Barua ya wazi kwa shesrise_1

Barua ya wazi kwa shesrise_1

Ndiyo maana ya mwanasheria nyumbani kwake kuna kuwa na fujo kama zote ila bado anapambana na fujo za wateja 😂
Kuna ile mchungaji kutwa kusuluhisha na kuombea ndoa za waumini yako inakufa polepole!
 
At this point nahisi kuna id ni parody/ bots za mods wenyewe zinatengeneza contents nonstop ili kufanya JF ipate wachangiaji zaidi.

Hua kuna kioindi nyuzi za kipimbi zinakua nyingi sana kisha kunapoa. Naona zimeanza upya.
Umewaonaje mods? Akili zao hazijaishia hapa bhana
 
Ndugu , chai ya rangi asante kwa hisia zako za mapenzi juu yangu, ilhali hunifahamu kabisa Hujui kama mimi ni ajuza, mama wa makamo au bado binti 😄 hii kali kinoma

Mimi naamini ukivutiwa na uandishi wa mtu mfano hapa tunapotumia I'd fake walau unaomba muonane kwanza ili ujue kama hizo feelings ni za kweli au ni imagination tu

Lakini kufanya hivi ulivyofanya aloooo 😅 unaonekana kama hisia ziko mbele, akili ipo nyuma kidogo labda kama unataka trending

Iko hivi, mimi sivutiwi na mambo ya aina hii Sipendi mtu kufungua uzi wa mapenzi na kunihusisha, honestly naona ni ushamba mnooo 😂

Napenda utani sana, ila sio wa kiwango hiki
Naomba niseme kitu aisee… mada zangu pendwa ni( kulombana/ku ***
siasa kiduchu na mpira kiasi ⚽😂

Sio hizi mada za aina hii za kishamba mnoo — SIZIPENDI kabisa

Mwisho kabisa, nina mahusiano 😌
Yaani kuna mtu ana ni weka vilivyo🔥 🤪
hivyo kijana tulia tujenge taifa 🤝😂
 
Chivundu
 
We nipige kabisa siku nikitoa yaliyomo sitaki maumivu 😂

Subiri nimuite mwanasheria wangu Seran hili suala liishe vizuri
ngoja nikuache kwanza😄😄😄 nikapeleke mbuzi machungani nitakurudia jioni
 
vitu vingi namwambia yeye pekeyake lakini leo naomba nimuandikie barua ya wazi mbele ya wote

kwako ShesRise_1

“Tabasamu lako linaangaza moyo wangu kama alfajiri inavyoifungua bahari baada ya usiku mrefu.”

“Macho yako yana utulivu wa mwezi kamili juu ya maji yaliyotulia, mtu akiangalia hupoteza mawazo yake humo.”

“Sauti yako ni laini kama upepo wa jioni unaopita kwenye mashamba ya maua.”

“Vidole vyako vina mpangilio wa kuvutia kama safu za minara mirefu iliyochongwa kwa ustadi.”

“Uso wako umebeba uzuri ambao hata maua yakikuona yanaweza kunyenyekea kwa aibu.”

“Ukitembea, dunia huonekana kama imepunguza kelele ili iisikilize hatua yako.”

“Nywele zako ni kama usiku wenye nyota nyingi; kila nikizitazama napotea ndani yake.”

“Harufu yako ni kama mvua ya kwanza kunyesha kwenye ardhi yenye kiu.”

“Macho yako yana hadithi ambazo moyo wangu ungependa kuzisoma milele.”

“Wewe ni kama nyimbo za zamani zinazogusa moyo bila hata kuelewa kwanini.”

“Ukinitazama nahisi kama dunia yote imesimama kwa sekunde chache kunipa nafasi ya kukuona vizuri.”

“Ngozi yako ni laini machoni mwangu kama mwanga wa dhahabu unaoguswa na jua la asubuhi.”

“Kicheko chako kinafukuza huzuni yangu kama upepo mkali unavyotawanya mawingu.”

“Kwenye ulimwengu wenye watu wengi, wewe unaonekana tofauti kama nyota moja inayowaka katikati ya giza.”

“Moyo wangu hukosa utulivu kila jina lako linapopita masikioni mwangu.”

“Uzuri wako si wa macho tu, hata ukikaa kimya bado unazungumza na moyo wangu.”

“Macho yako yana mvuto wa bahari; ukiyatazama sana unahisi kuzama ndani yake.”

“Wewe ni kama bustani iliyofichwa jangwani, nadra kuonekana lakini ukionekana hausahauliki.”

“Midomo yako inaonekana kubeba maneno matamu hata kabla hujaongea.”

“Kila unapocheka, dunia yangu hupata sababu mpya ya kuwa nzuri.”

“Sijui ni nani aliyekuumba kwa utulivu ule, lakini alitumia muda mwingi sana. Macho yako yana nuru ya mwezi, sauti yako ina amani ya mvua ndogo usiku, na tabasamu lako lina uwezo wa kufanya moyo uliokuwa umechoka urudi kuamini uzuri wa dunia. Kuna watu unaonana nao ukawasahau kesho, lakini wewe unaingia moyoni kama wimbo unaokataa kutoka kichwani.”
Huu sio maandiko wako mkuu
 
Ndugu , chai ya rangi asante kwa hisia zako za mapenzi juu yangu, ilhali hunifahamu kabisa Hujui kama mimi ni ajuza, mama wa makamo au bado binti 😄 hii kali kinoma

Mimi naamini ukivutiwa na uandishi wa mtu mfano hapa tunapotumia I'd fake walau unaomba muonane kwanza ili ujue kama hizo feelings ni za kweli au ni imagination tu

Lakini kufanya hivi ulivyofanya aloooo 😅 unaonekana kama hisia ziko mbele, akili ipo nyuma kidogo labda kama unataka trending

Iko hivi, mimi sivutiwi na mambo ya aina hii Sipendi mtu kufungua uzi wa mapenzi na kunihusisha, honestly naona ni ushamba mnooo 😂

Napenda utani sana, ila sio wa kiwango hiki
Naomba niseme kitu aisee… mada zangu pendwa ni( kulombana/ku ***
siasa kiduchu na mpira kiasi ⚽😂

Sio hizi mada za aina hii za kishamba mnoo — SIZIPENDI kabisa

Mwisho kabisa, nina mahusiano 😌
Yaani kuna mtu ana ni weka vilivyo🔥 🤪
hivyo kijana tulia tujenge taifa 🤝😂
muweke hata huko spare watu hufa😎🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom