BASED ON MY TRUE STORY: Ogopa sana ukimya wa mwanamke. Kuna mahusiano/ndoa nzuri sana zinaharibika sababu ya kukosekana maongezi kati ya wapenzi

Habarini wana jamvi.

Nimesoma hii story NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma nikakumbuka yalonikuta miaka ya mwanzo kabisa naanza mahusiano, sio kisa exactly lkn regret nlonayo ni kama ya mwenye aloandika hio story.

Ilikua hivi, miaka hio, miaka ya mapenzi ya kutumia kadi na barua shuleni. Nilikua nampenda binti mmoja hivi nilimzidi vidato kadhaa, niwe mkweli sikuwahi kupenda vile na haitotokea tena nikapenda vile. Sasa ile nipo chuo nipo namalizia 3rd year binti nae ndo akaja 1st year hapa UDSM, sasa kwa ule uzuri kumbe kuna jamaa wakawa wanamla bila mm kujua. Baadae akaongeza dharau kweli hadi nikastukia mchezo mzima, sasa hii story haimuhusu huyo binti, inamuhusu rafiki yake.

Huyo binti alikua anakaa na rafiki yake fln hivi hostel, na walisoma wote advance hivo wakawa wanashirikiana sana kwenye mengi. Huyo rafiki yake tumuite Vee, yeye binti tumuite Dee.

Kipindi chote natoka na Dee huyo Vee alikua anajua, na tukawa mashemeji tu. Sasa kpnd Dee yupo second year mimi nilipata internship mahala, dili za hapa na pale nikawa napata vipesa kdg namnunulia zawadi lkn kumbe ni demu hajali. Jamaa wengine wenye mapesa wanagonga mtoto hadi tako linazidi kutoka kama vile kawekewa hamila huko nyuma, akazidi kuwaka yule dem hadi nikajishtukia, "hii ndo mali yangu kweli?"

Siku moja nmeleta vizawadi karibu na hostel yao nikamkuta rafiki yake tu huyo Vee, akasema Dee katoka mie nikasema nitamsubiri. Vee akaniwekea visingizio vingi ili niondoke nije kesho yake lkn mm nilikua na uchu balaa nikakomaa nimsubiri pale, sabab pale hata kodi kuna mda nilikua nawachangia na alikuaga ananiachia room nichill na Dee, najilia tunda then naendeleza harakati zangu.

Kumbe bwana yule dem alijua danga lililomchukua Dee litamrudisha pale na gari, baada ya masaa mawili mida ya jion jion nmekaa nje pale kuna kibanda cha chips naona rav4 inapaki anashuka yule dem wangu Dee, mzee huwezi amini, hio picha hadi leo ipo kichwani na niliapa toka hio siku sitakuja kuamini mwanamke, sshv nimezalisha wanawake wawili lkn sidhan kama nitakuja kuoa kabisa.

Yaan huyo Dee tulivyopendana toka udogoni, shuleni, chuoni alikuja kunifanyia vile na ukizingatia bado nilikua najikaza kumuhudumia ingali sina kazi maalum (intern tu enzi hizo).

Sasa binti ile kashuka kwenye gari akawa anaelekea uchochoro unaompeleka room kwao nikamfuata kwa nyuma nikamsimamisha hapohapo nikaanza kufoka kweli, kwa hasira. Yule dem alinitukana sana kisa tu hali yangu ya maisha muda huo, kumshika mkono akatupa kule akaongeza speed kuelekea room kwake, nikaona aibu kumfuata kule sababu ningekua kichekesho tu, huyo nikarudi zangu mdg mdg, panda dala dala, nikaondoka zangu.

Huwezi amini aisee usiku ule ule alinipigia simu yule Vee akaniomba sana msamaha, akasema kesho tuonane. Kzr kesho yake ilikua ni sunday, nikakubali. Vee alikuja pale akawa anaomba msamaha jama vile yeye ndo kakosea kumbe ni rafiki yake, akawa anasema asingeweza kunambia ukweli sababu angeharibu mahusiano yetu. Nikamwelewa na hapo tukabaki na urafiki tu wa kawaida.

