Barua ya wazi kwa kiongozi mtaafu

Barua ya wazi kwa kiongozi mtaafu

Kwakivesa

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2016
Posts
340
Reaction score
497
Habari za uzee wako:

Nakuandikia ujumbe huu nikikusihi ufanye kila linalowezekana ukishawishi chama chako,umshawishi aliye kitini kufanya kila linalowezekana kutengeneza kijitabu ambacho kitawaongoza wananchi wadanganyika kwa kipindi kingine cha miaka 50 ijayo.

Kwa sasa hali ni mbaya ingawa kwa njia moja au nyingie umeamua kuwa bubu kwa mambo yanayoendelea kwa sababu una maslahi nayo kwako na kwa familia yako;na hasa nia yako ya kutaka kijana wako kusimikwa kwa kiti.

Hii sio nzuri kwa sasa kwa sababu hao wadanganyika wa sasa sio kama wa zamani na athari itakuwa kubwa iwapo israel ataamua kuinyakua roho yako;utalet fadhaa kubwa kwa familia yako ambayo inaonekana wazi kwamba inaikingia kifua;italeta mparaganyiko mkubwa hasa kwa kile kinachoelezwa kama muungano kwa kuwa inahisiwa kwamba mtu wa upande ule akikaa kwa kiti anasukwasukwa.

Wengi wanakulaumu sana kwa madai kwamba ulimpigia chapua bi mkubwa kukaa kwa kiti;na hata kama kuna mambo ya wazi ambayo si mazuri ya kiutendaji haitakiwi mbigalo au mtwanzi kuhoji vinginevyo wasiojulikana watamnyakua.

Chonde chonde fanya hima kijitabu kikapatina na uhuru wa kutoa maoni ukatimizwa kuliko kuipeleka country kwa muelekeo wa akina Mu 7
 
Edit title
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom