Bashe(Mb): Ipo siku watu watatafuta haki yao mtaani!

Bashe(Mb): Ipo siku watu watatafuta haki yao mtaani!

Huyu jamaa sio mnafiki huo ndo uzuri wake.
Anaweza kuwa si mnafiki lakini ana ka uongo kidogo, haingii akilini kuwa wabunge 11 watekwe, labda carlos the Jacko karudia kazi yake. Huyu ni mtafuta sifa kama wengine tu ila uzuri wa huyu kuna wakati anaongea ya maana. Huyu hana tofauti na Magufuli ni wapenda sifa kwa maslahi yao. Usishangae mwaka 2025 akaja na gear ya kutaka kugombea u rais. Magufuli alitapeli watanzania kwa kigezo ya kuwa tingatinga na linatinga wananchi wake. Ogopa sana mtu yeyote ambaye ni msonji habadiliki, atabaki ni msonji tu hawa watu wana damu ya kuzaliwa ya unafiki kama waarabu vile.
 
Watu wanaanza kuiogopa serikali yao pengine zaidi ya ile ya kikoloni, movi imefikia patamu.
 
asante kwa matusi yako ila mtaisoma namba this time. wewe ni jipu na utatumbuka mwenyewe. watch out
Mimi sikutukani bali nakutaatifu upumbavu ulio nao mbona hujibu swali!? Nitajie kosa la BASHE lau moja tu. Sio unarukaruka kama chura wa kihansi
 
TATIZO TAIFA LIMESHAZOEA UNAFIKI SASA WAKO WATU AMBAO BY NATURE HAWANA UNAFIKI WALA MAJUNGU JAMBO AMBALO NI "ADUI MKUU WA CCM"
 
Sera ya serikali ni viwanda sio kilimo.upo hapo!
Sasa viwanda vitakuwa vinaprocess nini!!?

Kama kuyeyusha dhahabu kwenye mchanga mpaka tunaiundia tume mbili mbili, baskeli zenyewe tuna assemble, pamoja na soko la pikipiki kuwa kubwa kwa ajili ya bodaboda bado tumeshindwa kuziassemble hapa Bongo. Halafu bado tunaaminishwa viwanda.
 
Sasa viwanda vitakuwa vinaprocess nini!!?

Kama kuyeyusha dhahabu kwenye mchanga mpaka tunaiundia tume mbili mbili, baskeli zenyewe tuna assemble, pamoja na soko la pikipiki kuwa kubwa kwa ajili ya bodaboda bado tumeshindwa kuziassemble hapa Bongo. Halafu bado tunaaminishwa viwanda.
Mkuu ndipo hapo mimi na wewe tujiulize,katika mazingira hayo ilikuwaje CCM wakaja na sera hiyo ya viwanda.sera ya kilimo kwanza ilitakiwa iendelee hata kwa zaidi ya miaka 20 maana 80% ya watanzania wanajishugulisha na kilimo.
Ukiangalia takwimu za kiuchumi sekta zinazoongoza kwenye kuchangia pato la Taifa ni madini,utilii,mawasiliano,gas sasa ni watanzania wangapi wameahiliwa katika sekta hizo jibu ni asilimia ndogo sana.Je kinachotokana na sekta hizo kinapelekwa kwenye sekta ambayo imeajili watanzania wengi ambayo ni kilimo jibu ni hapana kama alicyozungumza bashe.
Ndioo hapo bashe anaiomba serikali ipeleke pesa katika kilimo-swali la kujiuliza hii jambo linawezekana,kwa maoni yangu ni kuwa haliwezekani,Chama cha siasa ni sera unapochagua chama huchagui chama kama chama unachagua sera za chama za kiuchumi na kijamii serikali ita ulizwa kutokana na sera iliyojinadi nayo kwa mazingira kama hayo ni lazima serikali itaelekeza rasilimali fedha nyingi ktk viwanda ili kuhakikisha sera yake inafanikiwah hii maana yake sekta zingine hazitapata mgao kama ilivyo sekta ya viwanda.
 
Hata Yesu alisema atarudi, miaka 2000 baadaye bado tunangoja, ... stupid na less intelligent people ndiyo huongea ujinga kama sijui ipo siku, kwa nini isiwe leo na sasa hivi? Bomboclat!
ACHA KUFURU-UNAFIKIRI YESU NI MWONGO? NINI MIAKA 2000 MBONA KIDOGO SANA. HATA IWE MIAKA MILIONI 100 KURUDI ATARUDI TU. KWANI ALIPOKUJA WE NDIYO ULIMLETA? UZEZETA UNAKUFANYA KUONA UNAWEZA KUMPANGIA YESU CHA KUAMUA. ANZA KUKIPANGIA KIFO KINAPOWAMINYA MSIFE HUKU MNAKUNYA. HUYO YESU ALIESHINDA KIFO NA MAUTI NI NAMBA NYINGINE KABISA.
 
