Bashiru Vs Membe: CCM yatoa msimamo wake kuhusu suala hilo

Kuna mambo yaliyoandikwa na ambayo hayajaandikwa,wakati mkitafakari kuyaandika msisahau kisa cha idrisa abdul wakil aliyeongoza muhula mmoja. Munisamehe
 
Tatizo ni kuwa Maghuful ndo kashikilia rungu, alafu yupo karbu na Lowasa...Mtandao wa membe ushavurugwa parefu sana...kuanzia mabalozi mpak jeshini, huwez kuwashawishi kwa lolote hawa watu kwa sababu wananufaika na utawala uliopo et zaman walikuwa company yako, hlo tu linatosha kumwangusha Membe, usishangae Membe akafutwa uanachama wa CCM kwa nguvu......!! acha kabisa haya mambo
hili ndio pigo la anguko kuu la WANALUMUMBA fisiem
 
Tatizo ni kuwa Maghuful ndo kashikilia rungu, alafu yupo karbu na Lowasa...Mtandao wa membe ushavurugwa parefu sana...kuanzia mabalozi mpak jeshini, huwez kuwashawishi kwa lolote hawa watu kwa sababu wananufaika na utawala uliopo et zaman walikuwa company yako, hlo tu linatosha kumwangusha Membe, usishangae Membe akafutwa uanachama wa CCM kwa nguvu......!! acha kabisa haya mambo
#KAZI NA BATA
 
Yanasemwa mengi na yatasemwa mengi ila kama kuna Kosa kubwa ambalo Rais Dkt. Magufuli amelifanya ( na naamini hapa atakuwa alishauriwa vibaya na Watu wake ) ni kuweka mbali au kukaa mbali na ' Fundi wa Diplomasia ' Benard Membe na kwa maoni yangu huenda leo hii tunaona baadhi ya matatizo ya hapa na pale yanatokea hasa Kimataifa kwakuwa hana ' Mafundi ' kama akina Membe.

Hata kama huyu Mtu ( Membe ) aliamua Kuachana na Ubunge lakini Mimi kama GENTAMYCINE bado naamini kwamba Mheshimiwa Rais Magufuli kwa ' Mandate ' yake kama ' Executive ' bado alikuwa anaweza Kumtumia katika ' Baraza ' lake la Mawaziri au hata katika maeneo mengine hasa ya Kidiplomasia ambayo kwa Mimi naona kwamba hadi hivi leo bado tunafanya vibaya na mifano juu ya hili iko mingi tu.

Kwa Mtu mwenye ' exposure ' kubwa na ' iliyotukuka ' kabisa huku akiwa amewahi Kuhudumu katika moja ya Idara / Taasisi muhimu / nyeti Kiusalama katika nchi hii kama Mzee Benard Membe leo hii kumuacha awe tu hivi ' huru ' nadhani ' technically ' kabisa hapa kuna Kosa kubwa sana lilifanyika ama kwa Watu kutokujua au Mheshimiwa Rais Magufuli alilishwa ' Sumu ' za ' Kimajungu ' na Watu wake wa karibu ambao anawaamini nae ' Sumu ' ikamuingia vilivyo na matokeo yake ndiyo haya sasa.

Sehemu yoyote ile hasa kwa Watu wenye ' akili ' sawasawa pale ukishaona kuwa Mtu fulani bado ana ' Potential ' fulani katika nchi ambayo ina Tija ya Kimaendeleo basi yakupashwa uendelee Kumuamini na Kumtumia ila kama pia umeona mwenyewe kwa Vipimo vyako kuwa GENTAMYCINE ni ' Tishio ' Kwako basi njia pekee ya Kumuweza ni ' Kumjumuisha ' katika ' Utawala ' wako ili uweze Kumlevya Kimamlaka lakini pia Kumdhoofisha ' Kimbinu ' pasipo Yeye kujua lakini kumuacha awepo awepo tu ni hatari kubwa kama ambavyo tunaanza kuiona sasa.

Hata hivyo bado hatujachelewa na hasa hasa Rais Magufuli bado hajachelewa kwani Mimi GENTAMYCINE naamini tena kwa 100% kuwa Mzee Benard Membe anaweza kuwa ni ' msaada ' mkubwa mno wa Kiutawala Kwake ama kwa huu muda alioubakisha kwa muhula wale huu wa Kwanza au hata kwa muhula wake wa pili na mwisho. Asiwasikilize wale ' Wanafiki ' ambao wamemzunguka na ambao hata Yeye pia alishakiri mara nyingi tu kuwa walishawahi hadi kumwambia kuwa Katibu Mkuu wa sasa wa CCM Ndugu Bashiru Ally Kakurwa hafai lakini Yeye mwenyewe akajiridhisha nae na kuamua kufanya nae Kazi na tunaona anafanya vyema tu.

Yangu ni hayo tu ila Mzee Benard Membe bado ni ' Lulu ' kubwa katika ' Utawala ' huu asiachwe na apewe ' Majukumu '.

