Benard Membe bado ni ' Lulu ' kubwa katika ' Utawala ' huu asiachwe na apewe ' Majukumu '.
Nawasilisha.

CIG ndio nani ?Polepole yuleyule aliyekuwa anamfundisha CIG na watanzania hisabati?!
Nilipinduka kwenye gari wakati natoka kumpigia kura jiwe ....halafu Leo analeta mambo ya hekaya za abunuwazi kura yangu ameshaikosaHaaaaa jiwe ameniudhi saaana ntamchinja 2020
Nimepoa jinsi anavyonikera huyo mzee we acha tu sijui niseme nini...niliuguza mguu mwezi mzima ye Leo anafanya anavyotaka yeyeDaaaa pole ndo siasa
