Barua yangu kwa Mama Sabrina

Hahaaa. Kaleta hisia zake tu. Na usije shangaa na wewe siku unakukuta uzi unaokuhusu wa kudondokewa. Lol.
Aisee! Kweli jf ni zaidi ya nilivyoidhania,
Kumbe kuna mitongozano,mikopo,dini,kijiwe cha story za kikubwa na kadha wa kadha.

Nikidindokewa itabidi, nikutafute unipe ushauri maana na huu ugeni wangu nisije kutana na libazazi.
 
Back
Top Bottom