Barua yangu kwa Mama Sabrina

Barua yangu kwa Mama Sabrina

Serious ,ktk maisha yangu, sipendelei uniadhibu kwa ninachokisimamia eti kisa nakuitaji ,nawewe utumie hiyo fursa kumwagisha udhaifu Wangu ,BIG NO !!!!.

I love you ,,Do you love me ?? Najibu hapo liwe niyes au no.

Eti mambo ya kuyaanza ,,umesahauuuuu kile,, sijui unakumbukaaa kile aaahhhhhh .....Ndio maana Nina maisha yenye Furaha sana !!.
Tunaomba atengue kauli
 
Kuna mambo kasema pale yanatia ukakasi sijui mtulinga sijui nin[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kajua kujinadi
Alikua anamaanisha yeye sio team kibamia.....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kijana anajinadi kiboloyang....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Serious ,ktk maisha yangu, sipendelei uniadhibu kwa ninachokisimamia eti kisa nakuitaji ,nawewe utumie hiyo fursa kumwagisha udhaifu Wangu ,BIG NO !!!!.

I love you ,,Do you love me ?? Najibu hapo liwe niyes au no.

Eti mambo ya kuyaanza ,,umesahauuuuu kile,, sijui unakumbukaaa kile aaahhhhhh .....Ndio maana Nina maisha yenye Furaha sana !!.
Sasa mtu kama ulishamnanga nyuma leo uje umtake tena hivi akili kweli hizo?
 
ungekausha mpaka january maana kipindi kibovu hiki
 
Mtoa mada salamu zimenifikia,,naomba nawe salamu zangu hizi zikufikie,,kwanza ufute kauli kuhusu single mother,,utuombe radhi na utubu kuwa kumbe mapenzi hayachagui waweza angukia kwa hata bibi ingali u kijana mbichi,,, hatukutaka kutoa mimba wengine tumebahatika katoto kamoja tu ningetoa ingekuwaje?
Kingine una makando kando mara usomeshe mtoto wa watu mpaka form four ,,je na mim nitakua kwenye nafasi ipi
Au ndio kupangwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mengine yanatosha nisiseme sana,,nafurahi kupendwa nakupenda pia ,,nimechelewa kupata huu ujumbe maana sipati notification
Uwe na siku murua kabisa
Mengine usimwage mchele kwenye kuku wengi
Kwa kweli umemjibu vizuri mleta mada na kizuri zaidi umempa matumaini naamini akisoma ujumbe huu atakuwa anatabasam. Hizo zingine ni kasoro ndogo ndogo na naamini atajirekebisha
 
Tunaomba atengue kauli
Aiseeeee BTW, let me stop here !!!.
!
!
!
ila eti km nimimi ??? Mamaweeeeeee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiv nilivyo but Am still a Loved one ,Wala sijawah gusiwa habar za kutengua kauli.
 
Hujawahi kumuona ila avatar yake + vijimaneno vyake zimegonga ukingo wa moyo wako..

Swali la kipuuzi kabisa, je kwenye avatar ni yeye, matumaini yangu jibu ni la hasha, sasa vipi ule ugali kwa picha ya samaka chief..

[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa jf huwa wengi wanaangalia miandiko
 
Back
Top Bottom