Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,891
Kwa akili yako umeona jambo gani baya kaongea?Huyu bashe bado ni mfuasi wa Lowasa mpaka sasa hivi..Magufuli akipewa uenyekiti aanze nae huyu mamluki kumshughulikia
Kwa akili yako umeona jambo gani baya kaongea?Huyu bashe bado ni mfuasi wa Lowasa mpaka sasa hivi..Magufuli akipewa uenyekiti aanze nae huyu mamluki kumshughulikia
Huyu bashe bado ni mfuasi wa Lowasa mpaka sasa hivi..Magufuli akipewa uenyekiti aanze nae huyu mamluki kumshughulikia
Mbona unamtisha kiaina.Nadhani huyu bashe ni mbadala wa marehem filikunjombe.mungu amlaze pema
Ccm wakibanwa na ccm wanakua hawana chakusema zaidi yakumpeleka kwa lowasa sawa he is team lowasa so what?the dude is asking a simple question bashe ndo mpinzani alobaki bungeni in a green and yellow flag ni simba hakoseagi its a matter of time atawadhihirishia watanzania they did a wrong choice viva bashe viva mungu atakulindaMwite majina yote ukimaliza jibu hoja zake, ndugu.
Mbunge wa Nzega Hussein Bashe amesema kama serikali inataka kuwagombanisha na wananchi kwa kuwataka kukatwa kodi kwenye kiinua mgongo,
ameongezea kwamba kuna sheria inayosema watumishi wa kisiasa kusamehewa kodi ila kama wanataka kuwakata kodi ya kiinua mgongo basi wakate pia kwa viongozi wengine kama rais, wakuu wa mikoa, mawaziri na majaji
wanamuita msaliti sasa hiviNimempenda sana Bashe, hongera sana sana Bashe uu mzalendo wa dhati! wewe ni tafouti na wabunge wa ccm, ILA NAJUA UPO CCM KWA BAHATI MBAYA SANA!
Mbona unamtisha kiaina.
ashakuwa na sura mbili.. ful of double standards ktk area nyingi.. haaminiki tena, sina imani yupo kama alivyokuwa akijipambanuaHivi Magu kweli ni mzalendo?Kwanini asi-take initiative mpaka asubiri shinikizo?!
Mamluki mwisho wao july 23.Huyu bashe bado ni mfuasi wa Lowasa mpaka sasa hivi..Magufuli akipewa uenyekiti aanze nae huyu mamluki kumshughulikia