Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,783
- 35,766
Baada ya lissu huyu jamaa anafwata kwa kupigania wananchi!!
Haijatokea Tanzania!labda Tz yako lakini tZ ya watambuzi tushayaona haya kwa sanani serikali ya kijinga pekee ambayo itaweza kukamata watu wake, tena wabunge!! haijatokea Tanzania, ukiamini hili unamtindio wa ubongo
Sasa kama kaanza kutetea ukweli kwanini tusiungane nae? Akili zimemjia sasa
Huyo ni kibaraka wa .....Huyu Bashe kuna kitu anakitafuta
Achen aseme kweliHicho anacho kitafuta
atakipata
Kama walishindwa kuingia mtaani wakati wa JK wataingia mtaani wakati huu?Achen aseme kweli
Budget ya serikali haina uhalisia,mpango wa budget wa mwaka 2016,2017,2018 mambo ni yale yale.
Aishauri serikali kutenga pesa nyingi kwenye kilimo maana asilimia kubwa ya watanzania ni wakulima.
Hakuna fedha kutoka serikali kuu kwenye kwenye halmashsuri-ni ngumu kutekeleza shuguli za maendeleo.kinachokusanywa na halmashauri hutumika kuendeshea ofisi.
Ukweli upi;!Achen aseme kweli

Kamteke nyani mweusi weHuyu Bashe kuna kitu anakitafuta
Huyu jamaa yupo vizuri sana ata ukisikia anavyo argue mambo habahatishiBaada ya lissu huyu jamaa anafwata kwa kupigania wananchi!!
Lete sababu za msingi ambazo zitafanya asiwepo tena jimboni 2020Soma. Comment katika hiyo thread utaelewa. Ila hilo nimekuambia jua 2020 hutamuona tena kwenye jimbo
Sasa ilikuwaje CCM wakampitisha kama mgombea kwenye uchaguzi wa 2015?? Kama hizo tuhuma ni za kweli?Angalia miaka hiiyoooo, madai yalipotolewa kila mtu anajua , anatumika na anatumiwa
Uhamiaji wanafanya nini? Kumbe Hussein Bashe si Raia!
Mbona bashe kaongea kwa lugha ya kiswahili ambacho hujaelewa hapo ni nini??Kwa hiyo baada ya kukatamata mateka sasa wanapanga watu waingine barabarani?