Huo urafiki ukaja kuzaa penzi zito balaa. Yule binti alikua ananipenda hadi nikawa nakereka, yaani ulishawahi kupendwa hadi ukaona ni kero sasa, ndo kilichokuwepo. Hadi leo hii sijawahi nunuliwa zawadi na mwanamke except huyo Vee, binti kwao walikua wanajiweza kidogo, kidume nilikua naletewa masharti ya spesho na cover zake kabisa, kuhusu sex yule dem ilikua ni kumuita tu.

Nakumbuka kuna kipindi alikua yupo kwenye wiki ya UE, mnikamuita akasema akimaliza paper anakuja, binti akaja akanipa mambo murua kabisa.

Siwezi simulia yote lkn huyu binti alinipenda na alikua muaminifu saaana. Nikisimulia hapa ntatoka kwenye mada ilonifanya niandike huu uzi.

Binti si akamaliza chuo mimi hapo nikabahatisha kazi kwenye NGO moja hivi, unajua kuna NGOs mnaweza kuwa na mission wanawaweka wawili wawili, mnapewa na gari kama mmoja wenu anajua ku-drive. Mimi nikawa na dem fln hivi mkali sana, tulipiga sana routes mikoa ya pwani na huko kusini. Ule ukaribu na huyo binti kikazi, Vee ukaanza kumoa shida akadhani nakula yule dem.

Kuna siku moja nipo mkoani ambapo Vee alipatia kazi, nimefika pale na huyo binti nnaefanya nae kazi, tukapata guest nzr, ni kawaida yetu kuchukua vyumba tofauti kwenye guest moja. Sasa mimi kwa kuwa nilijua Vee yupo mkoa huo, nikamjulisha hadi guest nlofikia jioni akaja pale. Mistake ilofanyika yule binti nlokua nae kikazi nae alichukua chumba pale pale (ni kawaida hio, sababu usafiri tunatumia mmoja). Sasa hizi NGOs hadi computer mnapewa za kampuni, yake ikawa imeishiwa chaji na aliacha begi moja kwenye gari akaja kuniomba funguo ya gari akachukue.

Hapo ndo kesi ikaanza, mimi nipo ndani ya Vee tumekumbatiana tu tunapiga story, dem akaja kugonga pale, nikamfungulia, sasa yale mazoea si akaingia ndani mazima ili aongelee jambo lilomleta, hapo huyo binti ana uzungu fln, kavaa pensi tu na tshirt, kaingia ndani anamkuta Vee yuko na ki-pichu tu kitandani ndo akasema "Sorry" akarudi ulipo mlango akanambia shida yake nikampa funguo na nikamwambia akae na funguo tu sababu nilijua ameshaniharibia pale.

Wakuu niwe mkweli, Vee hakuwahi kunionesha hasira, kiburi au wivu muda wote tunadate, na hapo tulikua tunaelekea mwaka wa tatu. Lakini hio siku yule mtoto alilia kwa hasira kweli huku anavaa nguo zake, nikajaribu kumuelezea lkn hakuelewa, elezea na kuelezea lkn hakuelewa. Akaondoka pale guest saa sita usiku na alikataa kabisa kulala pale.

Wakuu revenge nlopewa (japo sikufanya kosa na hata sikuwahi kumla yule binti wa kazini) sitokaa niisahau, lile tukio la Dee ni chamtoto. Hawa viumbe ni malaika na shetani, wakikuonesha umalaika utafurahi, wakikuonesha ushetani utatamani usije kuingia tena kwenye mahusiano nao.

