zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,406
- 40,311
embu acha ubaguzi..... come on kwahyo kwa kuwa ni msomali as u claim ndio hana haki ya kuongea ukweli na kuisimamia serikali?? mie nipo upinzani ila hta kma tunatifautiana itikadi bado naheshim sana mawazo yake yawe ya kukosoa upinzani au serikali na hyo ndio maana ya demokrasia na uzalendo...... ukikosolewa jisahihishe maana anayekukosoa ana nia njema ya wwe kubadilika na kufanya jambo kwa ubora zaidi.Mimi siyo ssm wala ukawa niko na shughuli zangu za biashara nchi za watu tena mbali sana , ila kwa huyo msomali kusema watu waingie mtaani ni jambo ambalo halipaswi kufumbiwa macho hata kidogo aisee.
Anajua kuwa wajombaze kule somalia hawalali kila siku watu wanapukutika?
No , come on guy, we must keep our country safe even if is by sacrificing one person as Jesus on the cross!!