Ni manafiki tu kama wanafiki wote wa fisiem. Huwezi kuwa mwanafisiem kama wewe sio mnafiki!Huyu jamaa sio mnafiki huo ndo uzuri wake.
kwahyo hata kuhoji bajeti ya 2015/16 haikuwa realistic nayo HAINA JIPYA???? duh yaani badala ya kujibu hoja ila mnamjibu mtoa hoja kaz kwelikwelihuyo team mamvi hana jipya..
yeye katoa tu RAI ssa ni wapi kwenye video kawaambia wananchi waandamane???? acha ushabiki mkuu bashe kaongea hoja muhim hta ccm wenzake najua wamezikubali moyoni shuda ni nyie mnaanza kuattack personality ya mtu ssa kisa msomali mara cjui al shabaab its patheticAcha hizo, unaelewa maana ya mwakilishi wa wananchi bungeni kusema au kuhamasisha watu kuingia mtaani ??
Je, kama ameisha tengeneza kambi ya magaidi anataka kupitia hiyo kauli yake waingie mtaani kisha aseme kuwa alisema ?? Who knows ?
Ila, kwa kauli yake hiyo; serikali inatakiwa ichukue hatua stahiki kwa ajili yake!!
Note: mi siyo mfuasi wa vyama
kwahyo hata kuhoji bajeti ya 2015/16 haikuwa realistic nayo HAINA JIPYA???? duh yaani badala ya kujibu hoja ila mnamjibu mtoa hoja kaz kwelikweli
Sasa hizo nyingine nazo si zilikuwa na amani kma tanzania!! au unafkiri zilikuwaga na vita tola zinapata uhuru????Bajeti na hoja alete ila siyo yeye aseme kuwa watu waingie mtaani amesikia huku Tanzania ni nchi isiyo kuwa na sheria na taratibu?
Haina shida, utanioa siku nyingine...Aisee ungekuwa jirani ningekuoa madam. Safi sana
Haya ya Bashe mimi sijui ila nina uhakika wa kitu kimoja kuwa 'Yesu atarudi' na hili si jambo la kijinga!!!!Hata Yesu alisema atarudi, miaka 2000 baadaye bado tunangoja, ... stupid na less intelligent people ndiyo huongea ujinga kama sijui ipo siku, kwa nini isiwe leo na sasa hivi? Bomboclat!
Huo sasa ukaburu!Mtu mwenyewe msomali
Huo sasa ukaburu!
yeye katoa tu RAI ssa ni wapi kwenye video kawaambia wananchi waandamane???? acha ushabiki mkuu bashe kaongea hoja muhim hta ccm wenzake najua wamezikubali moyoni shuda ni nyie mnaanza kuattack personality ya mtu ssa kisa msomali mara cjui al shabaab its pathetic
Ngoja akitimuliwa aende Apendapo ndio utamjua unafiki wake.Huyu jamaa sio mnafiki huo ndo uzuri wake.
Wazushi wa nini?? FafanuWazushi tu nyie
Alshabaab huyo, Dawa ni kumrudisha kwaoMpe au kamteke
Swissme
Kigwangalla alileta hyo hoja mwisho wa siku akavuna aibu na akaishia kukimbia jimbo!!! nyie mjibu hoja yye awe raia asiwe raia amewapa ushauri hivyo mfanyie kazi kuanza kumshambulia haitoleta BUDGET REALISTIC au DEVELOPMENT GROWTH!!
Hajasema watu waingie mtaani-kasema hali iliyopo inaweza kusababisha watu waingie mtaani kudai haki yao umekaa huko nje ya nchi mpaka unasahau kuelewa kiswahiliMimi siyo ssm wala ukawa niko na shughuli zangu za biashara nchi za watu tena mbali sana , ila kwa huyo msomali kusema watu waingie mtaani ni jambo ambalo halipaswi kufumbiwa macho hata kidogo aisee.
Anajua kuwa wajombaze kule somalia hawalali kila siku watu wanapukutika?
No , come on guy, we must keep our country safe even if is by sacrificing one person as Jesus on the cross!!