Vee alinikalia kimya baadae akaniambia eti kanielewa na "yaishe". Sasa hapo ndo narudi kwenye story niloirefer mwanzo, dem alikua mkimya kupitiliza, yaan ukimya hadi unaona hili balaa sasa. Tukakaa hivo kama mwaka mmoja, sex sawa ananipa ila ni ukimya yaan ile connection ikapotea kabisa, mahaba, mapenzi yakapotea kabisa. Na kiluchoniuma kosa hata sikufanya, ni kukosekana tu kwa maongezi mazuri. Vee alichonifanyia aliolewa tukiwa hata hatujafanya breakup rasmi(hio ni baada ya mwaka). Aliolewa na jamaa mmoja hadu sasahivi wanaishi maisha yao mazuri tu. Hebu piga mahesabu unaletewa kadi ya mchango kwenye harusi ya binti unae-date nae, ukidhan alikusamehe kumbe sio.

Toka hapo nakulaga ma-barmaid, nimezalisha wanawake wawili, mmoja ndo anakaa kwangu mwingine nimempangia. Nikasema mimi na hawa viumbe basi. Yaani hao nlinao wakitaka kuondoka waondoke tu, lkn kuingia commitment ya maisha na mwanamke sitoweza kwa sababu niliyofanyiwa aisee yalinitosha, hasa hili la pili la Vee na ukiangalia sikua na kosa kabisa.

MAHUSIANO MENGI MAZURI YANAVUNJIKA KWA SABABU WAPENZI HAMUONGEI MKAYAMALIZA MNABAKI NA VINYONGO. KAMA HUJAMSAMEHE MWENZAKO BORA UMWAMBIE ILA HII KUWA KIMYA KISHA KUMPIGA TUKIO AISEE MNAVUNJA MAHUSIANO AMBAYO KAMA MNGEELEWANA BASI MNGEPENDANA HADI KUFA.

Nimemaliza...
Aiseee
Nawaonea huruma uliowazalisha, hawajui unachowaza
 
Na wanajichetuaga tu ila kelele zetu wanazipenda sanaaa.

Wasubirie tu maroboti sasa, kama nawaona watakavyomiss makelele🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 Inaitwa silent treatment, upo lakini Kama hakuoni, ukichelewa kurudi huulizwi, usipopiga simu hupigiwi....afu tendo la ndoa ukiomba unapewa🤣🤣🤣 lazima ukonde.
 
Inategemea na roho ya mtu,kuna wengine ukibeep tunapokea...mimi ilinitokea nkaongea nae akawa bdo analeta mapozi,huwa namuomba mungu asinipe stress za mapenzi kwenye maisha yangu..kilichofuata mpka leo yeye ndio ananitafuta mimi huo mda sina
Shukuru hukuwekeza Moyo wote, ndo mana ulipata nguvu za kuondoka....imagine ndo mkeo anakufanyia hivyo....akikaa na watoto anacheka, ukibaki naye kimya🤣🤣
 
Kwahiyo kwakifupi unachanganyiwa na kuvuruga maisha yako sababu demu ambaye kwa akili zake ameamua kusaliti mipango yenu na kuolewa halafu wewe unaumia na mademu wazuri walivyojaa huku mtaani unasusa mahusiano, kweli?!
 
Pole sana mkuu me nshaacha mpango wa kuwa na mwanamke maishani na stakuwa nae tena nna mpenzi huwez amini nilikuta kaandaka boyz alowah kuwa nao na ambao ashafanya nao mapenzi alafu siku zote namuuliza anasema hajawah kutana na mtu yeyote ingawa me ndo nilimfungua B yake ila hapo alinivunja moyo wa kuendelea kuwa nae
 
Inaitwa silent treatment, upo lakini Kama hakuoni, ukichelewa kurudi huulizwi, usipopiga simu hupigiwi....afu tendo la ndoa ukiomba unapewa lazima ukonde.

Silent treatment ni emotional abuse aisee, hiyo kitu ni mbaya. Bora mkae muongee kama watu wazima instead of silence
 
Shukuru hukuwekeza Moyo wote, ndo mana ulipata nguvu za kuondoka....imagine ndo mkeo anakufanyia hivyo....akikaa na watoto anacheka, ukibaki naye kimya

Sio watoto, akikutana na ndugu zake , marafiki zake amechangamka kweli, mkirudi ndani ukimya unaingia gafla, hakuna kuchekeana, ukiuliza swali unajibiwa direct,hakuna amsha amsha.

