Bashe(Mb): Ipo siku watu watatafuta haki yao mtaani!

Bashe(Mb): Ipo siku watu watatafuta haki yao mtaani!

hiyo ni kazi ya polisi kuchunguza makosa ya kijinai, bunge linahusikaje? au sheria hazijitoshelezi apeleke mswaada binafsi ujadiliwe.
ila faru john na makontena yanastahili kuundiwa tume/kamati??? kaz kwelikweli
 
labda mwenyekiti ampishe kiti, yaani akajipange na akina team wema acheni kumshushia heshima bashe.
embe acha dharau wwe hata mzee wenu Pius msekwa juzi kasema hapa CHADEMA ya ssa ni kma TANU ya enzi hizo...... nashanga wwe dagaa usiyejulikana na yeyote ccm ndio ujifanye unaidharau chadema??? douche
 
NIngekua ndio Mr prezida watu kama Bashe ningekua nawasikiliza vizuri sana and then mawazo yao nina ya apply kimya kimya; sio kua na mawazo ya kijinga kama wana ccm wengi wa humu wanao waza eti afukuzwe; mimi ningefanya kila niwezalo kwamba hata uchaguzi wa 2020 anapita but mikakati yote ningeifanya bila ya yeye kujua. Watu kama hawa wangemsaidia sana mhe rais cause hao kina Mwakyembe nahisi wao wanamshauri vitu anavyo vitaka tu.
 
u cant be serious...... i mean how on earth can a so called ILLEGAL IMMIGRANT elevate into such a pivotal position in our country??? where had our security been all this time??? such am insisting shame upon you ccm and ur subjects coz why bring in such a motion when your poor policies have been criticized firmly by Mr Bashe??? just as ccm had lost in 2010 u will again lose to bashe in 2020 coz justice will always prevail no matter how!!!

Justice will prevail while, he is in Mogadishu
 
Watamkata kama shyrose bhanji

Ameisha katwa , sasa hivi ni kurudishwa tu Mogadishu ndiyo ataelewa kuwa awamu hii siyo.shamba la Bibi tena.

Nape alisema, nitaondoka uwaziri, na bashe msomali kisha sema yuko tayari kufukuzwa kwa maneno yake ameisha jifukuzisha hadi kujifuta uraia.
 
Justice will prevail while, he is in Mogadishu
Hamna shida filikunjombe na wangwe walikufa ila wamekuja kina bashe na lissu nao wakiondoka watazaliwa wengine wapambanaji na watetezi wa haki and justice will still prevail whether bashe is in tz or somalia or whether dead or alive justice will prevail forever mark my words
 
Ccm mna midomo ! Mbona alipokua kada mtiifu wa ccm hamkumuita Bashe msomali ? Kinana kwakua mnae ccm ni mmasai? Mtu akiwa acha tu mnamnyanganya utaifa na kabila lake ! Lowasa nae mlisema c mtanzania.hovyo kbs nyie.mnataka watu wawanyenyekee na kuwasaidia kuangamiza nchi wakikataa,mnawakamata,m mnawaweka ndani,mnawatesa ili tu wawaungamie.wafu wakubwa wa kuzimu nyie.watu wamewachoka mnatumia nguvu kukubalika na kuongoza hata mataifa ya nje yanajua nyie ni ma pagnantic leaders.
 
kama umesha wai fika shinyanga mjini nadhani anachokizungumza BASHE UTAKUA UNAJUA ANACHO KIMAANISHA NA HAKINA UNAFKI HATA KIDOGO na kama huja wai fika fanya ufike ili upate kujua anacho kizungumza.
MGODI MKUBWA WA ALMASI UPO SHY
MIGOGI MIKUBWA YA DHAHABU IPO SHY

Lakini sasa angalia mkoa wenye haufanani kabisa na hizo shughuli zinazo patikana hapo.
 
huyu naye anazidi kuwehuka kwa kutaka sifa.
 
Don't Hate The Player..., Hate The Game.
Ahsante sana Mr. Bashe & the truth shall set you free always.
 
Hamna shida filikunjombe na wangwe walikufa ila wamekuja kina bashe na lissu nao wakiondoka watazaliwa wengine wapambanaji na watetezi wa haki and justice will still prevail whether bashe is in tz or somalia or whether dead or alive justice will prevail forever mark my words

We don't care about all such quotations what we need is our country to be safe and not otherwise!
 
Back
Top Bottom