Bashe: Ualimu ni chaka la watu waliofeli, Hakuna dira ya taifa la viwanda

Bashe: Ualimu ni chaka la watu waliofeli, Hakuna dira ya taifa la viwanda

Si kweli,shule kama fedha zinawalimu kama ambao wako shule za serikali mbona zinatoa wanafunzi bora
 
  • Thanks
Reactions: F9T
sio kila anayepata division two kwenye mtihani wa taifa anaakiri kupita yule aliyepata division four kwenye mtihani huo huo. ushahidi ninao, kuna dogo mmoja alikuwa shule ya kata ya hapa kijijini, huyu dogo kwa mitihani ya ndani alikuwa anakimbiza sana (one na two zilikuwa kawaida sana kwake) hadi ile ya mikoa na wilaya (mock) hakuna aliyekuwa anamkamata, lkn cha ajabu NECTA dogo akagonga four ya 26 wale wenzake aliokuwa anawakimbiza wakapiga three nzuri wakaendelea mbele yule dogo akaenda kusomea ualimu wa primary kiroho safi, sasa hebu hapo tuambizane nani alifaa kuwa mwalimu kati ya dogo na hawa wenzake?. tusidanganyane kuwa ualimu hadi ufaulu, hiyo ni hapana badala yake ni kuwa kazi yoyote ili mtu aipende ni kulipwa vizuri na mazingira mazuri ya kufanyia kazi FULL STOP.
 
bila walim kuthaminiwa na kuheshmiwa 2tegemee elim dun na maendeleo duni. m naamin maendeleo ya nch n reflection ya elim wanayoipata wananch wake maana elim bora inazaaa wataalam ktk njanja zote za kmaisha. n lazma uwekezaj mkubwa ufanywe ktk elm mpaka dkk hii sion jtihada za dhat ktk kuboresha elimu. maendeleo dun ya kiuchum, kjamii siasa na kifkra 2liyonayo n matokeo ya uwekezaj dun ktk elm
 
Mishahara ingepangwa kulingana na ufaulu ingefanya hata wanaopata div 1 wafikirie kujiunga ualimu... Mwenye div 4 alipwe kiasi kisichozidi 150,000/=
 
Mishahara ingepangwa kulingana na ufaulu ingefanya hata wanaopata div 1 wafikirie kujiunga ualimu... Mwenye div 4 alipwe kiasi kisichozidi 150,000/=
Exactly.Na wabunge mishahara ilipwe kutokana na elimu.
 
Umenikumbusha wakati nipo primary kulikua na Mwalim wetu wa michezo, sasa alikua anatafuta wachezaji wataowakilisha Shule yetu kwenye mashindano ya Umitashumita, basi yule mwalim alikua anapenda Sana mtu akipiga kichwa mpira, basi ikitokea mpira umekuja juu ukiupiga kwa kichwa tu utasikia "Mwandike huyo atakua mchezaji mzuri! Umeona kapiga kichwa" na mwisho wa siku team yetu ya shule haikufika kokote, ilichezea kichapo cha kufa mtu!
hahahahaha
Hiyo kali Mkuu.
 
mm nasema hivi kwa mazingira na miundo mbinu ya shule ya hapa kijijini kwetu maboha wilaya ya kaliua, hata ukusanye ma T.O wote waliowahi kutokea nchini waje wafundishe katka shule hii wanafunzi kufeli kuko pale pale. SHULE NI MAZINGIRA MAZURI, MIUNDOMBINU MIZURI NA MASRAHI MAZURI KWA WALIMU full stop
 
mm nasema hivi kwa mazingira na miundo mbinu ya shule ya hapa kijijini kwetu maboha wilaya ya kaliua, hata ukusanye ma T.O wote waliowahi kutokea nchini waje wafundishe katka shule hii wanafunzi kufeli kuko pale pale. SHULE NI MAZINGIRA MAZURI, MIUNDOMBINU MIZURI NA MASRAHI MAZURI KWA WALIMU full stop
Kwa hiyo mnasubiri serikali ije iweke mazingira mazuri,miundonbinu mizuri.Kwani nyie wananchi mmejipangaje?
 
