Bashiru Vs Membe: CCM yatoa msimamo wake kuhusu suala hilo

Bashiru Vs Membe: CCM yatoa msimamo wake kuhusu suala hilo

Hivi mh membe anaweza kuwa mwanadiplomasia zaidi ya mh mahiga.au ndio kipendacho roho?kama ushushu basi mh mahiga pia ni zaidi

Kwani Majasusi / Manjagu / Mashushu huwa wanazidiana? Halafu ulivyo ' Popoma ' umeanza mwenyewe kwa kusema kuwa nina ' Mahaba ' na Membe je na Wewe kwa Kumtaja hapo Mahiga una nini nae? Kuna Watu huwa mnanilazimisha GENTAMYCINE niwadharau halafu niwajibuni ' Kunya ' na mnanikasirikia hadi kuninunia hapa.
 
Inaweza pia kuwa mbinu ya kumfunika Mbowe .

Sasa hivi vyombo vya habari wanaona kufungwa kwa Mbowe siyo hoja tena
 
Mie napenda BM awe Rahisi na W/mkuu wake ae makamba ili tuanze kula bata kama enzi za kikwete.Kipindi cha kikwete kurudi home na laki kila baada ya siku mbili kama posho ilikuwa poa..Sasa hhivi hamna
Nawasilisha.
[/QUOTE]

Hivi katika Kiswahili chetu tuna neno Rahisi au Rais? Huwa sipendi na nachukia mno kama siyo sana kuona Mtanzania tena mwenye Kiswahili chake ' Kiutambulisho ' anakikosea halafu Wageni wanakipatia 100%.
 
Rais Magufuli ni mtu wa watu na hana wa kulinganishwa kamwe hapa nchini kwa kizazi chote cha Post-Sokoine. Amepeleka umeme hadi Chiponda ambako ndiko nyumbani kwao Bernard Membe.

IMG_0293.jpg

Waziri wa Nishati Kalemani, akizindua kuwashwa kwa umeme katika Kijiji cha Chiponda, mkoani Lindi. Hizo ni juhudi za Rais Magufuli na slogan yake ya maendeleo hayana vyama. Anawaaibisha wenye roho za kwa nini?

Cha ajabu, naona Membe badala ya kufurahia huduma, mawazo yake yako mbingu ya tano. Anafikiria jinsi anavyoaibishwa kuletewa umeme na mwenzake wakati yeye alishindwa miaka 15 akiwa Mbunge na Waziri.
 
Mahaba ya Chadema kwa Membe yanasitajaabisha , badala ya kumlilia Mbowe yupo gerezani wako bize kumlilia mwana ccm Membe!!!!

Kila baada ya saa moja kuna mwana Chadema anaanzisha nyuzi ya kumpromote Membe badala Mbowe.

Baada ya Mbowe kufungwa jela vijana wake wote anaowalipa kumtetea mtandaoni wamekacha kumtetea na sasa wameanza kutumia bando aliliowalipa kumtetea Membe.

Katika hali ya kawaida vijana wa Chadema na magazeti yalitakiwa yawe bize kuongelea kufungwa kwa Mbowe lakini sasa hamna chombo cha habari wala gazeti linaloandika habari za mwenyekiti ,

Bavicha na Chadema kwa ujumla macho yao yote ni kwa mwana ccm Membe!!
Wewe uliyeleta hoja na mimi ninayeshiriki hoja hii ya kipuuzi ni wapuuzi.
 
Kada wa CCM na aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe aliyekuwa mtia nia wa urais kupitia CCM mwaka 2015, akiwa anahojiwa na ITV, mwaka 2013 alidai kwamba, yeye ana maadui 11 na kwamba ikifika mwaka 2016, wataihama Nchi.

Membe aliitoa kauli hiyo akiwa Waziri wa Mambo ya Nje na kwa nafasi yake hiyo, isiyomhusisha na masuala ya ndani ya Nchi, tulitegemea ndiye Waziri wa kwanza ambaye atakuwa na maadui wachache sana nchini, achilia mbali kutokuwa nao kabisa kwani Wizara yake ina-deal zaidi na masuala ya nje ya Nchi.