Nawasilisha.
Gentamycine umenena mkuu kumbuka Obama na Hilary Clinton ama Mandela na Chief Buthelezi
 
Jiwe CCM haimtaki wananchi wa Tanzania tushanchoka arudi kwao Rwanda huko.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Power and money works together
Sio lijitu lililo mwibia Ghadafi pesa
Njemba membe lime kwendraaaaa na maji
58E6F0CC-4CF2-4A5E-9496-FAB8843A1F19.jpeg
 
Mwenyekiti wa CCM akumbuke wazi kwamba Kikwete aliingia KK na HK na majina yake mfukoni. Wajumbe wakamshinda.

Wale unaocheka nao sasa kesho wataanza kuimba Membe! Membe! MEMBE! usije ukabaki na butwaa.

Mimi ninakushauri mkuu wetu. Huenda hawa watu wakawa mapesa mengi au wakasaidiwa kwa mapesa mengi kutoka nje, Si unawajua CIA jinsi wanavyowapachika watu wanaowataka kuwa marais?

Hakikisha mpaka mwaka 2020 wote tunakuwa na pesa mifukoni. Kama si hivyo kuna haja ya kujiandaa kisakolojia kwamba upepo wa siasa unaweza kuwa mgumu kwetu. Wameanza mapema hawa!
Ndugu Magu ata akigombea na halima Mdee kama uchaguzi ni huru anapigwa kweupe, Magu alibugi kutengeneza Maadui nje na ndani ya CCM
Mkuu sa hv Magu na Lowasa wapo pamoja, mizizi ya Kikwete mingi imevunjwa vunjwa mpak akina nape, kinana, Mwamnyange, Mangu, fue nk hawapo kweny system ...Mzungu yeye anaangalia upande wenye faida na sio kuwahurumia nyie....Uongozi wa Maghuful kama hauathir faida ya Mzungu usitegemee ataingilia kati..hlo halipo.....kosa la Membe ni kumualert mapema Maghufuli....Kiufupi ni kuwa Membe hana ubavu wwte wa kumuondoa Maghuful...hakuna uchaguzi wa haki popote pale duniani....
 
Kada wa CCM na aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe aliyekuwa mtia nia wa urais kupitia CCM mwaka 2015, akiwa anahojiwa na ITV, mwaka 2013 alidai kwamba, yeye ana maadui 11 na kwamba ikifika mwaka 2016, wataihama Nchi.

Membe aliitoa kauli hiyo akiwa Waziri wa Mambo ya Nje na kwa nafasi yake hiyo, isiyomhusisha na masuala ya ndani ya Nchi, tulitegemea ndiye Waziri wa kwanza ambaye atakuwa na maadui wachache sana nchini, achilia mbali kutokuwa nao kabisa kwani Wizara yake ina-deal zaidi na masuala ya nje ya Nchi.

Hata bungeni, Wizara ya Mambo ya Nje, ni mojawapo ya Wizara chache sana nchini ambazo huwa hazikumbani na maswali magumu bungeni na hupitishwa haraka haraka bila ugumu wowote kutoka kwa Wabunge. Ni kama ilivyo pia kwa Wizara ya Ulinzi.

Sasa, swali linakuja: Kwa kazi gani alizozifanya Bernard Membe katika uwaziri ubunge na wake toka mwaka 2000 hadi 2013, ambao ulimsababishia yeye kuwa na maadui wa mpaka kuweza kutajwa hadi kwenye Tv? Basi hata angekuwa adui 1, maadui yaani wote hao hadi11? Basi napo ungemalizana nao humu humu ndani, yaani unataka hadi wakimbilie Kenya? Ni adhabu gani uliwapangia kuwafanyia hadi uwatake wakimbilie Kenya - ulitaka kuwaua?

Kaulii hiyo ya Membe aliyoitoa kwa umma wa Watanzania ilitaka umma umuone Membe ni strong kuliko Kikwete aliyeonekana dhaifu ama? Je, hao aliowataja ni maadui wa Taifa ama ni maadui wa Membe?

Kwa statement hiyo ya Membe, nini cha kumshauri Rais Magufuli dhidi ya Membe? Na yeye Rais amfukuzie mbali ama?

Je Rais Magufuli amtake Membe kama "anaguna anyooshe mikono ajifanye kama anajukuna?

Je, Membe ndiye anayesifiwa kwa utendaji wa Sera za Mambo ya nje? Soma hapo chini.

Mh Bernard Membe, Ulishafuta kauli hii Kuhusu Rajoelina - JamiiForums

Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya! - JamiiForums
Kwa hiyo wewe unafikiri upinzani ni umbali au ukaribu? Kuna serikali zinatawala nchi nyingine na ikulu ipo nchi nyingine.Hata akifukuzwa,wewe mvimba macho unafaidikaje?
 
Polepole ni mpumbavu tu aliua anafundisha hesabu Professor Asad nilimwona Polepole sio mjinga bali mpumbavu
 
Yanasemwa mengi na yatasemwa mengi ila kama kuna Kosa kubwa ambalo Rais Dkt. Magufuli amelifanya ( na naamini hapa atakuwa alishauriwa vibaya na Watu wake ) ni kuweka mbali au kukaa mbali na ' Fundi wa Diplomasia ' Benard Membe na kwa maoni yangu huenda leo hii tunaona baadhi ya matatizo ya hapa na pale yanatokea hasa Kimataifa kwakuwa hana ' Mafundi ' kama akina Membe.

