Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 903
Si tulisikia Mwenyekiti CDM, Mbowe, kaisharudisha ilo gari, na Gazeti la Mwananchi likaandika pia sasa hizi habari zimetoka wapi tena
Kwani hujui?Bunge ndo kikao hiki kinaelekea mwisho,
Wakati linaanza iliibuka issue ya kupinga posho na watu wakajitwalia sifa za kutosha.
Kwa nini CDM mmeendelea kulamba posho taratiiiiiiiiiiiiiiiibu kinyume na msimamo wenu?
Hii si ni kuwahadaa waTZ?
Na mh. Mbowe inasemekana lile shangingi hakurudisha kama alivotamba bungeni.
Tuwaeleweje sasa?

Ninavyojua mpaka sasa hivi Zitto Kabwe ha-sign daftari la mahudhurio na hivyo posho hakuna.
umeacha neno 'bila taarifa ya spika'.Acha kuhadaa umma! Mbunge yeyote asiposaini daftari la mahudhurio kwa siku tatu mfululizo anahesabika hayupo na nafasi yake inatangazwa wazi kwa ajili ya uchaguzi.
Siku tatu????Acha kuhadaa umma! Mbunge yeyote asiposaini daftari la mahudhurio kwa siku tatu mfululizo anahesabika hayupo na nafasi yake inatangazwa wazi kwa ajili ya uchaguzi.
Acha kuhadaa umma! Mbunge yeyote asiposaini daftari la mahudhurio kwa siku tatu mfululizo anahesabika hayupo na nafasi yake inatangazwa wazi kwa ajili ya uchaguzi.

Acha kuhadaa umma! Mbunge yeyote asiposaini daftari la mahudhurio kwa siku tatu mfululizo anahesabika hayupo na nafasi yake inatangazwa wazi kwa ajili ya uchaguzi.

Tuambie ni kifungu gani kinasema ivyo na kwanini zito asifukuzwe kipindi kile alipofikisha siku 3

Siku tatu????

Sijui kama hili linaukweli!

Nimachojua mimi ni vikako vitatu!
Hili mbona lipo wazi?Vyovyote vile lakini wabunge wa Chadema bado wanatafuna posho walizokuwa wanapiga kelele zifutwe.