Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,188
Sasa mtu anaitwa na Katibu Mkuu wa Chama ambaye ndiye mtendaji Mkuu wa Chama, unamletea kibesi tena unamdharau kabisa wazi wazi na kupitia mitandaoni. Sasa inamaana wewe ndiye umekuwa bosi wake ama?
Hivi kama ni nyumbani kwako umetembelewa na wageni lakini bahati mbaya ukajampa na ukamsingizia mtoto wako kuwa amejamba lakini kenyewe kaanze kukushushua mbele ya wageni na kukana huku wakiku-point tena wewe, utavumilia hiyo hali.
Kwani wakati akina Kinana wanawaamrisha akina Lowassa wasifanye kampeni huku wakiwatishia kuwakata majina yao, walikuwa wanafanya hivyo kwa kuwa na ummarufu ama kwa kanuni za Chama? Mbona Lowassa alikuwa akitii bila kurudishia madongo yaliyokuwa yakitolewa na mtandao wa Membe ukiongozwa na akina Nape Nnauye na baadhi ya Viongozi wa UV-CCM?