Bashe: Ualimu ni chaka la watu waliofeli, Hakuna dira ya taifa la viwanda

Bashe: Ualimu ni chaka la watu waliofeli, Hakuna dira ya taifa la viwanda

"UALIMU NA ELIMU VIPEWE UMUHIMU"
1.Usitegemee daktari ,Mhandisi,mwanasheria nk. bora aliyefundishwa na mwalimu aliyeandaliwa kwa kulipua
2.Ustegemee taafia kujitegemea kama mfumo wa elimu haujajengwa imara
3.Usitegemee ugunduzi wa kisayansi kama mfumo wa elimu ni mbovu
4.Usitegemee jamiii yenye usaarabu kama watu wake hawana elimu bora
5.Usitegemee jamii yenye afya bora kama watu wake hawana elimu bora ya lishe
 
Serikali ilikua inaogopa kuwaajili wanafunzi wenye ufaulu wa juu kwa sababu ipo siku watadai haki zao stahiki so kuepuka hivyo ikawafanya kuajili walimu wa elimu ya chini ili wawe mabubu kwenye haki zao na ioga pia
 
walimu inatakiwa wakaguliwe vyeti vyao km hapana sifa watolewee
 
A friend of yours ahh! Go tell him to see a Psychologist, He is surely mentally retarded. Anajua maana ya kufeli? kufeli kunaanzia Div ngapi? Anajua requirements za kujiunga ualimu ngazi ya cheti, stashahada na shahada? Akaulize alafu akalinganishe na matokeo yake atapata jibu. And ask him alikua anamaanisha Walimu wa Tanzania au Somalia?
Mbona kama umepanick ama na wewe ni KILAZA
 
Akichangia kwenye bajeti ya Elimu mwaka 2016/17 mbunge wa Nzega Hussein Bashe amesema hali ya elimu nchini ni ya kusikitisha na hatari kwa ukuaji na usalama wa taifa, dira ya nchi haiendani na elimu inayotolewa, tunaenda kujenga taifa la viwanda lakini hatuna wataalamu wa sayansi

wale wanaofeli au kupata alama za mwisho za ufaulu ndio wanaenda kufundisha, amesema hii ni hatari sana kwani ni kama kujenga nyumba huku msingi wake ukiwa dhaifu mno

 
Binafsi Sio Muumini sana wa haya mambo ya vyeti, sababu mifano hai tunayo hata Makazini mwetu humu, mtu anacheti kizuri, score nzuri lakini ufanisi na utendaji kazi wake hauendani na Grades/GPA's alizopata katika ngazi mbalimbali za Elimu..... Nafikiri kuna tatizo la kimfumo kuanzia namna ya Upatikanaji wa hawa Waalimu ambao tunawakabidhi Watoto wetu, mifumo ya kuwatrain na kuwaandaa hawa walimu, Mazingira ya kufanyia kazi, Mitaala ya Kielimu iliyopo, Maslahi ya walimu na mengineyo kama hayo....Elimu ikipewa hadhi yake inayostahili ni rahisi sana kama Taifa kufikia ndoto na mafanikio yetu ya elimu tunayoitamani.... Kuna watu wanavyeti vizuri tu na ni vihiyo/Vilaza(kama rais alivyosema).... Tuache Siasa kwenye Mambo ya msingi tusikimbilie kuhukum watu wa Division 4 tujiulize tu ni wapi tulikosea, na tuipe thamani elimu natuachane na hizi blah blah za division 4 mara One ambazo ni Siasa na sio uhalisia wa tatizo halisi la Elimu yetu ambayo inatengeneza watu wenye vyeti vizuri lakini wenye ufanisi mdogo katika utendaji kazi wa yale waliyoyapitia huko Madarasani.... I STAND TO BE CORRECTED
 
Exactly.Na wabunge mishahara ilipwe kutokana na elimu.
Mimi hayo ndio yalikuwa maoni yangu kwenye katiba na nakala bado ninayo! Na katika kusimamia hoja yangu, niliona kuwa ndio njia ya kuondoa watu wanaokimbilia mishahara MINONO.
 
Mbona Bashe kila anachoongea kinaletwa hapa JF?
Sasa ulitaka kiletwe wapi mkuu wakati bunge live hakuna? Kila mbunge makini anatafuta namna ya kuwajulisha waliomchagua anachokusema bungeni, hasa kwa wale wabunge wenye hoja za msingi.
 
Lkn Bashe sio Fisi em nimejaribu kufuatilia spich zake na hata uvaaji wake huyo jamaa ni jembe
 
Hhaaa, kumbe walishasema hivi
Bashe anaelewa asemacho.Kama hawa wanafunzi wa education walivyompiga dogo kule mbeya.Mimi najiuliza je wale ni walimu watarajiwa au ni [HASHTAG]#Teamscorpion[/HASHTAG].
 
Hongera Mh.Bashe kwa kuongea ukweli.Mimi kwa mawazo yangu wanafunzi wanapata grade za juu ndio wawe waalimu.Walipwe mishahara minono kuliko hata Wabunge.Wabunge walipwe mara mbili ya madiwani.Kitendo cha wanafunzi waliofeli kuwa walimu tumejitia kwenye kitanzi kama nchi.
ila walipochujwa vilaza waliokuwa wanasomea ualimu UDOM...mkasahau, Vigezo vya kujiunga kikuu vilipoongezwa mmekuwa wakali....Namuagiza Lowassa akae huko chadema hadi wote muwe mataahira ndio atoke. Vigeugeu!
 
ila walipochujwa ****** waliokuwa wanasomea ualimu UDOM...mkasahau, Vigezo vya kujiunga kikuu vilipoongezwa mmekuwa wakali....Namuagiza Lowassa akae huko chadema hadi wote muwe mataahira ndio atoke. Vigeugeu!
Hueleweki wewe na v.ilaza wenzio.
 
Yani bashe Mungu ambariki kila neno analo toa linakuwa lina mahana kubwa
 
ila walipochujwa ****** waliokuwa wanasomea ualimu UDOM...mkasahau, Vigezo vya kujiunga kikuu vilipoongezwa mmekuwa wakali....Namuagiza Lowassa akae huko chadema hadi wote muwe mataahira ndio atoke. Vigeugeu!
Usichangie kwa kupaniki utaharibu mada we wa lumumba [emoji1] [emoji1]
 
kweli hapa Kuna mwalimu feki kila kitu hana cheti wala cha form 4 lakini anadunda tu
 
Back
Top Bottom