Barua: Zitto akataa posho za vikao

Barua: Zitto akataa posho za vikao

Chadema do not deal with pety issues. They deal with national policy. Wachukue wasichukue, it does not make any difference. They want posho zote ziondolewe kwa watumishi wa umma, si wabunge tu kama sera. Hizo posho zao wakiacha zitasaidia nini? Acheni kujifanya hamnzazo.

Unataka Chadema wamwachie pombe mlevi? Si heri wakapeleke kujenga chadema majimboni mwao kwa faida ya watanzania kuliko kuwaachia CCM ambao wenyewe wamekiri kuwa chama chao kimejaa mafisadi na jk akasema kina magamba.

acha kuhadaa umma! Mbunge yeyote asiposaini daftari la mahudhurio kwa siku tatu mfululizo anahesabika hayupo na nafasi yake inatangazwa wazi kwa ajili ya uchaguzi.
siku tatu=uwongo kama kawaida ya magamba

mchagga kwa hela!!! ndio hawa wanaotaka tuwape nchi!!

nafurahi sana unavyomuogopa mchaga ,inaelekea wachaga wako smart sana,wachaga endeleeni kuwapa tumbo joto hawa wanyela,it seems chaga run this country!

Acha kuhadaa umma! Mbunge yeyote asiposaini daftari la mahudhurio kwa siku tatu mfululizo anahesabika hayupo na nafasi yake inatangazwa wazi kwa ajili ya uchaguzi.

@Mwita25, sio mahudhurio kwa siku tatu, ni mahudhurio ya vikao vitatu. Now, hapa ndio defination iko veeeery loose na hata Zitto aliwahi kusema hili. Kwamba nini hasa tafsiri ya neno kikao katika context ya vikao ya bunge? Ni kikao cha siku moja moja i.e Monday, Tuesday, etc au ni kikao kwa maana ya asubuhi, jioni etc, au ni kikao kwa maana ya kikao cha msimu i.e kikao cha bajeti (Jun-Aug), or kikao cha Nov/Dec, au kikao cha Jan/Feb.

Na ni kutokana na huu utata hata Spika Mwenyewe ameamua kukaa kimya maana tafsiri haiko clear? Kwa hiyo bado nasimama kwenye hoja yangu niliyotoa & and I suggest you check your facts as well!

Naomba tuwaelewe wabunge na wao pia ni binadamu,Wewe unadhani wote chadema ni matycoon kama Mbowe......Yeye mbowe karudisha VX ili akaendeshe Vogue sport lake nyie mnamtania......Sasa posho ya siku ni mafuta yakuwasha tu hiyo vogue yake.Wacha wazichukue hazina hakurudishwi change.

Ninavyojua mpaka sasa hivi Zitto Kabwe ha-sign daftari la mahudhurio na hivyo posho hakuna.

Zitto ndiyo CHADEMA?

Jamani nilishasema posho zitatugawa na CHADEMA wangeendelea na suala la posho sasa hivi tungekuwa tunaanua majamvi msibani. Nadhani wamefanya busara kuachana na suala hilo. Siungi mkono posho ila naunga mkono uamuzi wa CHADEMA wa kuachana na posho ambazo hatima yake ingekuwa kuwagawa.

Acha kuhadaa umma! Mbunge yeyote asiposaini daftari la mahudhurio kwa siku tatu mfululizo anahesabika hayupo na nafasi yake inatangazwa wazi kwa ajili ya uchaguzi.

Kama hujui ni vyema ukauliza, na sio kupotosha umma..unajua tofauti ya siku tatu na vikao vitatu, ama unakurupuka tu!..[/QUOTE]

NADHANI NAWEWE HUJUI, SI SIKU TATU MFULULIZO BALI VIKAO VITATU MFULULIZO. BUNGE LINALOENDELEA NI KIKAO CHA 4

Wakuu acheni posho ziitwe posho!! Posho ni kitu kingine!!

Acha kuhadaa umma! Mbunge yeyote asiposaini daftari la mahudhurio kwa siku tatu mfululizo anahesabika hayupo na nafasi yake inatangazwa wazi kwa ajili ya uchaguzi.
Kwa hiyo?????????Kama wanachosimamia ni haki waache kusaini halafu warudi kwa wapiga kura. Wabunge njaa tu hao

Back
Top Bottom