Finder boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 608
- 150
Eti walimu ni kichaka cha waliofeli?! umeandaa mazingira gani ya kuwawezesha wanafunzi walioko shuleni wafaulu vizuri? huyu si CCM huyu?! ana miaka mingapi yuko huko? halishindwa nini kuishauri serikali (CCM) kuandaa mazingira mazuri ya wanafunzi kufaulu ili na hao walimu wa baadae wafaulu vizuri?!. Nachokiona kwa Bashe ni kutafuta kick tu ya kisiasa aonekane kwa wapinzani kuwa yeye anaikosoa serikali japo yuko CCM. Basi aendelee