Bashe(Mb): Ipo siku watu watatafuta haki yao mtaani!

Bashe(Mb): Ipo siku watu watatafuta haki yao mtaani!

Ccm hawaaminiki kwa chochote ni ukoo wa panya......hapo katumwa ionekane kuna mwanaccm anawajali watz....
ALAFU SI ALIAMBIWA NA CCM KUWA YEYE SIO MTZ?
Hatuchelewi kusikia "BRING HIS PASSPORT HERE NOW"
 
Siku akimsifu JPM mtamuita mnafiki, kama vile Nape eti leo kwenu sio mnafiki!
Bavicha ni pure crap kabisa.
unapokuwa fala usitake watu wakueleze kiasi gan cha ufala ulicho nacho kichwani mwako!!!!! kwa ufala wako bavicha wanausika nin hapo!!!
 
Kigwangalla alileta hyo hoja mwisho wa siku akavuna aibu na akaishia kukimbia jimbo!!! nyie mjibu hoja yye awe raia asiwe raia amewapa ushauri hivyo mfanyie kazi kuanza kumshambulia haitoleta BUDGET REALISTIC au DEVELOPMENT GROWTH!!

Soma. Comment katika hiyo thread utaelewa. Ila hilo nimekuambia jua 2020 hutamuona tena kwenye jimbo
 
Je unafikiri Nape baada ya kutenguliwa uwaziri ndo anaanza kutetea ya ben saanane anastahili kuitwa jembe na bavicha ilhali muda wote alikaa kimya??
Ebu tupime unafiki wako hapa!
Sasa kama kaanza kutetea ukweli kwanini tusiungane nae? Akili zimemjia sasa
 
Apewe wizara? Tena ya mambo ya ndani?

Unajua ni kwa nini hakupewa wizara wakati wa JK awamu ya 4??

Unaelewa ni kwa nini hakupewa wizara awamu hii ya JPM?

Na unajua ni kwa nini hatarudi tena bungeni kwenye uchaguzi wa 2020??

Ukipata majibu / ukijibu hayo maswali utaelewa sababu.
Jibu ni rahisi sana.
Apewe ili tujue mwisho wake ni nini na nini kinamsukuma kuleta hoja za kimapinduzi.
 
Budget ya serikali haina uhalisia,mpango wa budget wa mwaka 2016,2017,2018 mambo ni yale yale.
Aishauri serikali kutenga pesa nyingi kwenye kilimo maana asilimia kubwa ya watanzania ni wakulima.
Hakuna fedha kutoka serikali kuu kwenye kwenye halmashsuri-ni ngumu kutekeleza shuguli za maendeleo.kinachokusanywa na halmashauri hutumika kuendeshea ofisi.


Twendeni taratibu nchi itatulia tu
 
Hata Yesu alisema atarudi, miaka 2000 baadaye bado tunangoja, ... stupid na less intelligent people ndiyo huongea ujinga kama sijui ipo siku, kwa nini isiwe leo na sasa hivi? Bomboclat!
Yesu gani alosema atarudi miaka 200
 
Yaani ccm wakizidiwa wanaanza kauli km hizi,Bashe kunakitu anakitafuta,utasaidia police, unahucana na wauaji/wahalifu.Jamani nchi imeoza kwani ni cri!nyie wachache mnaofaidi ufalme wa magufuli,mczuie wanaoweza kutetea umma kufanya hivyo.wachache walio ccm wanaoweza kuicmamia kweli,tuwatie moyo na kuwasaidia ili nchi na vyote vijazavyo,vitufae wananchi wote.hivi kwann mnajipofua inapofikia suala la ukweli wa ccm kuendesha nchi kinyume na utaratibu ? Mungu ucyependezwa na unafiki,nakuita Baba yangu kwa ajili ya hawa wanafiki wote wanao puuza ukweli unaosemwa na wenye nia ya kuiponya nchi,Shusha kikupendezacho dhidi yao ili wactumie tena vinywa vyo kinafiki kutuzuia tucfikie Uhuru wetu,na kurejesha amani ya nchi.Mungu km uliwashusha wafalme nyakati hizo,km Bibilia inavyo onyesha,hujabadika ni Ww yuleyule,Jana,Leo na hata milele,shusha huu utawala wa nchi yetu Mungu.umekua ni utawala mzigo, mkubwa na mzito uco bebeka kwa tuliowengi.tuokoe kwa huruma yako tu Mungu,tunaumia kuliko maelezo ! Ninakuamini kwa utendaji uoc na kasoro,nikushukuru tu nikitazamia.Amen
 
Kwa ujinga wako unafikiri ni nani anayetakiwa kukamatwa hapa tz? Kwa uelewa wako unadhani wabunge hawatendi maovu? kabla ya kusema kuwa serikali ya kijinga ni vema kwanza ukaondoa ujinga wako kabla.
We boya unabishana na ccm mwenzio acha upimbi,tutampa nani bukusaba kama mnagongana hewani??Tulia,soma uelewe ndipo ureply acha ufala kama mh. ....
 
Back
Top Bottom