Nadhani hata ww hujui mambo mengi sana, kimsingi huyo anatafuta uwaziri kwani wakati wa Mwinyi walijitokeza wabunge wengi kuikosoa serikali na matokeo yake walioewa uwaziri na kukaa kimya, Bashe kuna kitu anatafuta ila naamini kwa zama hizi ataangaika sana.
hapana mkuu huyu amesuguana na watawala muda mrefu sana toka enzi zile anafanyiwa fitna asiwe mbunge 2010!!! huyu hajipendekezi maana hategemei lolote serikali hii zaidi ya KUTEKWA kama alivyodai. wanaotafuta uwaziri ni kma wakina mwigulu waliokuwa wanatukana chadema usiku na mchana na walipopata uwaziri matusi wameacha ila bashe mara nyingi hufocus kwenye serikali sio vijembe kwa upinzani!!!!! kma unataka uwaziri ccm sharti utukane upinzani ila ukikosoa serikali utaishia kma filikunjombe tu
 
Soma. Comment katika hiyo thread utaelewa. Ila hilo nimekuambia jua 2020 hutamuona tena kwenye jimbo
Haahhahaha hta kigwangallah alisema hivo hivo kuwa 2015 Bashe atazikwa rasmi kisiasa lakini mwisho wa siku huyo kigwangallah akakimbilia jimbo la vijijini. Bashe anajua sana mipango yenu na amini usiamini huyu jamaa ana kiburi cha kuijiuzulu ubunge hta leo na chama chochote atakachokwenda atarudisha jimbo hili 2020
 
Mtabakia kuwa wajinga siku zote mtanzania akiambiwaga ukweli unatangaziwa Ati sio raia yale yale ya Generali Ulimwengu na mkapa administration matokeo yake mkapa anasema sorry uwekezaji ilikuwa tumekosea ideology yake tulipaswa weka Taasisi za kusimamia. Black tu ma blackiii kweli.
Haya ndio mnayotaka mtuaminishe maneno ya Dolnad Trump African wanatakiwa watawaliwe tena, mana viongozi wao waliopo ni dictators yaani sijui kwa nini hiki kizazi kinajifanya kinapitia ideas za Mwl Nyerere wakati ndio kinavurunda kabisaaa hata kucopy na kupaste hamjui?

Jiongezeni

Nini maana ya Kazi tuu? Jirani akikuambia mzee si ulisema kazi tuu hapo je ?utasikia umetumwa na CUF chadema Act au lowassa yaani tunakuwa na akili finyuuu,

Hapa inamaanisha kuna makundi 3
1: kundi la JPM likisema neno lenyewe ni sahihi na ndio sheria na mkubali au msikubali ndio imepita hiyo

2:CCM mama wa Kambo Yao waki tamkaa tuu neno ni mamluki hao ati wamekosa tonge hawaitakii mema serikali ya awama ya 5.

3: Wapinzani /wakereketwa wa maendeleo kwa ujumla yaani ukinyanyua ndimi yako na kinywa chako tayari mnakuwa israel na wapalestina mzee mtashughulikiwa mpaka mataijua vyema

POLITICS IS BATTLE OF IDEAS

In politics we have a rule which states that-
Bring only your game, don't bring your name!!
 
Huyu Bashe kuna kitu anakitafuta
Kutekwa, kupotezwa au kumwakyembe (kumpa ugonjwa wa ngozi)?

Anataka fedha zipelekwe kwenye kilimo, huo ni ushauri mzuri. Amesahau kukumbushia na meno ya kulimia. Mkulu awapatie wadanganyika wa push ups meno ya kulimia.

"Nikiwa mimi watu watarimia meno" - Baba J.
 
huyo saanane mwajiri wake alishamtafuta? hata kutoa taarifa polisi hajaenda, kama mlitaka kumtoa roho kagenzi mtashindwa nn saa nane?
. Kama unakauwezo kadogo kakufikiri utafahamu Ben ni Mtanzania,kazi ya kulinda raia si ya chadema pekee kikochombo chakitaifa na tunakilipa kufanya kazihiyo kisheria kama mtu wa chadema anahusika kuteka mtu basi vyombo vyadola vifanye kazi yake na watiwe hatiani.
vijana wa sisiemu mmekosa uzalendo na utu,mnachojua kutetea mabwana zenu in everything!!shame on you
 
Back
Top Bottom