Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,366
- 161,496
HeeeeeAkitaka kuujua utamu wa single mothers aniulize mimi, hapa nilisha kufa nikaoza nasubiria tuzikane tu na huyu single mom....[emoji12] [emoji12]
Unataka nikufwe kwa mdondo au
HeeeeeAkitaka kuujua utamu wa single mothers aniulize mimi, hapa nilisha kufa nikaoza nasubiria tuzikane tu na huyu single mom....[emoji12] [emoji12]
Jiwe ndogo ukuje babeKwa kweli mwambie basi mume wetu
Hakika sitowaangushaNitamtiaje makwenzi akikubali[emoji23] [emoji23]
HahahaaaaaSi nae atuombe radhi tufurahi ama yaan atengue kauli
Babe, wewe ndie unaenifanya nipumue wallah.....Heeeee
Unataka nikufwe kwa mdondo au
Huyo singo mama ni nani tena??Babe, wewe ndie unaenifanya nipumue wallah.....
Muwe mnaweka akiba ya maneno sasaKwajinsi tulivyo wadhaifu kwenu, wakati mwingine huwa tunalamba matapishi yetu...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahahaa eti Mama Sabrina ya kweli haya?Kama makwenzi jiandae tu kuyamtia, maana nimesoma post yake mstari kwa mstari nikajua tayari hapa, labda jamaa asielewe tu.
Hakika sinto kuangusha kwakua wewe ndie hasa tandiko na shuka langu, bila wewe sili wala silali wallahMke mwee
Hebu na sie tuandikiwe
Jiwe ndogo ukuje babe
Watu wanabadilika. Naamini amejifunza kulingana na makosa yakeSasa mtu kama ulishamnanga nyuma leo uje umtake tena hivi akili kweli hizo?
Hakika ametukimbia mwambie ajikazeBae
Sema ukweli bhana
Nimetabasamu ghafla, nani amekuandikia bae, aki siamini ati umeandika mwenyewe!!!!Hakika sinto kuangusha kwakua wewe ndie hasa tandiko na shuka langu, bila wewe sili wala silali wallah
Shida yenu nindogo ,, Mnachanganya A Moment of "Talking" na A moment of "feeling".Sasa mtu kama ulishamnanga nyuma leo uje umtake tena hivi akili kweli hizo?
Huu ni ushauri mujarab kwa wavulana wavamizi wa jf, ona sasa alivyo angukia pua....[emoji13] [emoji13] [emoji13]Muwe mnaweka akiba ya maneno sasa
HahahaaaaaHakika ametukimbia mwambie ajikaze
Niwewe tu babe ake mimi....[emoji39] [emoji39] [emoji39]Huyo singo mama ni nani tena??
MmmmhNiwewe tu babe ake mimi....[emoji39] [emoji39] [emoji39]