Barua yangu kwa Mama Sabrina

Barua yangu kwa Mama Sabrina

Umeona putin anampa kichwa jamaa (shemeji mtarajiwa
Serious ,ktk maisha yangu, sipendelei uniadhibu kwa ninachokisimamia eti kisa nakuitaji ,nawewe utumie hiyo fursa kumwagisha udhaifu Wangu ,BIG NO !!!!.

I love you ,,Do you love me ?? Najibu hapo liwe niyes au no.

Eti mambo ya kuyaanza ,,umesahauuuuu kile,, sijui unakumbukaaa kile aaahhhhhh .....Ndio maana Nina maisha yenye Furaha sana !!.
 
Mengine yanatosha nisiseme sana,,nafurahi kupendwa nakupenda pia ,,nimechelewa kupata huu ujumbe maana sipati notification
Uwe na siku murua kabisa
Mengine usimwage mchele kwenye kuku wengi

Huyu mdau akiamua kuufanyia kazi huu mstari anang'oa mzigo kweupe kabisa. Hapa naona Mama Sabrina umemkaribisha kiutu uzima.
 
Mtoa mada salamu zimenifikia,,naomba nawe salamu zangu hizi zikufikie,,kwanza ufute kauli kuhusu single mother,,utuombe radhi na utubu kuwa kumbe mapenzi hayachagui waweza angukia kwa hata bibi ingali u kijana mbichi,,, hatukutaka kutoa mimba wengine tumebahatika katoto kamoja tu ningetoa ingekuwaje?
Kingine una makando kando mara usomeshe mtoto wa watu mpaka form four ,,je na mim nitakua kwenye nafasi ipi
Au ndio kupangwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mengine yanatosha nisiseme sana,,nafurahi kupendwa nakupenda pia ,,nimechelewa kupata huu ujumbe maana sipati notification
Uwe na siku murua kabisa
Mengine usimwage mchele kwenye kuku wengi
Tayari......[emoji13] [emoji13]
Kweli hakunaga makati ngumu kwenye strungi......[emoji12] [emoji12]
Ebu fanya nawewe utuletee mrejesho mkisha yajenga huko piem
 
Back
Top Bottom