Bashiru Vs Membe: CCM yatoa msimamo wake kuhusu suala hilo

Bashiru Vs Membe: CCM yatoa msimamo wake kuhusu suala hilo

Ha ha ha ha eti Membe homa ya magufuli ndio maana anaomba aombewe asiwe na kuburi ha ha ha ha hakuna rangi ataacha kuona na ile pasmark yake sijui kama inafanya kazi sasa hivi
 
Mahaba ya Chadema kwa Membe yanasitajaabisha , badala ya kumlilia Mbowe yupo gerezani wako bize kumlilia mwana ccm Membe!!!!

Kila baada ya saa moja kuna mwana Chadema anaanzisha nyuzi ya kumpromote Membe badala Mbowe.

Baada ya Mbowe kufungwa jela vijana wake wote anaowalipa kumtetea mtandaoni wamekacha kumtetea na sasa wameanza kutumia bando aliliowalipa kumtetea Membe.

Katika hali ya kawaida vijana wa Chadema na magazeti yalitakiwa yawe bize kuongelea kufungwa kwa Mbowe lakini sasa hamna chombo cha habari wala gazeti linaloandika habari za mwenyekiti ,

Bavicha na Chadema kwa ujumla macho yao yote ni kwa mwana ccm Membe!!
Membe 2020
 
By the way, can you try to recall how he handled the Lake Nyasa saga as a FM. Can you, also, recall the ITV-Daima Primetime programme of Dk45 where he was a Programme Guest...uh? Did you hear what he said?
 
Chadema wako bize kumpotosha Membe kama walivyompotosha Lowasa.

Mahaba ya Chadema kwa Membe yanasitajaabisha , badala ya kumlilia Mbowe yupo gerezani wako bize kumlilia mwana ccm Membe!!!!
zamani nilijua limbwata ni kwenye mapenzi tu ila nimebadili mtazamo hata kushabikia uchafu wa ccm lazima ulishwe limbwata.
 
Magufuli anamjua Membe kuliko wewe unavyomjua,wewe na wengine mnaendeshwa kwa mahaba ila Magufuli amekuwa ccm (serikalini) kwa miaka 20 anawajua wakina Membe na wenzake vizuri sana na anajua kwanini hajamteua.
Kiuhalisia Magufuli hajakosea,kimahaba yako na wenzako kakosea.
-@Sir khan.
 
Nawacheki tuu kisha nawacheka hiii hiii
 
Hivi mh membe anaweza kuwa mwanadiplomasia zaidi ya mh mahiga.au ndio kipendacho roho?kama ushushu basi mh mahiga pia ni zaidi
Kuna watu wakipenda kitu wao ni kusifia tu.Hivi Tanzania nzima ni Membe tu ni potential?Kwamba ilikua ni lzm Membe awe included ktk utawala huu na kuachwa ni kosa kubwa sana.
 
Magufuli anamjua Membe kuliko wewe unavyomjua,wewe na wengine mnaendeshwa kwa mahaba ila Magufuli amekuwa ccm (serikalini) kwa miaka 20 anawajua wakina Membe na wenzake vizuri sana na anajua kwanini hajamteua.
Kiuhalisia Magufuli hajakosea,kimahaba yako na wenzako kakosea.
-@Sir khan.
Shida ya jf humu kila mtu ni mjuaji. Yani unakuta mtu anajifanya anataarifa nyingi na SAHIHI kuliko magufuli. Hakuna mtanzania mwenye source nyingi za habari na SAHIHI kuliko Rais. Ukikuta jf member anajitia mjuaji kuliko magufuli, huwa maajabu sana.
 
Watanzania bana ...Membe kawa fundi wa diplomasia siku hizi! Miaka inaenda kasi sana! Haya ya kumuita huyu fundi ungejaribu kuyasema before 2015 huu uzi ungejaa matusi!
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
 
Tatizo lake kubwa toka alipoingia madarakani alijua na aliamini kuwa ili aweze kuwa na amani ktk uongozi wake ni kuwamaliza Wapinzani kwa kuvisakama vyama vya siasa. Muda wake mwingi yeye na wapambe wake walikuwa wakifikiri dawa ya Wapinzani hasa CUF na CHADEMA kwani ktk imani yake wasingekuwepo basi wale wapinzani wake kama kina Benard Membe wangekosa pa kukimbilia pale ambapo angetaka kuwamalizia kisiasa huko huko ccm.