Ukishafika hapo, taa nyekundu inabidi iwake kichwani
 
🤣🤣🤣 Inaitwa silent treatment, upo lakini Kama hakuoni, ukichelewa kurudi huulizwi, usipopiga simu hupigiwi....afu tendo la ndoa ukiomba unapewa🤣🤣🤣 lazima ukonde.
😂😂😂😂
 
Hapo mkichelewa kidogo kuyajenga ndo unasikia mkeo anaolewa wiki ijayo, ndo unaanza kujiuliza how?
 
Habarini wana jamvi.

Nimesoma hii story NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma nikakumbuka yalonikuta miaka ya mwanzo kabisa naanza mahusiano, sio kisa exactly lkn regret nlonayo ni kama ya mwenye aloandika hio story.

Ilikua hivi, miaka hio, miaka ya mapenzi ya kutumia kadi na barua shuleni. Nilikua nampenda binti mmoja hivi nilimzidi vidato kadhaa, niwe mkweli sikuwahi kupenda vile na haitotokea tena nikapenda vile. Sasa ile nipo chuo nipo namalizia 3rd year binti nae ndo akaja 1st year hapa UDSM, sasa kwa ule uzuri kumbe kuna jamaa wakawa wanamla bila mm kujua. Baadae akaongeza dharau kweli hadi nikastukia mchezo mzima, sasa hii story haimuhusu huyo binti, inamuhusu rafiki yake.

Huyo binti alikua anakaa na rafiki yake fln hivi hostel, na walisoma wote advance hivo wakawa wanashirikiana sana kwenye mengi. Huyo rafiki yake tumuite Vee, yeye binti tumuite Dee.

Kipindi chote natoka na Dee huyo Vee alikua anajua, na tukawa mashemeji tu. Sasa kpnd Dee yupo second year mimi nilipata internship mahala, dili za hapa na pale nikawa napata vipesa kdg namnunulia zawadi lkn kumbe ni demu hajali. Jamaa wengine wenye mapesa wanagonga mtoto hadi tako linazidi kutoka kama vile kawekewa hamila huko nyuma, akazidi kuwaka yule dem hadi nikajishtukia, "hii ndo mali yangu kweli?"

Siku moja nmeleta vizawadi karibu na hostel yao nikamkuta rafiki yake tu huyo Vee, akasema Dee katoka mie nikasema nitamsubiri. Vee akaniwekea visingizio vingi ili niondoke nije kesho yake lkn mm nilikua na uchu balaa nikakomaa nimsubiri pale, sabab pale hata kodi kuna mda nilikua nawachangia na alikuaga ananiachia room nichill na Dee, najilia tunda then naendeleza harakati zangu.

Kumbe bwana yule dem alijua danga lililomchukua Dee litamrudisha pale na gari, baada ya masaa mawili mida ya jion jion nmekaa nje pale kuna kibanda cha chips naona rav4 inapaki anashuka yule dem wangu Dee, mzee huwezi amini, hio picha hadi leo ipo kichwani na niliapa toka hio siku sitakuja kuamini mwanamke, sshv nimezalisha wanawake wawili lkn sidhan kama nitakuja kuoa kabisa.

Yaan huyo Dee tulivyopendana toka udogoni, shuleni, chuoni alikuja kunifanyia vile na ukizingatia bado nilikua najikaza kumuhudumia ingali sina kazi maalum (intern tu enzi hizo).

Sasa binti ile kashuka kwenye gari akawa anaelekea uchochoro unaompeleka room kwao nikamfuata kwa nyuma nikamsimamisha hapohapo nikaanza kufoka kweli, kwa hasira. Yule dem alinitukana sana kisa tu hali yangu ya maisha muda huo, kumshika mkono akatupa kule akaongeza speed kuelekea room kwake, nikaona aibu kumfuata kule sababu ningekua kichekesho tu, huyo nikarudi zangu mdg mdg, panda dala dala, nikaondoka zangu.

