Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,659
- 7,948
Haahhahaha hta kigwangallah alisema hivo hivo kuwa 2015 Bashe atazikwa rasmi kisiasa lakini mwisho wa siku huyo kigwangallah akakimbilia jimbo la vijijini. Bashe anajua sana mipango yenu na amini usiamini huyu jamaa ana kiburi cha kuijiuzulu ubunge hta leo na chama chochote atakachokwenda atarudisha jimbo hili 2020
Hatakuwa na sifa/ vigezo tena vya kugombea kupitia chama chochote