Jiwedogo
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 2,811
- 4,100
Wewe nakuandikia maneno laini love....Nimetabasamu ghafla, nani amekuandikia bae, aki siamini ati umeandika mwenyewe!!!!
Yule namuandikia magumu tu, atajijua.....
Wewe nakuandikia maneno laini love....Nimetabasamu ghafla, nani amekuandikia bae, aki siamini ati umeandika mwenyewe!!!!
Single mother tumegomaShida yenu nindogo ,, Mnachanganya A Moment of "Talking" na A moment of "feeling".
Unajua hisia nini???? . basis hisia is when kitu ambacho hukuwa unakijali automatically kinakua kinakuvuta chenyewe ,nahizo ndo hisia ...Unless ziwe ni Rumours !!!..
Yes he was bad in Talking ,Je ndo imuondolee sehem yake?? Yes alisema ,, Lkn hisia zimempeleka huko ,,kaandika ,, ivi unahisi kuandika maelezo yote hayo nisababu tu nimwandishi ?? Nisababu anajua once aliwah andika ,,nasasa nilazima aandike on the basis kwamba kupitia maandishi hayo ,Mlengwa asahau yanyuma ...
Its a matter of understanding ,nawewe mwanamke uwe ambaye ni " Never fail to understand ".
Kutafuta kuombwa msamaha ,alafu ndo jamaa aendelee ,sijui ndo afikiriwe ,sijui ndo akataliwe cheeeeeeeee ,Its not Love
.
. ivi km Mimi navyoandikaga humu ,,unategemea kuna siku ,Nitatengua kauli ????? siku nikitengua basi SITOKUJA KUTUMIA JF TENA..
NAISHIA HAPA MKUU.
Ujue nini...yani mimi huwaga nina kinyongo kishenzi. Yaani nina kinyongo hadi mwenyewe najiogopa...kama mtu uliwahi kunifedhehesha au kuninyanyasa bila sababu ya msingi tayari umeshakuwa blacklisted kwenye maisha yangu hata urafiki wa kawaida kutoka kwangu usitegemee asilani. Ila hapa tunaongea tunachangamsha genge tu mwamuzi wa mwisho ni mlengwa yeye mwenyewe Mama Sabrina hatuwezi kumpangiaShida yenu nindogo ,, Mnachanganya A Moment of "Talking" na A moment of "feeling".
Unajua hisia nini???? . basis hisia is when kitu ambacho hukuwa unakijali automatically kinakua kinakuvuta chenyewe ,nahizo ndo hisia ...Unless ziwe ni Rumours !!!..
Yes he was bad in Talking ,Je ndo imuondolee sehem yake?? Yes alisema ,, Lkn hisia zimempeleka huko ,,kaandika ,, ivi unahisi kuandika maelezo yote hayo nisababu tu nimwandishi ?? Nisababu anajua once aliwah andika ,,nasasa nilazima aandike on the basis kwamba kupitia maandishi hayo ,Mlengwa asahau yanyuma ...
Its a matter of understanding ,nawewe mwanamke uwe ambaye ni " Never fail to understand ".
Kutafuta kuombwa msamaha ,alafu ndo jamaa aendelee ,sijui ndo afikiriwe ,sijui ndo akataliwe cheeeeeeeee ,Its not Love
.
. ivi km Mimi navyoandikaga humu ,,unategemea kuna siku ,Nitatengua kauli ????? siku nikitengua basi SITOKUJA KUTUMIA JF TENA..
NAISHIA HAPA MKUU.
LoveWewe nakuandikia maneno laini love....
Yule namuandikia magumu tu, atajijua.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] BTW ngoja niwaache ,,jamaa aje atengue kauli hapahapa !!.Single mother tumegoma
Atiii...Wewe nakuandikia maneno laini love....
Yule namuandikia magumu tu, atajijua.....
Hayo ndio maneno sasa tusaidie kumuita sasa anaona aibu sijui haya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] BTW ngoja niwaache ,,jamaa aje atengue kauli hapahapa !!.
Ukitumia Mapenzi km njia ya kumwadhibu ,,kesho naye atakupa mimba namwisho atakukimbia ......
Umeanza kumuonea huruma tenaUjue nini...yani mimi huwaga nina kinyongo kishenzi. Yaani nina kinyongo hadi mwenyewe najiogopa...kama mtu uliwahi kunifedhehesha au kuninyanyasa bila sababu ya msingi tayari umeshakuwa blacklisted kwenye maisha yangu hata urafiki wa kawaida kutoka kwangu usitegemee asilani. Ila hapa tunaongea tunachangamsha genge tu mwamuzi wa mwisho ni mlengwa yeye mwenyewe Mama Sabrina hatuwezi kumpangia
Tunakusubiria ufute kauli mambo yaende mswanaNimesikitishwa sana kuona mwanaume mwenzangu ananifanyia fitina, sasa mambo yanazid kua magumu , Vladimir Putin ww huniangush, tuungane pamoja ktk hili bro had moyo wangu upone.
Mama sabrina ujue jana sijalala
Misitar ya mwisho ,,nmeielewa zaidi.Ujue nini...yani mimi huwaga nina kinyongo kishenzi. Yaani nina kinyongo hadi mwenyewe najiogopa...kama mtu uliwahi kunifedhehesha au kuninyanyasa bila sababu ya msingi tayari umeshakuwa blacklisted kwenye maisha yangu hata urafiki wa kawaida kutoka kwangu usitegemee asilani. Ila hapa tunaongea tunachangamsha genge tu mwamuzi wa mwisho ni mlengwa yeye mwenyewe Mama Sabrina hatuwezi kumpangia
Wala sijamuonea huruma aisee najua tu hata tukipiga kelele hadi kesho asubuhi mwisho wa siku mwamuzi ni weweUmeanza kumuonea huruma tena
Usiogope...Atiii...
Ebu mfate piem....[emoji2] [emoji2]Hayo ndio maneno sasa tusaidie kumuita sasa anaona aibu sijui haya
Hapana sio aibu ,,yupo busy kidogo atakua !!.Hayo ndio maneno sasa tusaidie kumuita sasa anaona aibu sijui haya
Ahhahaha acha kunichekesha,,umejuaje hajalalaHapana sio aibu ,,yupo busy kidogo atakua !!.
Akitulia atarudi...sasa km usiku mzm hajalala kucha anaandika haya,, ,ndo akimbie hapa ????.
Ndio maana mi nilisema sitaki mume wa mtu maana nilivyo na wivu nitakufwaaa kwa kihoroUsiogope...
Wahenga tunasemaga, maneno matupu yasikufanye muoga