Barua yangu kwa Mama Sabrina

Barua yangu kwa Mama Sabrina

Mtoa mada salamu zimenifikia,,naomba nawe salamu zangu hizi zikufikie,,kwanza ufute kauli kuhusu single mother,,utuombe radhi na utubu kuwa kumbe mapenzi hayachagui waweza angukia kwa hata bibi ingali u kijana mbichi,,, hatukutaka kutoa mimba wengine tumebahatika katoto kamoja tu ningetoa ingekuwaje?
Kingine una makando kando mara usomeshe mtoto wa watu mpaka form four ,,je na mim nitakua kwenye nafasi ipi
Au ndio kupangwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mengine yanatosha nisiseme sana,,nafurahi kupendwa nakupenda pia ,,nimechelewa kupata huu ujumbe maana sipati notification
Uwe na siku murua kabisa
Mengine usimwage mchele kwenye kuku wengi
 
Hujawahi kumuona ila avatar yake + vijimaneno vyake zimegonga ukingo wa moyo wako..

Swali la kipuuzi kabisa, je kwenye avatar ni yeye, matumaini yangu jibu ni la hasha, sasa vipi ule ugali kwa picha ya samaka chief..

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwezi jua labda hiyo avatar ni mim wewe
 
Back
Top Bottom