Jiwedogo
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 2,811
- 4,100
Hakuna fitna mkuu....Nimesikitishwa sana kuona mwanaume mwenzangu ananifanyia fitina, sasa mambo yanazid kua magumu , Vladimir Putin ww huniangush, tuungane pamoja ktk hili bro had moyo wangu upone.
Mama sabrina ujue jana sijalala
Uoga wako ndio kukosa papuchi...[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Singo mama huyoooo namuona kesho lainika