Hata bungeni, Wizara ya Mambo ya Nje, ni mojawapo ya Wizara chache sana nchini ambazo huwa hazikumbani na maswali magumu bungeni na hupitishwa haraka haraka bila ugumu wowote kutoka kwa Wabunge. Ni kama ilivyo pia kwa Wizara ya Ulinzi.

Sasa, swali linakuja: Kwa kazi gani alizozifanya Bernard Membe katika uwaziri ubunge na wake toka mwaka 2000 hadi 2013, ambao ulimsababishia yeye kuwa na maadui wa mpaka kuweza kutajwa hadi kwenye Tv? Basi hata angekuwa adui 1, maadui yaani wote hao hadi11? Basi napo ungemalizana nao humu humu ndani, yaani unataka hadi wakimbilie Kenya? Ni adhabu gani uliwapangia kuwafanyia hadi uwatake wakimbilie Kenya - ulitaka kuwaua?

Kaulii hiyo ya Membe aliyoitoa kwa umma wa Watanzania ilitaka umma umuone Membe ni strong kuliko Kikwete aliyeonekana dhaifu ama? Je, hao aliowataja ni maadui wa Taifa ama ni maadui wa Membe?

Kwa statement hiyo ya Membe, nini cha kumshauri Rais Magufuli dhidi ya Membe? Na yeye Rais amfukuzie mbali ama?

Je Rais Magufuli amtake Membe kama "anaguna anyooshe mikono ajifanye kama anajukuna?

Je, Membe ndiye anayesifiwa kwa utendaji wa Sera za Mambo ya nje? Soma hapo chini.

Mh Bernard Membe, Ulishafuta kauli hii Kuhusu Rajoelina - JamiiForums

Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya! - JamiiForums
Membe amewashika koni ...2020 twende na Membe
 
Mahaba ya Chadema kwa Membe yanasitajaabisha , badala ya kumlilia Mbowe yupo gerezani wako bize kumlilia mwana ccm Membe!!!!

Kila baada ya saa moja kuna mwana Chadema anaanzisha nyuzi ya kumpromote Membe badala Mbowe.

Baada ya Mbowe kufungwa jela vijana wake wote anaowalipa kumtetea mtandaoni wamekacha kumtetea na sasa wameanza kutumia bando aliliowalipa kumtetea Membe.

Katika hali ya kawaida vijana wa Chadema na magazeti yalitakiwa yawe bize kuongelea kufungwa kwa Mbowe lakini sasa hamna chombo cha habari wala gazeti linaloandika habari za mwenyekiti ,

Bavicha na Chadema kwa ujumla macho yao yote ni kwa mwana ccm Membe!!
Amekufunika wew na mamayako.
 
By the way, can you try to recall how he handled the Lake Nyasa saga as a FM. Can you, also, recall the ITV-Daima Primetime programme of Dk45 where he was a Programme Guest...uh? Did you hear what he said?

Kwahiyo kuniandikia Kwa ' Kiingereza ' ndiyo unataka kunipiga ' Mkwara ' kwamba Wewe ni bonge la ' Msomi ' na ' Mngwini ' au? Aliyekuambia kuwa GENTAMYCINE siyo ' Wordsmith ' tena wa Kutukuka kabisa ni nani? au unadhani na Mimi nilishindwa Kuuanzisha huu ' Uzi ' kwa Kiingereza tena kile Kigumu na cha Ndani kabisa kuliko hiki chako cha Wanafunzi wa Darasa la Tatu pale Bunge Primary au Oysterbay Primary?

Hakuna lugha ambayo GENTAMYCINE naipenda kama Kiswahili chetu hiki hiki hivyo kuja Kwako kuchangia huu ' Uzi ' kwa Kiingerza chako cha Darasa la Tatu Shule ya Msingi umenikera sana tu. Haya sawa tumeshajua kuwa Mwenzetu unajua Kiingereza je kuna Kingine chochote ulichokisahau labda kutoka Kwako na ungependa Sisi TEAM NO KUJUA KIINGEREZA ( wakiongozwa na Mimi mwenyewe ) tukijue?
 