Sasa muda umekwisha Vyama vile bado vipo ila maadui wamekuwa wengi na wanaoungwa mkono ndani ya chama chake mwenyewe.

Suala la Benard kubadili msimamo wake ni ngumu kwa sasa kwani walishamdhiaki kwa muda mrefu na sasa ameshaonyesha uwezo wake ktk kulisuka jeshi lake hasa Kidiplomasia.

Haya tunayoyaandika ni madogo sana kwa yanayoendelea ndani ya chama cha mapinduzi. Ni suala la muda tu huu moshi wa sasa utakuwa ni moto mkubwa na hakutakuwa na wakuuzima.

Kama angeachana na vyama vya upinzani wafanye shughuli za halali za kisiasa hakika ccm isingefika hapa kwani uhuru wakujieleza ungekuwa wazi na hata hili la Benard Membe angeling'amua mapema. Sasa yeye kila kukicha yeye na viongozi wa upinzani kiasi kwamba hataki kuwaona hata uraiani wakitafuta riziki kwajili ya familia zao. Matokeo yake ndio haya sasa yanayoendelea. Wanaumwa hawajui chanzo cha maradhi ni nini. Kwa sasa wamebaki kufanyia kazi hisia tu na sio uhalisia.
 
Upo sawa kabisa. Kuna watu kwa umahili wao hata kama uwapendi lakini ni maslahi ya Taifa.

Unamuacha Membe ana hang hang peke yake bila kazi za kumkeep bize unategemea nini.

Unamuacha Nape naye ana hang hang bila kazi yoyote unategemea nini.

Wanajipa kazi wenyewe na moto utaonekana.

(kwa mtazamo wangu japo simpendi NAPE ni kiungo mzuri na muhimu sana kati ya Chama na serikali amezunguka nchi nzima kwa ajiri ya Magufuli amazozana vikali na wapinzani mpaka Leo hii Upo madarakani).
 
Chadema wako bize kumpotosha Membe kama walivyompotosha Lowasa.

Mahaba ya Chadema kwa Membe yanasitajaabisha , badala ya kumlilia Mbowe yupo gerezani wako bize kumlilia mwana ccm Membe!!!!

Kabla hujazungumzia mahaba ya Chadema kwa Membe. Tueleze hofu ya ccm kwa Membe. Ni ushurikiano gani unatafutwa kwake, mtu huyu yuko nje ya utawala, hana cheo chochote ndani y Serikali.
 
Utawala wa jpm unafeli anapoweka wazi chuki zake kwa kila competitor na yoyote yule ambae ameenda kinyume na mawazo yake.
 
Ha ha ha ha eti Membe homa ya magufuli ndio maana anaomba aombewe asiwe na kuburi ha ha ha ha hakuna rangi ataacha kuona na ile pasmark yake sijui kama inafanya kazi sasa hivi
Njoo utembelee reli ya umeme utoe unyumbu kichwani
 
Mahaba ya Chadema kwa Membe yanasitajaabisha , badala ya kumlilia Mbowe yupo gerezani wako bize kumlilia mwana ccm Membe!!!!

Kila baada ya saa moja kuna mwana Chadema anaanzisha nyuzi ya kumpromote Membe badala Mbowe.

Baada ya Mbowe kufungwa jela vijana wake wote anaowalipa kumtetea mtandaoni wamekacha kumtetea na sasa wameanza kutumia bando aliliowalipa kumtetea Membe.

Katika hali ya kawaida vijana wa Chadema na magazeti yalitakiwa yawe bize kuongelea kufungwa kwa Mbowe lakini sasa hamna chombo cha habari wala gazeti linaloandika habari za mwenyekiti ,

Bavicha na Chadema kwa ujumla macho yao yote ni kwa mwana ccm Membe!!

Hilo zigo lenu wenyewe lazima akutoeni ngama.
 
Shida ya jf humu kila mtu ni mjuaji. Yani unakuta mtu anajifanya anataarifa nyingi na SAHIHI kuliko magufuli. Hakuna mtanzania mwenye source nyingi za habari na SAHIHI kuliko Rais. Ukikuta jf member anajitia mjuaji kuliko magufuli, huwa maajabu sana.

Naona unachanganya mambo, kuwa na taarifa sahihi na kuchukua maamuzi sahihi ni mambo mawili tofauti. Kwani hao wanaovuta sigara ni kwamba hawana taarifa sahihi kwamba zina madhara?
 
Back
Top Bottom