Huwezi amini aisee usiku ule ule alinipigia simu yule Vee akaniomba sana msamaha, akasema kesho tuonane. Kzr kesho yake ilikua ni sunday, nikakubali. Vee alikuja pale akawa anaomba msamaha jama vile yeye ndo kakosea kumbe ni rafiki yake, akawa anasema asingeweza kunambia ukweli sababu angeharibu mahusiano yetu. Nikamwelewa na hapo tukabaki na urafiki tu wa kawaida.

Huo urafiki ukaja kuzaa penzi zito balaa. Yule binti alikua ananipenda hadi nikawa nakereka, yaani ulishawahi kupendwa hadi ukaona ni kero sasa, ndo kilichokuwepo. Hadi leo hii sijawahi nunuliwa zawadi na mwanamke except huyo Vee, binti kwao walikua wanajiweza kidogo, kidume nilikua naletewa masharti ya spesho na cover zake kabisa, kuhusu sex yule dem ilikua ni kumuita tu.

Nakumbuka kuna kipindi alikua yupo kwenye wiki ya UE, mnikamuita akasema akimaliza paper anakuja, binti akaja akanipa mambo murua kabisa.

Siwezi simulia yote lkn huyu binti alinipenda na alikua muaminifu saaana. Nikisimulia hapa ntatoka kwenye mada ilonifanya niandike huu uzi.

Binti si akamaliza chuo mimi hapo nikabahatisha kazi kwenye NGO moja hivi, unajua kuna NGOs mnaweza kuwa na mission wanawaweka wawili wawili, mnapewa na gari kama mmoja wenu anajua ku-drive. Mimi nikawa na dem fln hivi mkali sana, tulipiga sana routes mikoa ya pwani na huko kusini. Ule ukaribu na huyo binti kikazi, Vee ukaanza kumoa shida akadhani nakula yule dem.

Kuna siku moja nipo mkoani ambapo Vee alipatia kazi, nimefika pale na huyo binti nnaefanya nae kazi, tukapata guest nzr, ni kawaida yetu kuchukua vyumba tofauti kwenye guest moja. Sasa mimi kwa kuwa nilijua Vee yupo mkoa huo, nikamjulisha hadi guest nlofikia jioni akaja pale. Mistake ilofanyika yule binti nlokua nae kikazi nae alichukua chumba pale pale (ni kawaida hio, sababu usafiri tunatumia mmoja). Sasa hizi NGOs hadi computer mnapewa za kampuni, yake ikawa imeishiwa chaji na aliacha begi moja kwenye gari akaja kuniomba funguo ya gari akachukue.

Hapo ndo kesi ikaanza, mimi nipo ndani ya Vee tumekumbatiana tu tunapiga story, dem akaja kugonga pale, nikamfungulia, sasa yale mazoea si akaingia ndani mazima ili aongelee jambo lilomleta, hapo huyo binti ana uzungu fln, kavaa pensi tu na tshirt, kaingia ndani anamkuta Vee yuko na ki-pichu tu kitandani ndo akasema "Sorry" akarudi ulipo mlango akanambia shida yake nikampa funguo na nikamwambia akae na funguo tu sababu nilijua ameshaniharibia pale.

Wakuu niwe mkweli, Vee hakuwahi kunionesha hasira, kiburi au wivu muda wote tunadate, na hapo tulikua tunaelekea mwaka wa tatu. Lakini hio siku yule mtoto alilia kwa hasira kweli huku anavaa nguo zake, nikajaribu kumuelezea lkn hakuelewa, elezea na kuelezea lkn hakuelewa. Akaondoka pale guest saa sita usiku na alikataa kabisa kulala pale.

Wakuu revenge nlopewa (japo sikufanya kosa na hata sikuwahi kumla yule binti wa kazini) sitokaa niisahau, lile tukio la Dee ni chamtoto. Hawa viumbe ni malaika na shetani, wakikuonesha umalaika utafurahi, wakikuonesha ushetani utatamani usije kuingia tena kwenye mahusiano nao.