CCM itatawala milele kwa namna hii ya upinzani kukataa mauno kwa kila ngoma inayopigwa na CCM....hapa ni mipango ya CCM kuwatoa wapinzani kwenye hoja ya URAIS 2020 na WAPINZANI walivyo MAZUZU wameacha kila kitu sasa wamebagi kushabikia (KUKATA MAUNO) ngoma wasiyoijua....
 
Rais Magufuli ni mtu wa watu na hana wa kulinganishwa kamwe hapa nchini kwa kizazi chote cha Post-Sokoine. Amepeleka umeme hadi Chiponda ambako ndiko nyumbani kwao Bernard Membe.

View attachment 955577
Waziri wa Nishati Kalemani, akizindua kuwashwa kwa umeme katika Kijiji cha Chiponda, mkoani Lindi. Hizo ni juhudi za Rais Magufuli na slogan yake ya maendeleo hayana vyama. Anawaaibisha wenye roho za kwa nini?
Rais Magufuli ni mtu wa watu na hana wa kulinganishwa kamwe hapa nchini kwa kizazi chote cha Post-Sokoine. Amepeleka umeme hadi Chiponda ambako ndiko nyumbani kwao Bernard Membe.

View attachment 955577
Waziri wa Nishati Kalemani, akizindua kuwashwa kwa umeme katika Kijiji cha Chiponda, mkoani Lindi. Hizo ni juhudi za Rais Magufuli na slogan yake ya maendeleo hayana vyama. Anawaaibisha wenye roho za kwa nini?
Kapeleka kwa pesa yake au kodi ya Watanzania !!! Poor Tanzania, ujinga (Ignorance) ndo mtaji wa wanasiasa. Kama ungekuwa wewe, tayari ungeisha kata umeme kwao Tundu Lisu na Mbowe.
 
We mgambilwa ni yule Dc kijana uliehamishiwa Lindi..ukitokea hapo Dsm! No wonder una ID 2 hii na ile ya Rondo..na una access na documents za mkoa huo ndo mana unatupiamo vipicha picha!
 
Watanzania bana ...Membe kawa fundi wa diplomasia siku hizi! Miaka inaenda kasi sana! Haya ya kumuita huyu fundi ungejaribu kuyasema before 2015 huu uzi ungejaa matusi!

Na bahati nzuri hata hao ambao unawaogopa kwa kusema kuwa ingekuwa ni mwaka 2015 huu ' Uzi ' ungejaa ' Matusi ' wananijua vyema hivyo huenda wangejifunza mapya kutoka Kwangu ambako ndiko MAKAO MAKUU yake kwenyewe. Halafu hakuna mahala GENTAMYCINE nimesema kuwa Bernard Membe alifaa na anafaa kuwa Rais wa JMT na hata huko nyuma katika baadhi ya ' posts ' zangu nilisema waziwazi kuwa kama Membe atakuwa Rais wa nchi hii basi naweza kuwa Mtanzania wa Kwanza kuwa na Kikundi cha Waasi ndani ya Ardhi hii kwakuwa najua kuwa hatoshi / hatoshei na Kauli yangu hii bado itabaki pale pale.

Hoja yangu juu ya Membe ni kwamba kwa maoni yangu bado anafaa Kutumika katika maeneo kadha ya kadha ya ' Kimkakati ' ambayo yanaweza yakawa na Tija kwa nchi yetu / taifa letu ila nashangaa Wachangiaji wengi wameacha Kunielewa Hoja yangu ' Mama ' wao wamekimbilia kuwa nataka Mzee Benard Membe awe Rais. Na ndiyo maana kila Siku huwa nasema kuwa Elimu ya Tanzania inatengeneza Watu ' Mapopoma ' kulivyo TCU na Wizara husika wanavyodhani.
 
Back
Top Bottom