I wish Membe angekuwa Rais leo hii Mbowe asingekuwa gerezani kwa shauri husika.
😀😀😀😀😀Mahaba ya Chadema kwa Membe yanasitajaabisha , badala ya kumlilia Mbowe yupo gerezani wako bize kumlilia mwana ccm Membe!!!!
Kila baada ya saa moja kuna mwana Chadema anaanzisha nyuzi ya kumpromote Membe badala Mbowe.
Baada ya Mbowe kufungwa jela vijana wake wote anaowalipa kumtetea mtandaoni wamekacha kumtetea na sasa wameanza kutumia bando aliliowalipa kumtetea Membe.
Katika hali ya kawaida vijana wa Chadema na magazeti yalitakiwa yawe bize kuongelea kufungwa kwa Mbowe lakini sasa hamna chombo cha habari wala gazeti linaloandika habari za mwenyekiti ,
Bavicha na Chadema kwa ujumla macho yao yote ni kwa mwana ccm Membe!!
kwa hiyo wanajuanaI wish Membe angekuwa Rais leo hii Mbowe asingekuwa gerezani kwa shauri husika.
Bavicha akili zao wanazojua wenyewe
Hahahahahah sijui umeandika nini.Naona unachanganya mambo, kuwa na taarifa sahihi na kuchukua maamuzi sahihi ni mambo mawili tofauti. Kwani hao wanaovuta sigara ni kwamba hawana taarifa sahihi kwamba zina madhara?
Chadema wako bize kumpotosha Membe kama walivyompotosha Lowasa.
Mahaba ya Chadema kwa Membe yanasitajaabisha , badala ya kumlilia Mbowe yupo gerezani wako bize kumlilia mwana ccm Membe!!!!
Yote yataishia sirini au yataanikwa?Wakikutana watapigana vidole tu kuonyeshana nani atamuumiza mwenzie zaidi.
Chadema tuna influence kubwa sana ya kuwachagulia ccm mgombea hata huyu mhutu ilikuwa ni influence ya chademaChadema wakibanwa wanatia huruma
Jamaa kajifanya mjanja na kusahau kwamba;mjanja hajinyoi.Tatizo lake kubwa toka alipoingia madarakani alijua na aliamini kuwa ili aweze kuwa na amani ktk uongozi wake ni kuwamaliza Wapinzani kwa kuvisakama vyama vya siasa. Muda wake mwingi yeye na wapambe wake walikuwa wakifikiri dawa ya Wapinzani hasa CUF na CHADEMA kwani ktk imani yake wasingekuwepo basi wale wapinzani wake kama kina Benard Membe wanhekosa pa kukimbilia pale ambapo angetaka kuwamalizia kisiasa huko huko ccm.
Sasa muda umekwisha Vyama vile bado vipo ila maadui wamekuwa wengi na wanaoungwa mkono ndani ya chama chake mwenyewe.
Suala la Benard kubadili msimamo wakeni ngumu kwa sasa kwani walishamdhiaki kwa muda mrefu na sasa ameshaonyesha uwezo wake ktk kulisuka jeshi lake hasa Kidiplomasia.
Haya tunayoyaanika ni madogo sana kwa yanayoendelea ndani ya chama cha mapinduzi. Ni suala la muda tu huu moshi wa sasa utakuwa ni moto mkubwa na hakutakuwa na wakuuzima.
Kama angeachana na vyama vya upinzani wafanye shughuli za halali za kisiasa hakika ccm isinhefika hapa kwani uhuru wakujieleza ungekuwa wazi na hata hili la Benard Membe angeling'amua mapema. Sasa yeye kila kukicha yeye na viongozi wa upinzani kiasi kwamba hataki kuwaona hata uraiani wakitafuta riziki kwajili ya familia zao.
Na misukule mwaka huu inaipambwa kwa kila rangi. Membe hata ule uwaziri wa mambo ya nje alikuwa hafai. Alibebwa tu kwenye ule utawala ulikuwa umejaa vilaza kama kina Masha, Ngeleja nk
hivi kwani Membe si mwanachama wa kawaida tu upande uleYanasemwa mengi na yatasemwa mengi ila kama kuna Kosa kubwa ambalo Rais Dkt. Magufuli amelifanya ( na naamini hapa atakuwa alishauriwa vibaya na Watu wake ) ni kuweka mbali au kukaa mbali na ' Fundi wa Diplomasia ' Benard Membe na kwa maoni yangu huenda leo hii tunaona baadhi ya matatizo ya hapa na pale yanatokea hasa Kimataifa kwakuwa hana ' Mafundi ' kama akina Membe.
Hata kama huyu Mtu ( Membe ) aliamua Kuachana na Ubunge lakini Mimi kama GENTAMYCINE bado naamini kwamba Mheshimiwa Rais Magufuli kwa ' Mandate ' yake kama ' Executive ' bado alikuwa anaweza Kumtumia katika ' Baraza ' lake la Mawaziri au hata katika maeneo mengine hasa ya Kidiplomasia ambayo kwa Mimi naona kwamba hadi hivi leo bado tunafanya vibaya na mifano juu ya hili iko mingi tu.
Kwa Mtu mwenye ' exposure ' kubwa na ' iliyotukuka ' kabisa huku akiwa amewahi Kuhudumu katika moja ya Idara / Taasisi muhimu / nyeti Kiusalama katika nchi hii kama Mzee Benard Membe leo hii kumuacha awe tu hivi ' huru ' nadhani ' technically ' kabisa hapa kuna Kosa kubwa sana lilifanyika ama kwa Watu kutokujua au Mheshimiwa Rais Magufuli alilishwa ' Sumu ' za ' Kimajungu ' na Watu wake wa karibu ambao anawaamini nae ' Sumu ' ikamuingia vilivyo na matokeo yake ndiyo haya sasa.
Sehemu yoyote ile hasa kwa Watu wenye ' akili ' sawasawa pale ukishaona kuwa Mtu fulani bado ana ' Potential ' fulani katika nchi ambayo ina Tija ya Kimaendeleo basi yakupashwa uendelee Kumuamini na Kumtumia ila kama pia umeona mwenyewe kwa Vipimo vyako kuwa GENTAMYCINE ni ' Tishio ' Kwako basi njia pekee ya Kumuweza ni ' Kumjumuisha ' katika ' Utawala ' wako ili uweze Kumlevya Kimamlaka lakini pia Kumdhoofisha ' Kimbinu ' pasipo Yeye kujua lakini kumuacha awepo awepo tu ni hatari kubwa kama ambavyo tunaanza kuiona sasa.
Hata hivyo bado hatujachelewa na hasa hasa Rais Magufuli bado hajachelewa kwani Mimi GENTAMYCINE naamini tena kwa 100% kuwa Mzee Benard Membe anaweza kuwa ni ' msaada ' mkubwa mno wa Kiutawala Kwake ama kwa huu muda alioubakisha kwa muhula wale huu wa Kwanza au hata kwa muhula wake wa pili na mwisho. Asiwasikilize wale ' Wanafiki ' ambao wamemzunguka na ambao hata Yeye pia alishakiri mara nyingi tu kuwa walishawahi hadi kumwambia kuwa Katibu Mkuu wa sasa wa CCM Ndugu Bashiru Ally Kakurwa hafai lakini Yeye mwenyewe akajiridhisha nae na kuamua kufanya nae Kazi na tunaona anafanya vyema tu.
Yangu ni hayo tu ila Mzee Benard Membe bado ni ' Lulu ' kubwa katika ' Utawala ' huu asiachwe na apewe ' Majukumu '.
Nawasilisha.
Hahahahahah sijui umeandika nini.