Vee alinikalia kimya baadae akaniambia eti kanielewa na "yaishe". Sasa hapo ndo narudi kwenye story niloirefer mwanzo, dem alikua mkimya kupitiliza, yaan ukimya hadi unaona hili balaa sasa. Tukakaa hivo kama mwaka mmoja, sex sawa ananipa ila ni ukimya yaan ile connection ikapotea kabisa, mahaba, mapenzi yakapotea kabisa. Na kiluchoniuma kosa hata sikufanya, ni kukosekana tu kwa maongezi mazuri. Vee alichonifanyia aliolewa tukiwa hata hatujafanya breakup rasmi(hio ni baada ya mwaka). Aliolewa na jamaa mmoja hadu sasahivi wanaishi maisha yao mazuri tu. Hebu piga mahesabu unaletewa kadi ya mchango kwenye harusi ya binti unae-date nae, ukidhan alikusamehe kumbe sio.

Toka hapo nakulaga ma-barmaid, nimezalisha wanawake wawili, mmoja ndo anakaa kwangu mwingine nimempangia. Nikasema mimi na hawa viumbe basi. Yaani hao nlinao wakitaka kuondoka waondoke tu, lkn kuingia commitment ya maisha na mwanamke sitoweza kwa sababu niliyofanyiwa aisee yalinitosha, hasa hili la pili la Vee na ukiangalia sikua na kosa kabisa.

MAHUSIANO MENGI MAZURI YANAVUNJIKA KWA SABABU WAPENZI HAMUONGEI MKAYAMALIZA MNABAKI NA VINYONGO. KAMA HUJAMSAMEHE MWENZAKO BORA UMWAMBIE ILA HII KUWA KIMYA KISHA KUMPIGA TUKIO AISEE MNAVUNJA MAHUSIANO AMBAYO KAMA MNGEELEWANA BASI MNGEPENDANA HADI KUFA.

Nimemaliza...
Uzi mzuri sana haswa kipengele cha mwisho
 
Hao wanawake wanaochanganya namna hiyo wanaume huwa wanapatikana wapi? Binafsi naona huo ni udhaifu
 
🤣🤣🤣 Inaitwa silent treatment, upo lakini Kama hakuoni, ukichelewa kurudi huulizwi, usipopiga simu hupigiwi....afu tendo la ndoa ukiomba unapewa🤣🤣🤣 lazima ukonde.
Exactly alichonifanyia huyo Vee, yaan hakuwahi kuninyima mbususu, hata kabla sijapata kadi ya harusi yake, wiki mbili hivi kabla nilitoka kusex nae. Lkn huo ukimya wake aisee, na anakua kama gogo kitandani, atajigeuza geuza tu kufuata ww unavyomgeuza, wanawake hapo mlituweza aisee
 
Kwahiyo kwakifupi unachanganyiwa na kuvuruga maisha yako sababu demu ambaye kwa akili zake ameamua kusaliti mipango yenu na kuolewa halafu wewe unaumia na mademu wazuri walivyojaa huku mtaani unasusa mahusiano, kweli?!
Nishasema kutype ni rahisi, hii situation mnaongelea sababu hayajawakuta. Narudia tena hata majenerali shupavu, viongozi shupavu, wafalme shupavu walikuja kupotezwa kisa mapenzi, kwenye keyboard zenu mtatype mnavyotaka ila kwenye reality mapenzi yana nafasi yake, Mungu alipomuweka Eva pale eden unadhan lengo lake ni nn ww unaweza kuwa na akili kuzidi aloamua hvo? Narudia tena, MWANAMKE NI DHAIFU ILA UDHAIFU WA MWANAUME NI MWANAMKE, kama hujakutana na wako bado, kaa tu utulue

Mfano ukikutana na hizo silent treatment au breakup nzito itakuachia trauma hutosahau.

Na kwa kuweka rekodi sawa, hamna sehemu nimesema nimechanganyikiwa na maisha yangu, I FVCK A PVSSY, SUCK A PVSSY, AND LEAVE IT THERE, mambo ya commitment kwenye relationship ndo nimeyaacha
 
Back
Top Bottom