kiujumla nakubaliana kwa 50% na mawazo ya bashe ila sikubaliani naye 100% kwamba kila aliyeko uwalimu alifeli. je mwalimu mzuri ni yule aliyepata GPA akiwa sekondari amayule aliyefaulu vizuri masomo ya ualimu? naheshimu dhana ya vyeti ingawa siafiki kwamba kila mwenye cheti kizuri ana uwezo wa kitu fulani. wako wanafunzi wana vyeti vizuri ila majibu ya mitihani walipewa siku ya mtihani. matatizo ya elimu yanachangiwa na serikali kutoweka kipaumbele kwenye elimu. kwa mfano kwenye shule zetu nyingi za kata walimu wa masomo ya hisabati na sayansi ni wa kutafuta kwa tochi. je tutapata mafanikio katika sekta mbalimbali kama madaktari, wahandisi na wengineo? je walimu wetu wanapewa updates za mambo yao na serikali? je serikali inawapa stahiki zipasazo? je mzingira ya kufundishia na kujifunzia yako vizuri huko mashuleni? je katika utungaji wa sera za elimu na mitaala ya elimu ni kiasi gani hao walimu wanashirikishwa?
 
Akichangia kwenye bajeti ya Elimu mwaka 2016/17 mbunge wa Nzega Hussein Bashe amesema hali ya elimu nchini ni ya kusikitisha na hatari kwa ukuaji na usalama wa taifa, dira ya nchi haiendani na elimu inayotolewa, tunaenda kujenga taifa la viwanda lakini hatuna wataalamu wa sayansi

wale wanaofeli au kupata alama za mwisho za ufaulu ndio wanaenda kufundisha, amesema hii ni hatari sana kwani ni kama kujenga nyumba huku msingi wake ukiwa dhaifu mno


Bashe! Bashe! Bashe! Una point lakini kumbuka aliyekufikisha hapo ni huyo unayemdiss, tumia busara na akili kwenye kutoa mawazo yako
 
Hongera Mh.Bashe kwa kuongea ukweli.Mimi kwa mawazo yangu wanafunzi wanapata grade za juu ndio wawe waalimu.Walipwe mishahara minono kuliko hata Wabunge.Wabunge walipwe mara mbili ya madiwani.Kitendo cha wanafunzi waliofeli kuwa walimu tumejitia kwenye kitanzi kama nchi.

Na hilo ndio tatizo kubwa Tanzania, mwalimu ni mtu wa mwisho kupew kipaumbele.
Ndalichako alitakiwa afumue mfumo wa elimu kwa kuanzia na walimu wenyewe.
1. Aongeze mishahara ya walimu, walimu wanalipwa mishahara ya chini kabisa kiasi inauwa motivation.

2. Mwalimu awe ni mwanafunzi aliyepass na sio failure, pia wawe na degree. Wakati nakaa nje nilishangaa walimu wa primary wana degree na degree ikiwa mbaya hawachukuliwi.
Hii itasaidia kujenga taifa la wanajiolewa.

3. Kuwe na incentives makazini

Yani Elimu ya Tanzania inatakiwa iangaliwe upya kuanzia primary schools to universities, viongozi mpo madarakani muda mrefu hamna exposure na hamtaki kujifunza. Mkipelekwa training mnaishia kwenda kutembea tuu na kupiga mapicha miweke kwenye social media matokeo yake hamna jipa.

Muwaachie vijana waliosoma walete mabadikiko nchini
 
Bashe: ualimu ni kazi inayotakiwa kuheshimika kama kazi nyingine.
Ukisimamia kweli,kweli itakuweka huru....endelea kusimamia kweli ,usiogope maana ALLAH ndiye mlinzi wako mkubwa.
 
Back
Top Bottom