Hata kama huyu Mtu ( Membe ) aliamua Kuachana na Ubunge lakini Mimi kama GENTAMYCINE bado naamini kwamba Mheshimiwa Rais Magufuli kwa ' Mandate ' yake kama ' Executive ' bado alikuwa anaweza Kumtumia katika ' Baraza ' lake la Mawaziri au hata katika maeneo mengine hasa ya Kidiplomasia ambayo kwa Mimi naona kwamba hadi hivi leo bado tunafanya vibaya na mifano juu ya hili iko mingi tu.

Kwa Mtu mwenye ' exposure ' kubwa na ' iliyotukuka ' kabisa huku akiwa amewahi Kuhudumu katika moja ya Idara / Taasisi muhimu / nyeti Kiusalama katika nchi hii kama Mzee Benard Membe leo hii kumuacha awe tu hivi ' huru ' nadhani ' technically ' kabisa hapa kuna Kosa kubwa sana lilifanyika ama kwa Watu kutokujua au Mheshimiwa Rais Magufuli alilishwa ' Sumu ' za ' Kimajungu ' na Watu wake wa karibu ambao anawaamini nae ' Sumu ' ikamuingia vilivyo na matokeo yake ndiyo haya sasa.

Sehemu yoyote ile hasa kwa Watu wenye ' akili ' sawasawa pale ukishaona kuwa Mtu fulani bado ana ' Potential ' fulani katika nchi ambayo ina Tija ya Kimaendeleo basi yakupashwa uendelee Kumuamini na Kumtumia ila kama pia umeona mwenyewe kwa Vipimo vyako kuwa GENTAMYCINE ni ' Tishio ' Kwako basi njia pekee ya Kumuweza ni ' Kumjumuisha ' katika ' Utawala ' wako ili uweze Kumlevya Kimamlaka lakini pia Kumdhoofisha ' Kimbinu ' pasipo Yeye kujua lakini kumuacha awepo awepo tu ni hatari kubwa kama ambavyo tunaanza kuiona sasa.

Hata hivyo bado hatujachelewa na hasa hasa Rais Magufuli bado hajachelewa kwani Mimi GENTAMYCINE naamini tena kwa 100% kuwa Mzee Benard Membe anaweza kuwa ni ' msaada ' mkubwa mno wa Kiutawala Kwake ama kwa huu muda alioubakisha kwa muhula wale huu wa Kwanza au hata kwa muhula wake wa pili na mwisho. Asiwasikilize wale ' Wanafiki ' ambao wamemzunguka na ambao hata Yeye pia alishakiri mara nyingi tu kuwa walishawahi hadi kumwambia kuwa Katibu Mkuu wa sasa wa CCM Ndugu Bashiru Ally Kakurwa hafai lakini Yeye mwenyewe akajiridhisha nae na kuamua kufanya nae Kazi na tunaona anafanya vyema tu.

Yangu ni hayo tu ila Mzee Benard Membe bado ni ' Lulu ' kubwa katika ' Utawala ' huu asiachwe na apewe ' Majukumu '.

Nawasilisha.
Kwenye Diplomasia Taifa liko pomoni yuko Mbombezi toshelezi Mr Y kama sio mwisho ...Z
 
Mkuu sa hv Magu na Lowasa wapo pamoja, mizizi ya Kikwete mingi imevunjwa vunjwa mpak akina nape, kinana, Mwamnyange, Mangu, fue nk hawapo kweny system ...Mzungu yeye anaangalia upande wenye faida na sio kuwahurumia nyie....Uongozi wa Maghuful kama hauathir faida ya Mzungu usitegemee ataingilia kati..hlo halipo.....kosa la Membe ni kumualert mapema Maghufuli....Kiufupi ni kuwa Membe hana ubavu wwte wa kumuondoa Maghuful...hakuna uchaguzi wa haki popote pale duniani....

Well said! unafikiri wazungu wanafurahishwa na kubanwa kwao kiuchumi Tanzania? Ninahisi wanatuchukia sana kwa maana ile mianya yao ya kutoroka na maliasili zetu haipo tena.
 
Hivi mh membe anaweza kuwa mwanadiplomasia zaidi ya mh mahiga.au ndio kipendacho roho?kama ushushu basi mh mahiga pia ni zaidi
Naunga mkono! Mahiga ni zaidi ya BM. Kumteua Mahiga JPM alifanya uteuzi sahihi. Kuna wanaCCM wanaompinga JPM kwa kutaka kumtumia BM kama chambo. Mimi sidhani hizo "guerilla tactics" au " war of attrition" zitafanikiwa kwa kuwa historia ya CCM inaonyesha kuwa "mapinduzi" huwa yanatokea kwenye vikao vikuu cha chama chao.
 
Back
Top Bottom