Bashe(Mb): Ipo siku watu watatafuta haki yao mtaani!

Bashe(Mb): Ipo siku watu watatafuta haki yao mtaani!

Siku akimsifu JPM mtamuita mnafiki, kama vile Nape eti leo kwenu sio mnafiki!
Bavicha ni pure crap kabisa.
Hawezi itwa manafiki kama atasifu kinacho paswa kusifiwa , mbona kuna mengine huyu mh. Hata mimi namsifu sana sana, wanafiki nyie msio penda kuwa wakweli maana shida mnaiona tena wazi kabisa lakin mnacho sema mdomoni kingine na moyo unashuhudia kingine kabisaaa na huo ndio unafiki mkubwa sana kwenu nyie
 
Budget ya serikali haina uhalisia,mpango wa budget wa mwaka 2016,2017,2018 mambo ni yale yale.
Aishauri serikali kutenga pesa nyingi kwenye kilimo maana asilimia kubwa ya watanzania ni wakulima.
Hakuna fedha kutoka serikali kuu kwenye kwenye halmashsuri-ni ngumu kutekeleza shuguli za maendeleo.kinachokusanywa na halmashauri hutumika kuendeshea ofisi.

huyu jamaa kichwani haziko sawa, yeye ni mmoja wa madiwani anaingia kwenye vikao vyote vya halmashauri kuanzia fulikanseli siakawashauri huko! mbona Zitto anakaa na halmashauri yake wanapanga mipango yao ikiwemo bima kwa wote, yeye anashindwa nini?
 
Huyu amfate tajiri yake, mamvi......maana naona mahaba bado yanamtesa!
 
Naona sasa , Bashe afutiwe tu uraia, yaani yeye anachokiona kule somalia kwa wajomba zake ndicho anachotaka kutuletea huko Tanzania kuwa , watu waingie mtaani , anafurahia watu kufa?

Bashe, don't cross a margin line though your almost there!

Huyu msomali, amesema TISS kuna makundi, tena sasa hivi anahimiza watu kufanya fujo??

Aaaaghrrrr, come on , where is the government to take proper actions against this non- tanzania!!?
 
Kuna mtu kanusa harufu ya damu anataka aue ndo atatulia, zile safari za kwenda kwa wauaji kama museveni na kagame zitalipa soon, haiwezekani tunyanyaswe kwenye nchi yetu ambayo wanaotunyanyasa wanatumia jasho letu "KODI" kutunyanyasa.
 
Bashe huku kwetu ukweli hautakiwi, huku kunatakiwa kusifu na kuabudu [emoji1] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji107] [emoji107]
 
Yaani kusema mfalme yuko uchi ni mwiko sisiemu, pamoja na ukweli yuko uchi..! Bajeti ya mwaka jana tumeisoma so far pesa zilipelekwa ni asilimia 34 tuu ya zilizopitishwa na bunge.. Haya ndo anayoyasema Bashe, lakini kwa kuwa sisiemu lazima ujitoe ufahamu wanaipotezea mubashara bila chenga.. Na hii ni namba, na namba haziongopi.. Endeleeni kumuona Bashe kama mpinzani, mfuasi wa Lowassa na asie na heshima na chama chenu cha mafisiemu, lakini ukweli anaouzungumza Bashe ndio huo uliopo sasa..
 
huyu jamaa kichwani haziko sawa, yeye ni mmoja wa madiwani anaingia kwenye vikao vyote vya halmashauri kuanzia fulikanseli siakawashauri huko! mbona Zitto anakaa na halmashauri yake wanapanga mipango yao ikiwemo bima kwa wote, yeye anashindwa nini?
Hv unakijua ulichokiandika kweli au umeandika tu ili uonekane umeandika?
 
Bashe anatuharibia chama.Ni bora arudishe kadi yetu akagombee kupitia chama cha baba yake lowassa
 
Yaani kusema mfalme yuko uchi ni mwiko sisiemu, pamoja na ukweli yuko uchi..! Bajeti ya mwaka jana tumeisoma so far pesa zilipelekwa ni asilimia 34 tuu ya zilizopitishwa na bunge.. Haya ndo anayoyasema Bashe, lakini kwa kuwa sisiemu lazima ujitoe ufahamu wanaipotezea mubashara bila chenga.. Na hii ni namba, na namba haziongopi.. Endeleeni kumuona Bashe kama mpinzani, mfuasi wa Lowassa na asie na heshima na chama chenu cha mafisiemu, lakini ukweli anaouzungumza Bashe ndio huo uliopo sasa..

Mimi siyo ssm wala ukawa niko na shughuli zangu za biashara nchi za watu tena mbali sana , ila kwa huyo msomali kusema watu waingie mtaani ni jambo ambalo halipaswi kufumbiwa macho hata kidogo aisee.

Anajua kuwa wajombaze kule somalia hawalali kila siku watu wanapukutika?

No , come on guy, we must keep our country safe even if is by sacrificing one person as Jesus on the cross!!
 
Budget ya serikali haina uhalisia,mpango wa budget wa mwaka 2016,2017,2018 mambo ni yale yale.
Aishauri serikali kutenga pesa nyingi kwenye kilimo maana asilimia kubwa ya watanzania ni wakulima.
Hakuna fedha kutoka serikali kuu kwenye kwenye halmashsuri-ni ngumu kutekeleza shuguli za maendeleo.kinachokusanywa na halmashauri hutumika kuendeshea ofisi.

kwakweli huyu jamaa ni ASSET...... nikiweka uchama pembeni huyu ndio mbunge bora kabisa kwenye bunge hili la 2015-2020 maana hanaga uchama kwenye mambo ya kitaifa ila nachojiuliza ccm kweli wanafurahia hili??? naona kma yatamkuta ya filikunjombe anyway time will tell
 
MCHANGA RAIS ANAUNDA TUME TATU LAKINI UTEKAJI RAIA NA UVAMIZI HAKUNA CHA TUME HATA MUOMBE MPAKA MGALEGALE CHINI!!
FARU WAZIRI MKUU KAUNDA TUME NA KUTUMIA MAPESA ATAFUTWE LAKINI BEN SAANANE HAKUNA CHA TUME HATA MLILIE MPAKA MJIKOJOLEE!!
WANYAMA NA MALI VINATHAMANI KULIKO MAISHA YA WATU...
SIJAWAHI KUTARAJIA KUONGOZWA NA VIONGOZI WA UPEO HUU!! ITS AN ACCIDENT NA NAOMBA ISITOKEE TENA
 
Napendekeza apewe wizara ya mambo ya ndani.

Apewe wizara? Tena ya mambo ya ndani?

Unajua ni kwa nini hakupewa wizara wakati wa JK awamu ya 4??

Unaelewa ni kwa nini hakupewa wizara awamu hii ya JPM?

Na unajua ni kwa nini hatarudi tena bungeni kwenye uchaguzi wa 2020??

Ukipata majibu / ukijibu hayo maswali utaelewa sababu.
 
Back
Top Bottom