Bashe(Mb): Ipo siku watu watatafuta haki yao mtaani!

Bashe(Mb): Ipo siku watu watatafuta haki yao mtaani!

Huyu jamaa ukiweka unafiki pembeni wa vyama ndo Amekua mtu wa kujenga hoja za msingi
 
kwakweli huyu jamaa ni ASSET...... nikiweka uchama pembeni huyu ndio mbunge bora kabisa kwenye bunge hili la 2015-2020 maana hanaga uchama kwenye mambo ya kitaifa ila nachojiuliza ccm kweli wanafurahia hili??? naona kma yatamkuta ya filikunjombe anyway time will tell
Jamaa anachambu vitu vizuri sana-mwenyewe niliwahi kujiuliza hivi hii sera ya viwanda CCM waliangalia mazingira ya Tanzania au walichukua tu kutokwa kwa JPM
 
Budget ya serikali haina uhalisia,mpango wa budget wa mwaka 2016,2017,2018 mambo ni yale yale.
Aishauri serikali kutenga pesa nyingi kwenye kilimo maana asilimia kubwa ya watanzania ni wakulima.
Hakuna fedha kutoka serikali kuu kwenye kwenye halmashsuri-ni ngumu kutekeleza shuguli za maendeleo.kinachokusanywa na halmashauri hutumika kuendeshea ofisi.


Bado ana Mahaba na Lowasa, kwa hakika ni Bashe ni single term MP
 
Sisi waswahili ni waoga sana wa kifo huyu jamaa kiasili kifo kwao ni kama kupiga mswaki.
 
Bashe anaishauro serikali kuwa a ralistic budget siyo kuwa na budget kubwa isiyotekelezeka
 
Hakika sasa nimeamini kuwa CCM imeishiwa propagandist, kama hawa vijana wa mitandaoni ndio wanategemewa kukitetea chama kama propagandist wa chama basi tena, mbona wanaishiwa pumzi fasta wanapopambana na hoja nzito. vitisho,matusi ndo imekuwa njia rahisi kwao ya kumaliza hoja zinazo wakabili kukitetea chama dah mnaiuwa CCM masikini. Ila niwakubushe jambo moja la msingi kule mwanzo Mwl Nyerere alisomesha watu kwa ajili hiyo , wenzangu hiyo ni taaruma sio ili mradi una ka android unajiita mfia chama,kutwa nzima kujibu ovyo watu na kutoa vitisho kwa taarifa yenu mmeshageuka waua chama. Kukitetea chama kilichoko madarakani ni kazi ngumu inahitaji, upeo mzuri wa kupima mambo,uelewa,elimu ya kutosha utaalamu wa kusoma saikolojia za watu pia kupima upepo na kutambua upi upepo hatari na upepo mzuri kwa chama, hivyo kuwa na uwezo wa kutuliza hali inapochafuka na sio vitisho na rugha chafu.
Mhe Polepole watoe watu wako mtandaoni kwanza wapeleke kivukoni mkawapige msasa walau wiki mbili kisha tafuteni jinsi ya kuwasomesha kuwa wana propaganda. MSIJE MKADHANI ZAMANI WATU WALIKUWA WAJINGA ILA KULIKUWA NA PROPAGANDIST WAZURI WALIOBOBEA KAMA AKINA NGOMBARE,MOSES NAUYE na wenine wengi.Tambueni kuwa kwa sasa mnapingwa kuliko wakati wowote ule KWENYE HISTORIA YA CHAMA,kama mnabisha hebu ruhusuni mikutano ya kisiasa hata kwa mwezi mmoja tu hapo ndipo mtatambua namaanisha nini ila wangu ni ushauri tu bye.
 
Budget ya serikali haina uhalisia,mpango wa budget wa mwaka 2016,2017,2018 mambo ni yale yale.
Aishauri serikali kutenga pesa nyingi kwenye kilimo maana asilimia kubwa ya watanzania ni wakulima.
Hakuna fedha kutoka serikali kuu kwenye kwenye halmashsuri-ni ngumu kutekeleza shuguli za maendeleo.kinachokusanywa na halmashauri hutumika kuendeshea ofisi.


huwa namuelewa sana Mbunge huyu wa Nzega unafiki kwake ni mwiko.
 
Siku akimsifu JPM mtamuita mnafiki, kama vile Nape eti leo kwenu sio mnafiki!
Bavicha ni pure crap kabisa.
Itategemea kamsifia nini. Kama jambo la msingi namuunga mkono ila siwezi kumsikia anamsifia karopoka ujinga nikakubaliana nae.
 
historia ya bashe mbunge - Google Search

Tangia miaka hiyoooo anajulikana kuwa siyo mtanzania labda tujiulize alikujaje kuwa RAIA tena? Hadi kugombea nafasi hadi za ubungo??

Ila ukweli ni mchungu japo itabidi ukubalike tu hakuna namna!
Hata kama ana asili ya kisomali Bashe ni mtanzania kama Jenerali Ulimwengu na wengine wengi waliowahi kutuhumiwa kuwa wa kuja. Maadamu wako hapa na wana haki za kpiga na kupigiwa kura, ni watanzania. Kama una uthibitisho wa kutufanya tumwelewe Bashe vinginevyo upeleke ofisi za uhamiaji zilizo karibu awe!
 
Kulalamika bila kutoa njia mbadala naweza kusema ni intellectual laziness, yeye yuko chama tawala anawaza kuleta njia mbadala na sio kusema tu ili asikike kuwa yuko edge.

Umesikiliza hiyo clip umeona hajatoa suluhisho???
 
Atakipata.
Nazi haiwezi shindana na jiwe.
Let him bleed for his master
 
NAPE angejitenga pembeni kabsa na hawa kina MSUKUMA NA BASHE.....hawa wanajua wanacho kipigania...HAWA LENGO LAO NI KUMCHONGANISHA MAGUFULI NA WANANCHI hili mwisho wasiku wamtengeneze MAZINGIRA HUYO MZEE WAO EL...maana hata EL akiwa RAIS kesho hawa jamaa ndio watapata ulaji zaidi ya ilivyo sasa.....kwanini nasema hivi...
BASHE ni mtu wa biashara chafu tu hivyo mirija imekata kwa sasa...
Msukuma huyu nae ni wale wale hivyo kumchafua MAGUFULI ni wao kutengeneza mazingira ya MZEE wao ili akipata nafasi waendeleze uchafu wao......
sasa NAPE yeye ndio ataumbuka vibaya zaidi akiingia kwenye mkumbo wa HAWA WAPUUZI....AWE MPOLE TU....
Mtekeni na kumpoteza kama Ben Saanane, labda amani kwenu itakuwepo, tumechoka kelele zenu za "anakwamishwa, anaonewa wivu, ...bla bla..... Acheni kusingizia watu, busara tu na hekima vilivyo kosekana Kwa Magufuli ndo kinacho liletea homa taifa zima,..........bahati nzuri vinafundishika.
 
Itategemea kamsifia nini. Kama jambo la msingi namuunga mkono ila siwezi kumsikia anamsifia karopoka ujinga nikakubaliana nae.
Je unafikiri Nape baada ya kutenguliwa uwaziri ndo anaanza kutetea ya ben saanane anastahili kuitwa jembe na bavicha ilhali muda wote alikaa kimya??
Ebu tupime unafiki wako hapa!
 
Back
Top Bottom